hii kitu ipo hapa kwetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hii kitu ipo hapa kwetu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by carmel, Feb 8, 2010.

 1. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,840
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Jana nilikuwa naangalia movie moja inaitwa A diary of a tired black man, niliipenda na ikanifikirisha sana. inaelezea jinsi african-american women wanavyoharibu relationship zao kwa ajili tu ya matatizo waliyopitia katika maisha yao. Yani vitu kama kukosa malezi ya baba na mama (kwamba majority wamelelewa na mzazi mmoja hasa mama, so hawakuwa na father figure), pia previous relationship kama zilikuwa abusive, wanacarry that anger to a next relationship, na pia type ya marafiki wa kike walio nao, wengi wao ni ambao wamefail kwenye r/ship zao kwa sababu kama hizo na hivyo wanaadvise vibaya. Hii inasababisha hata kama mwanamke kapata mwanaume mzuri asiye na tatizo lolote kusuffer kwenye r/ship na kuamua kuondoka. Nimelileta hapa ili kupata mawazo ya wengine maana kwa mawazo yangu mimi nadhani hili linakuja kwa jamii yetu kwa kasi pia, tunashughudia divorce nyingi kwa sasa, na hata kama siyo divorce, ndoa nyingi zina migogoro, watu wanaishi kwa machale zaidi kila mtu akiwa mguu ndani mguu nje. Watu wengi waliokuwa wanahojiwa wamekubali kwamba wanawake wengi wana hasira au wana vitu wameficha ndani ya roho zao vinavyoleta anger attack unnecessarily. Hiyo imepewa jina la Angry Black Woman Syndrome (ABWS). Ningependa kila mtu ajiangalie je:
  Kama wewe ni mwanamke;
  ni mwanamke mwenye hasira,
  je marafiki zako wa kike ni wanawake wenye hasira
  nini kinachofanyaga mahusiano yako kuharibika?
  Ukisema au kujiona strong woman, huwa unamaanisha nini?

  Kama wewe ni mwanaume;
  Ulishawahi kuwa na mahusiano na mwanamke mwenye hasira?
  na kama jibu ni ndiyo, hali hiyo ikufanya ujisikieje?
  Je hali hiyo ilikufanya uchoke?
  Na kwa wote
  Mnasolve vipi matatizo ya kimahusiano yanapotokea?

  Mwisho atakaeyeweza kuipata hii movie aiangalie, inasaidia kukufanyia self- analysis na kujua uliposimama. (najua kuna watu wameshaiona hii mpvie/documentary). Ingine yenye theme inayokaribiana na hii ni "NOt easily broken", the same issues za marriage zinavyokuwa affected na kazi zetu hizi, wazazi etc.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,231
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Sounds so gud to watch it!...(unazo hz dvd nini carmel tukuungishe.:D:D)!!

  Watu wanaingia kwenye ndoa wakiwa skeptical, hata ukiangalia happa JF, posts nyingi za wanaotaka kuingia kwenye relations hizi zinakuwa na hali ya machale sana juu ya uamuzi wao.

  Kwa wenye dini, dawa yake ni rahisi, kuomba mke toka kwa Mungu, ili akupe mtu mtakayefanana, na hivyo kuachana na haofu zote na hasira zisizokuwa na sababu.

  Maisha ya kukaa na hasira kifuani ni hatari mno kwa ndoa, maana hakuna ajuaye zitalipuka saa ngapi, na adha yake itakuwa nini.

  We should not step into marriage in a trial manner, this is 'once and for all'-thing!

  Nitatafuta hii movie..interested!
   
 3. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,840
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  PJ hizi movie ni nzuri sana zinaelezea reality kabisa za maisha and not dreams za holywood. Kwa mfano mashost zetu huwa tunaongea nao nini kuhusu waume zetu, na ushauri tunaopewa mara nyingi ni wa aina gani? unaweza kuta mwanamke aliyeolewa anaenda salon anaanza kuelezea mume wangu hafanyi hivi, no irresponsible sana ni hivi na vile. wakati wote unaowaelezea hawana hata ndoa , so they dont understand your language, they will just tell you mistreat him, na mtu na akili zake anachukua ushauri na kuufanyia kazi, anakuwa kiburi na kuharibu ndoa yake.
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,973
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 145
  Yeah nimewahi kuwa na uhusiano na mtu mwenye hasira kali.
  Huyu alikuwa anapenda niwe naenda kulala kwake nikienda kumega na kurudi siku hiyo sipati kitu mpaka nilale mpaka asubuhi ndo ananipa vitu vinginevyo naishia kula kwa macho tu na mtoto alikuwa kaumbika balaa black beauty namba 8.
  hasira zake mm nilikuwa nasolve kwa kuondoka kimya kimyaa kesho yake yeye anaanza kunitafuta yeye.
   
 5. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 6,633
  Likes Received: 8,013
  Trophy Points: 280
  Mkuu Invisible,

  Saidia watu hapa with these two movies:

  1. The diary of a tired black Man

  2. Not easily broken

  Probably na hizi:

  WHY did I get married?

  I think I love my Wife
   
 6. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Mh! Mazee, siku hizi si msichana wala mvulana wote dugu moja! ujuaji mwingi, kutaka kuwa juu ya mwingine. Hakuna mjadala endapo kutatokea tatizo. Yaani suala la mahusiano siku hizi ni kama mtu ameomba lift kwenye gari ya mtu yuko tayari kuteremka kituo chochote ili mradi ni muelekeo wa huko aendako....Sasa sidhani hata kama wataangalia hizo movie kutakuwa na changes. Ni ka-fashion fulani kameingia so wat haoni tabu kujaribu...
   
 7. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 19,299
  Likes Received: 9,770
  Trophy Points: 280
  Hii movie nilishaiona, na kwa kuangalia from a wider perspective ninaweza kusummarise kuwa watu wengi tunaaffectiwa na our past experiences and environment. Tunaingia kwenye relationships tukiwa na mawazo (assumptions) tulizoziona kwa wazazi wetu, marafiki, majirani au hata ndugu zetu wengine has watu wale waliokuwa karibu yetu wakati wa kukua kwetu!
  Sasa, shida inakuja pale unapomuassume rafiki yako badala ya kuchukua muda kumfahamu; nguvu na unyonge wake!
  Pia marafiki tulio nao; hawa ni watu wanaoweza kutuharibu ama kutujenga! But we really have to be mature enough to discern this.
  Cha maana ni kuchukua muda kumfahamu mpenzi wakoSahau yote uliyofahamu kuhusu wanaume/wanawake, uliyoona ama uliyoambiwa!
  Nadhani hii itasaidia sana...
  Nawasilisha!
   
 8. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,840
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Thanks Sinyolita, na kweli Invicible atusaidie hizi movie. Ingine nayoitafuta sana ni hiyo why did i get married? maana watu hapa washai-recommend sana, na hiyo ingine pia.
   
 9. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2010
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  @Carmel,..why did i get married ni nzuri pia, mi nimeiona kuna mafunzo to both mwanamke na mwanaume, iyo uisemayo kuna mtu jana alisema iko hewan but sikuwa home but allisifia sana nayeye, illikuwa zone reality? Nitatatafuta au nicheck kama watarudia.
   
 10. Jeni

  Jeni JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2010
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 200
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Why did I get married (80/20) itafute kwa kweli ni nzuri sana
   
 11. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,840
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  nimeitafuta na bado naendelea kuitafuta. iw ont rest till i watch it.
   
 12. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  what ur saying is real true pal,pia jaribu kucheki the white maasai,yani cc mostly African nadhani hatueleweki,unapokasirika mwenzio anafurahi,unapopenda mwenzio hapendi n viseverse,but ni kwamba we dnt share our relationships at all,wat I mean is yani mko in a relationship but kila mtu anafanya kivyake tu.
   
 13. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 5,114
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  carmel ifuate hapa mamii,im always there for you


  <a href="http://www.watch-movies-online.tv/movies/why_did_i_get_married/" style="color:#1A7ED9"><b>Watch &quot;Why Did I Get Married?&quot; Movie</b></a>
   
 14. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,217
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  ziko nyingi, daangu. kama obsessed, deliver us from Eva, exhale, disappearing act, etc. kama mtu anazihitaji aende tu pale ubungo na kutafuta American movies. zina simulizi nzuri na za kufundisha ajabu. just go there
   
 15. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #15
  Feb 8, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,845
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 0
  anger kwa mwanamke inasababishwa na vitu vingi kama ulotaja, au kuwa akili yake inafikiria mambo mengi...................labda inabidi aangalie wazee wake, wadogo apeleke shule, kazi nayofanya hela haimtoshi nk.

  mbaya zaidi unakuta anakuwa na mwanamme asiyekuwa responsible enough kumpokea matatizo yake (ama in reality au kwa dhana yake mwenyewe.)

  wanawke wengi tumejenga dhana kuwa ukiwa na mwnamme usimhadithie matatizo yako kwa sababu ataona unamuomba hela yake wakati ki kweli u just need someone to go into that emotional ride with u.

  wanaume inabidi mnapokuwa na wanawake muwe committed emotionally ili wanawake wapunguze hasira
   
 16. Kidege

  Kidege Member

  #16
  Feb 8, 2010
  Joined: Jul 18, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  Kwa wasio na dini dawa yake nn PJ?
   
 17. Kidege

  Kidege Member

  #17
  Feb 8, 2010
  Joined: Jul 18, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  yap! the 80/20 or 20/80 rules
   
 18. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #18
  Feb 8, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Nimepitia hizo mbili; nadahani ni nzuri sana na mausia yake kwa wanandoa ni vitu vya kujifunza; namna tunavojitoa na thamani ambayo tumekuwa tukizipa ndoa zetu!
   
 19. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #19
  Feb 8, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,318
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  hayo mambo ya kusimuliana habari za nyumbani kwako salon kwa kweli huwa yananiudhi sana. utakuta mtu hata hakufahamu anaanza kukuhadithia mambo ya nyumbani kwake; my husband this, my husband that... ukweli inaudhi sana.
  itabidi sasa tuwe tunaenda salon kwa appointments, haya mambo ya kulundikana salon msululu mzima mnasubiri kuhudumiwa kunafanya watu waongee yasiyofaa kwa watu wasiofaa
   
 20. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #20
  Feb 8, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,468
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Wadada hapo kwenye red hapo ningefurahi sana kupata 'HONEST ANSWERS! Zitasaidia sana kwa kwa wadada kujielewa, maana kuna baadhi ya wanawake wana confuse hicho kitu!!!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...