Natafuta Mchumba/mume

N

Nkashilingi

Member
Joined
Jul 21, 2009
Messages
8
Likes
0
Points
0
N

Nkashilingi

Member
Joined Jul 21, 2009
8 0 0
Hello wana jamii, sio masihara jamani hapa najua wote ni watu wazima na wenye akili timamu.

Wasifu wangu.
Jinsia-Kike
Umri-29
Elimu-ya chuo naamanisha graduate
Rangi-kahawa
umbo-No 8 mnene
Dini-Christian
pombe-naonja
kabila-chaga
Ni mwajiriwa kwenye sekta binafsi na mshahara wa kawaida, mambo mengine tutafahamishana kama kutakuwa na maswali zaidi,

wasifu ninaopendelea.
Jinsia-Mwanaume
jisia-30-45
Elimu-lazma awe ni graduate na kuendelea,
Dini-mkistu

Awe mpenda maendeleo, na pia awe ni mtu anaemjua mungu.

Ni hayo tu kwa maswali zaidi waweza kuni email glory.gregory@yahoo.com
naomba kuwasilisha.
 
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,972
Likes
124
Points
145
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,972 124 145
Mpaka kufikia hapo ondoa tangazo mme umesha mpata nakuomba ulifute kabisaa hesabu umeshampata
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
44,585
Likes
29,862
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
44,585 29,862 280
kila la kheri, mi naona nipo underage.ila nitakupm tu ,mapenzi si hayachagui?
 
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2007
Messages
16,499
Likes
185
Points
160
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2007
16,499 185 160
TISS wanaendelea ku-update taarifa zao..:D
 
Z

Zion Daughter

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2009
Messages
8,934
Likes
66
Points
145
Z

Zion Daughter

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2009
8,934 66 145
Mpaka kufikia hapo ondoa tangazo mme umesha mpata nakuomba ulifute kabisaa hesabu umeshampata
Hucheleweshi? duuuuu! Utakuja kuoa majini siku moja.
 
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,972
Likes
124
Points
145
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,972 124 145
Mimi nakwambia wasiliana kabisa na Invisible afunge thread mm wewe wangu mm nahaha usiku kucha sipati mchumba bahati ilioje hii
 
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,972
Likes
124
Points
145
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,972 124 145
ha ha ha binam bwana.......kwani mail yake si ipo hapo mwandikie.....eeh wifi tushapata sie
Hehehe nimeiona ngoja niandike hawala huku nikiambatanisha na vielelezo muhimu. Natamani niende nae kwenye function ya Geoff.
 
carmel

carmel

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Messages
2,840
Likes
10
Points
135
carmel

carmel

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2009
2,840 10 135
ha ha ha binam bwana.......kwani mail yake si ipo hapo mwandikie.....eeh wifi tushapata sie
At last Fidel anaweza kupata jiko, lol! naona wapwa tuandae pesa ya zawadi kwa huyu kabisaaa.
 
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
24,206
Likes
3,322
Points
280
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
24,206 3,322 280
At last Fidel anaweza kupata jiko, lol! naona wapwa tuandae pesa ya zawadi kwa huyu kabisaaa.
tumwandalie lakini tusijihakikishie sana maana mmhhh.......labda this one will work out....tunahitaji maombi makali sana
 
JS

JS

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Messages
2,067
Likes
19
Points
135
JS

JS

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2009
2,067 19 135
Hehehe nimeiona ngoja niandike hawala huku nikiambatanisha na vielelezo muhimu. Natamani niende nae kwenye function ya Geoff.
Fide Fide Fide Fide
Hucheleweshi mwanawani nilidhani umeenda kwenye ajali kule ya moto ya sophia sijui raha towers tupate updates
Nikuambie kitu, hebu jaribu kuieka email address yake kwenye facebook hapo usearch unaeza kuta ni memba pale ukapata kumuona vizuri kwa picha kama ana vigezo baadhi alivyosema
 
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,972
Likes
124
Points
145
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,972 124 145
At last Fidel anaweza kupata jiko, lol! naona wapwa tuandae pesa ya zawadi kwa huyu kabisaaa.
Naona mmesha mpata wifi yenu huyoo
Wifiii wifiiii wifi huyoo wifii
 
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
24,206
Likes
3,322
Points
280
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
24,206 3,322 280
Hehehe nimeiona ngoja niandike hawala huku nikiambatanisha na vielelezo muhimu. Natamani niende nae kwenye function ya Geoff.
halafu useme muumba amekutenga.....hivi vitu ni adimu ujue
 
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,972
Likes
124
Points
145
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,972 124 145
Fide Fide Fide Fide
Hucheleweshi mwanawani nilidhani umeenda kwenye ajali kule ya moto ya sophia sijui raha towers tupate updates
Nikuambie kitu, hebu jaribu kuieka email address yake kwenye facebook hapo usearch unaeza kuta ni memba pale ukapata kumuona vizuri kwa picha kama ana vigezo baadhi alivyosema
Hahahahaha JS bana kwenye moto tayari kwani hapa kwangu mpaka hapo kwa tuktuk ni dk 2 tu wala sio mbali.
Hilo wazo zuri ngoja nizame kwa facebuku maana huyu mchumba mzuri nacho mpendea zaidi nae anaonja kwa hiyo tutaendana tu.
 
Lukolo

Lukolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
5,147
Likes
101
Points
145
Lukolo

Lukolo

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
5,147 101 145
Dada angu hapo vigezo vyote mm ninavyo.
Hivyo basi naomba tuwasiliane PM au nitumie email fidel80@jamiiforums.com
Sasa wewe Fidel, siumepewa email address yake? Mbona na wewe unampa email address nyingine? Si uwasiliane naye moja kwa moja? Amesema yupo serious! Acha masiahara!
 
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
24,206
Likes
3,322
Points
280
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
24,206 3,322 280
Naona mmesha mpata wifi yenu huyoo
Wifiii wifiiii wifi huyoo wifii
wifii huyo wifiii wifii huyoo wifiii....walisema haoi mbona anaoa walisema haoi mbona anaoa
 
Forum statistics

Threads 1,213,085
Members 461,948
Posts 28,466,501