Projekti 13/02/2010

JS

JS

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Messages
2,067
Likes
19
Points
135
JS

JS

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2009
2,067 19 135
Wapwazz na Binamuz salam ziwafikie

Tumebaki na takribani siku 5 kijana Geoff akafunge pingu za maisha (si pingu za Jerry Muro lakini msinisome vibaya).

Plan imekaaje??? mi sielewi tena Geoff tunafanyaje
Kaizer mratibu mkuu na wenzio tunafanyaje??

Msaada tutani tafadhali.
 
Lily Flower

Lily Flower

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2009
Messages
2,555
Likes
10
Points
135
Lily Flower

Lily Flower

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2009
2,555 10 135
JS huelewi nini tena wewe si ndo mshika kikapu au nakosea (pls correct me)
 
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,231
Likes
346
Points
180
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,231 346 180
Sandals...ooohhh ..sorry, Send-off this week, in-Dar.

This Geoff-guy is somehow silent...:D:D!
Sijui anapanic panic?

Any married buddy out there..Moral support to this fellow!
 
Bigirita

Bigirita

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
15,215
Likes
1,915
Points
280
Bigirita

Bigirita

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
15,215 1,915 280
When a man is about to loose his degree...
that how they becaome.......silent
 
JS

JS

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Messages
2,067
Likes
19
Points
135
JS

JS

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2009
2,067 19 135
JS huelewi nini tena wewe si ndo mshika kikapu au nakosea (pls correct me)

Hujakosea Lily mie ndo mshika kikapu ila mwenye shughuli kawa kimya sana sijui yuko hai au la au ndo anajikaza kisabuni na tai yake shingoni na send off ni wiki hii sijui jtano au alh na jmosi harusi
 
carmel

carmel

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Messages
2,840
Likes
12
Points
135
carmel

carmel

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2009
2,840 12 135
I think my the concerned people should discuss the kind of gift our groom wants (our coordinater-Kaizer do the needful) coordinate the discussion on the gift and who should do what
 
Lily Flower

Lily Flower

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2009
Messages
2,555
Likes
10
Points
135
Lily Flower

Lily Flower

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2009
2,555 10 135
Hujakosea Lily mie ndo mshika kikapu ila mwenye shughuli kawa kimya sana sijui yuko hai au la au ndo anajikaza kisabuni na tai yake shingoni na send off ni wiki hii sijui jtano au alh na jmosi harusi
Duh!! na vile vikao vya mwisho mwisho navyo haudhuri? au labda yuko busy na mafundisho (kanisani) na steps za kutembea ha ha ha , ile siku you need enough courage.
 
Sajenti

Sajenti

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Messages
3,671
Likes
33
Points
0
Sajenti

Sajenti

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2008
3,671 33 0
When a man is about to loose his degree...
that how they becaome.......silent
...Kipindi kigumu sana hiki mkuu. mtu anaweza kujilaumu kwa nini alitangaza ndoa....Ooh! Pole Geoff kaza roho jamaa yangu....hiari hushinda utumwa!!!
 
Kaizer

Kaizer

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2008
Messages
24,933
Likes
1,949
Points
280
Kaizer

Kaizer

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2008
24,933 1,949 280
I think my the concerned people should discuss the kind of gift our groom wants (our coordinater-Kaizer do the needful) coordinate the discussion on the gift and who should do what

Yaani ni kama ulikuwa kichwani kwangu

in fact ni kwamba leo tukutane pale kwa ankal saa 12 jioni,, tufinalise yafuatayo,

1. Michango,
2. Send off (watakaoenda)
3. Safari ya Makambako kwa watakaoenda,
4.Zawadi ya Bwana Harusi MTARAJIWA from Wapwaz.

Asanteni, Naomba mahudhuri yenu kama kawaida
 
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,972
Likes
134
Points
145
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,972 134 145
Wakuu Geoff yupo busy sana na final preparation si mnjua amehandle kila kitu yeye so yupo busy sana
 
JS

JS

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Messages
2,067
Likes
19
Points
135
JS

JS

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2009
2,067 19 135
Yaani ni kama ulikuwa kichwani kwangu

in fact ni kwamba leo tukutane pale kwa ankal saa 12 jioni,, tufinalise yafuatayo,

1. Michango,
2. Send off (watakaoenda)
3. Safari ya Makambako kwa watakaoenda,
4.Zawadi ya Bwana Harusi MTARAJIWA from Wapwaz.

Asanteni, Naomba mahudhuri yenu kama kawaida

Ndo wapi hapo tena??? halafu na nyie bana kwa kuchagua sehemu zilizo barabarani siwawezi mna hisa ile sehemu au????
 
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,972
Likes
134
Points
145
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,972 134 145
Ndo wapi hapo tena??? halafu na nyie bana kwa kuchagua sehemu zilizo barabarani siwawezi mna hisa ile sehemu au????
Hahahaha kwa ankal pale Shekilango Jambo
 
Bigirita

Bigirita

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
15,215
Likes
1,915
Points
280
Bigirita

Bigirita

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
15,215 1,915 280
Wakuu Geoff yupo busy sana na final preparation si mnjua amehandle kila kitu yeye so yupo busy sana
It is understood mkuu!!
These are moments he will remember later and tell his wifey, unakumbuka siku ile uliniambia mara kumi nisisahau kupitia kwenye lile duka, mm nikasahau!!! ahahahaaaa!
 
JS

JS

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Messages
2,067
Likes
19
Points
135
JS

JS

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2009
2,067 19 135
Michango jamani inakaribishwa bado hatujachelewa sana
 
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,972
Likes
134
Points
145
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,972 134 145
It is understood mkuu!!
These are moments he will remember later and tell his wifey, unakumbuka siku ile uliniambia mara kumi nisisahau kupitia kwenye lile duka, mm nikasahau!!! ahahahaaaa!
Alafu mkuu mchango wako mhimu sana mkuu huyu ni mwanafamilia wa Consolata naona kimyaa
 
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,231
Likes
346
Points
180
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,231 346 180
Wakuu Geoff yupo busy sana na final preparation si mnjua amehandle kila kitu yeye so yupo busy sana
What do u mean?

Ni kwamba hata nyie wapwaz mumemsusa?

Au hataki ku'delegate responsibilities?
 
Dark City

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Messages
16,277
Likes
296
Points
180
Dark City

Dark City

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2008
16,277 296 180
Sandals...ooohhh ..sorry, Send-off this week, in-Dar.

This Geoff-guy is somehow silent...:D:D!
Sijui anapanic panic?

Any married buddy out there..Moral support to this fellow!

Mkuu,

Tumeshamwambia mengi sana na siyo vizuri kumchanganya. Pia ni bora kama anakaa kimya sasa ili wachanganyikiwe wengine badala yake. He is the pillar of the event and needs a break. Only one parental word, "give him a pat on the back and a whisper in his ears, tell him that ...it will be ok my good boy"!!!
 
Askofu

Askofu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2009
Messages
1,668
Likes
2
Points
133
Askofu

Askofu

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2009
1,668 2 133
Hujakosea Lily mie ndo mshika kikapu ila mwenye shughuli kawa kimya sana sijui yuko hai au la au ndo anajikaza kisabuni na tai yake shingoni na send off ni wiki hii sijui jtano au alh na jmosi harusi
Labda anaaga!!
 
Forum statistics

Threads 1,236,289
Members 475,050
Posts 29,253,075