All The Women In UR Life - Jamani Hamchoki nyie?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

All The Women In UR Life - Jamani Hamchoki nyie??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by WomanOfSubstance, Oct 9, 2009.

 1. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Inakuwaje lakini?
  Ukiwa nyumbani hata kama unamai waifu wako lazima usarandie housegirl, ukienda kupata kilaji lazima ujivinjari na barmaid, ukiwa ofisini huishi kumtongoza secretary, mhudumu na wenginoe mradi tu zipu ichezeshwe.Ukipita njiani macho mia mia mara ubebe denti mara..... ukiwa na rafikio wa karibu umtongozee mkewe na mabinti zake.Wengine sasa wameanza kuwatongoza dada zao na mabinti zao,marafiki wa mabinti zao, mama mkwe, shemeji wa kike.....

  Halafu ukirudi kwa mai waifu mitambo haifanyi kazi!!!
  Hupitwiiiiiii???
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Nao hao wanawake wanaochojolewa ujue wana-waume zao au bf, lakini wanakubali kumegwa. hapo ngoma sawasawa....all the men in your life, hamchoki kumegwa na kila mwanaume?????
   
 3. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Ndio maana kuna prohibited degrees of relationships - suala siyo kumegwa/kumega hapa.Ishu ni kuwa na staha basi hata kama moyo umetamani baada ya macho kuona!
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Halafu vera mimi nakutamani si mchezo,unapatikana wapi???????
   
 5. BadoNipo

  BadoNipo Senior Member

  #5
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa Veracity, wanaume tumezidi sana, hatupitwi na kitu.sijui tunaelekea wapi. kuna jamaa mmoja anafanyakazi shirika fulani ambalo linajihushisha na mambo ya ukimwi ni mchafu hadi basi, mke wake amemuacha mkoa mwingine, basi yeye kazi yake ni kila siku kubadilisha ma barmaid hadi kero kwa sisi wapangaji wenzake.
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  staha awenayo mmegaji au mmegwa? check and balance lazima iwepo.
   
 7. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Ishia kwenye kutamani tu ndugu yangu!
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  vipi kuna kaka yako amekutongoza nini maana umeandika kwa ukali mpaka nimeogopa duh
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  talking as if women are a pair od trausers, hawana take kwenye kung'onoka? huyo jamaa anawatoa wapi? Shopright au wapi? usiseme ananunua. its high time kuwa na respect ya choices za watu. Kupanga ni kuchagua.
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Huu ukware mwingine ni 'baraa', yaani unatamani hadi avatar..lol
   
 11. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  BN
  Kila kitu kiwe kwa kiasi ndugu yangu.Hata kama ni kujikwaa basi angalia usiangukie pabaya ukabaki na majeraha ya kukupa kilema cha maisha.Kujikwaa nako si kuanguka... unajikwaa unastuka na kuwa makini zaidi huku ukiendelea na safari.
   
 12. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Unatutafuta utatupata sasa hivi!
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Polygamy is natural to all men, na ni wachache sana wanao`manage control akili na mitima yao!Lakini shida kuu ni kwamba siku hizi myie wanawake mmegundua kuandaa mazingira ambayo, hata mtu asipokutaka analazimika kukupiga saundi, na unadondoka nae bila hata kuongea neno moja. lol!
   
 14. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,800
  Likes Received: 2,481
  Trophy Points: 280
  na sisi tukitoka nyumba njia nzima tusipoitwa au kutongozwa tyunaenda kwa wanganga kwa nini? usiposemesha na mwananume ukirudi unajiangali una kasoro gani?jamani hata bibilia imesema kuwa mwanamke ni pambo hivyo hakuna jinsi inabidi tukubali yatokanayo tu.

  Kwakuwa usipotongozwa utasema unagundu,
  Usiposemeshwa na mwanaume itabidi ujiangalie kwenye kiooo
  Why?????kwa nini?twawasingizia wanaume kuwa ndo wasumbufu????
   
 15. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  we kichwa!
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  VC, i always admire you stand! but sometimes i think you go overboard my friend...

  Ulivyoiweka ni kama all men are like that... Kuna mwanaume amewahi kukutibua sana nini??
   
 17. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,800
  Likes Received: 2,481
  Trophy Points: 280

  mnajua kuna lawama nyingine most of woman wananzitoa kwa wanaume bila kuangalia upande wa pili.mojawapo ndo kama hii iliyoletwa na huu mdau kwa kweli sioni haja ya kuwalaumu hawa wakaka kwa kuwa wanaaoandaa mazingira yote ni wananwake na si wanaume.

  Kama mwanamke akijiheshimu hawezi kuwa hivyo kutongozwa kwa mwanamke ni haki yake ila kukubali na na kumegwa jambo jingine ambalo halina mahusiano na hayo aliyoyaleta mtoa maada.Mkaka anenda bar ankunywa bia anamwita barmed anamaproach sasa kama baarmed akikubali nani wakulaumiwa?
  Mke wa rafiki yake anatongozwa yule mke anakubali nani wakulaumiwa?
  Binamu anatongozwa anakubali hapo nani wa kulaumiwa?
  Wewe Veracity unatongozwa na libaba unakubali na wakukulaumu?
  .
   
 18. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu Chaku.... hauko mbali saaaana na ukweli wa hali halisi....mimi nazungumzia zaidi ule ukaribu - yaani kwanini usiende kutongoza mbali? Tanzania ina population ya karibu watu milioni 37- ambapo zaidi ya 51% ni wanawake - humo humo kwenye 37m, vijana ni zaidi ya 60% .Assuming kuwa katika idadi ya watu wazima walio na umri wa kutongozwa zaidi ya 60% ni wanawake, hao wa karibu ki ivo kwako ni asilimia ngapi? I bet my last cent haitafika hata 1%.Kwanini ung'ang'ane na idadi hii ilhali ungeweza kujitafutia kwingine kama basi unataka kujinafasi? - why ur daughter, househelp, sister in law, mother in law?Hii inaleta fedheha kubwa sana kwa familia zetu!
  Nimeona mabinti wakimtania mwenzao " niite mamako mdogo" - kisa baba kibosile "Mkuu wa Taasis moja nyeti nchini -jina kapuni) anawatokea hao watoto wadogo wanafunzi!
  Hii tabia ni mbaya sana kwa kweli na inarudisha nyuma maendeleo kama tukiitathmini kwa undani zaidi.Maadili yanazidi kuharibika, hakuna heshima ngazi zote kuanzia familia jamii hadi taifa!
  Its not just about untamed lust believe u me!
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  You are damn right Veracity, mimi huwa nawaza sana maana i have same questions from mamaa nyumbani,

  hebu tujiulize, hawa wanaume huwa wanafuata wanawake wote hao na bado kuna wanaobaki kweli?? maana ratio ya male to female haijafikia 1:5 kama inavyoonekana na wengi

  Mtu huyohuyo anachapa wanawake wote hao na bado tunabaki na decent women ambao ndio wake zetu, kunawezekana kweli hap???

  Mimi nadhani huwa wanaume wanakula kutokana na availability and that to some extent wanawake kwa kiasi wachangia, nikikwambi ukweli, i know a friend aliyechapa wake za watu zaidi ya 5 mwaka huu tu na hataki tena kuona, and four of them ni wale wenye msimamo kama wako.... Kazi tunayo wanaume

  Kunya anye kuku, akinya bata uchafu!!
   
 20. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Thanks Chaku! Na kama ulisoma nilianza kwa kusema unatutafuta! sio wanaume waote wako hivyo wengine wametulia wanapenda familia zao, furaha ya mtu wendawazimu wake, so not all men bears the same xcter.
  Huyu dada labda anajiweka mazingira ya kujiachia na kutega watu na anapata hao ma gonga gonga then anakimblia huku kuleta hasty generalisation.
   
Loading...