Mapenzi Na Mafanikio Ya Mwanamke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi Na Mafanikio Ya Mwanamke

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by TIMING, Jan 11, 2010.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wakuu...

  siku za karibuni nimeona rafiki zangu wawili wakivunja ndoa zao baada ya kutoswa na wake zao, hao wadada ni wa shoka, elimu A, na kazi walizopata ni za kimataifa

  Cha kushangaza mmoja wao hakuwahi kuwa na issue na mkewe zaidi ya kuburuzwa kwenye maamuzi tangu mama amalize PhD yake; sasa nimesikia mama kapata kazi nje ya nchi, kaondoka bila kumuaga jamaa na amepeleka watoto wote boarding na jamaa hajui afuate njia ipi

  Sasa najiuliza, hivi kuna uhusiano kati ya mafanikio ya mwanamke na kuvunjika kwa ndoa??? Nafahamu humu ndani kuna matawi yote na nategemea msaada maana mie nasomesha mke na nimeshaanza kuogopa

  Please advice
   
 2. N

  Nandoa Member

  #2
  Jan 11, 2010
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 68
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Mkuu hiyo ni hulka ya mtu binafsi, sina hakika kama wanawake wote wakifanikiwa wanawageuka waume zao, inatokea kitu kinachoitwa coincidence, kwamba kafanikiwa na ana hulka mbaya.
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Thanks, nina wasiwasi kwamba hiyo hulka inakua mno, au ni haya mawazo yangu hasi?
   
 4. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Wazee wa zamani walisema kua uyaone. Hiyo ni pamoja na tabia research nyingi zilizofanywa zinaonyesha kwamba akina mama kati ya miaka 40 -50 huwa hawataki kuishi tena na waume zao hasa kama wanaweza kujitegemea kimaisha. Vile vile usisahau kuna kuoana kwa kupendana kiukweli na kiuongo. Wengine huoa kwa sababu hawana namna na wengine huwa wanategemea vitu fulani fulani wakivikosa basi tafrani. Life is too short enjoy.
   
 5. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ha-ha-ha-ha MTM unasomesha mke?...Pole! that's all i can say,,,subiria akisha graduate atataka talaka...Nimeshaona watu wengi (tena washikaji wa karibu sana)walisomesha hivyo hivyo mke kamaliza shule kachukua chake mapema...kamuacha mume anatoa macho!....but you never know labda wako mstaraabu...siyo wanawake wote though wako hivyo ila you never know....hahahahaha mnyalu umeula hahahaha pole in advance!
   
 6. M

  Mundu JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Nadhani si wote wawezao kufanya hivyo,ni hulka ya watu wachache. Tuendelee kusaidiana kwenye ndoa bila hofu yoyote.

  Binti Maringo, hata nami nna washkaji zangu ambao wamesomesha wake zao na bado maisha yao ni bukheri... Kama kuna mikwaruzano basi ni ile ya kawaida iliyozeeleka!!
   
 7. HeartBreak

  HeartBreak JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2010
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mwanamke bora utamuona mapema!!! chake ni chako,chako ni chake.....inamaana kama wewe una pesa inakuwa ukimpa ufikirii sana hata yeye akiwa na pesa akikupa inakuwa sawa,ila si wala wanawake wanaotaka pesa za waume zao,za kwake ukichukua lazima urudishe.hii ni noma....mimi si pendi
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  MTM kuna ndugu yangu kamsomesha mke wake na wamezaa wote mtoto mmoja binti kumaliza degree ya kwanza kumbe kapata mzee huko huko wameoana na amemwacha mmewe na mtoto katika sima ..
  ila sijui haya mambo yako pande zote
  Rafiki yangu mmoja mwanaume alikuwa na elimu ya kawaida kajiendeleza mwenyewe baada ya kumaliza na kupata kazi nzuri naelimu nzuri kamtosa mkewe na watoto wao wawili ..
  ???????????????????
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mh, mbona wanipasua moyo we binti!???
  Yaani kuna mtu amenionya maana nasomesha kwa kasi sana... Ni mtu mzima akaniambia kaka angalia unasafisha talaka!! I never had those feelings before

  Ngoja niangalie indicators nyingine
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hili ndio la msingi sana... lakini kuna wakati binadamu wanabadilika hasa kutokana na marafiki wa ofisini... yaani kwa sasa naona ile haki sawa au fifty/fifty inachukuliwa vibaya sana na wanaharakati na sometimes inakuwa misleading kwa wasioelewa kiundani mambo ya family
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Jan 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hehehe nicheke kimaisha plus unaogopa??maisha ndivyo yalivyo
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Bwana eh, tuliumbwa tusaidiane... aki-abuse support yangu basi, ilimradi alee watoto maana hilo ndo la msingi

  Inatia presha hii bana!!
   
 13. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2010
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwanini na wewe usiitafute hiyo PhD? Just asking kwa nia nzuri tu lakini. Samahani kama nimekukwaza mkuu.
   
 14. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #14
  Jan 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  pole sana ..kuna wengine habari ya kusaidiana haipo siombei itokee kwako usije kufa na bp yaani hivi hivi
   
 15. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  cjui kwanini wanawake wa kisasa wamekuwa na tabia hii, nimeshaona pia kwa frnds zangu wawili nao wamewaacha waume mmoja alisema huyo sio level yake kwasasa lakini wana watoto wawili, mwngne yeye ndio alichemsha mana alimmwaga mume alikodhania mambo yakaenda mrama akarudi kuomba radhi ikawa too late, mkaka maisha bomba, mke mzuri/makini...ameishia kujilaumu tu...cjui inakuwagaje hapo kwa wanawake wenzangu jamani.
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Jan 12, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Thanks Mkuu, sina wasiwasi kabisaa na hilo, ni mambo ya muda na nafasi lakini jitihada tayari wasiwasi wangu ni watu wanaosema ukimsomesha anakukimbia!!!

  halafu na naona kama kuna kaukweli fulani mazee
   
 17. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mh hii mada ni nzito si ya kujadili kijuu juu mm yamekuta live na nimegundua linachangiwa na vitu vingi wengi na nitatizo la mtu mmoja na lakifamilia kwa mfano umemsomesha mke amekwenda shule kule anakutana na marafiki wanambadilisha anaanza dharau anona nimesoma kazi nzuri nitashea vp na huyu mume ajasoma kama mm anatafuta msomi mwenzake ili aendane nae kwakweli ni hulka ya baadhi na ulimbukeni na ukatili na kujisahau
   
 18. bht

  bht JF-Expert Member

  #18
  Jan 12, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  mimi nahisi wanakuwa hawana mapenzi ya dhati kwa waume zao jamani!!! mwanamke ankuwa na ajenda zake za siri hapo anajua jamaa atanisapoti nipate elimu na nikigradueti tu nachapa mwendo!!!!!

  otherwise naungana pia na aliyesema ni hulka y amtu binafsi....
   
 19. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #19
  Jan 12, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  jamani wacheni kugeneralise sana mambo kama haya...kuna wanawaek wamesomeshwa na waume zao na wakendelea na maisha ya ndoa matamau tu.... sikatai pia kuwa hii tabia ipo...lakini badal ya kumpa MTM mawazo na presha nyingi bure lets be positive..... encourage him coz he;s doing the right thing.

  MTM ukiangalia unaona hiyo hulka mama watoto anayo???? hebu mgusie gusie hii tabia usikie atasemaje..... otherwise relax my broda!!! presha za nini?? its all in the mind!
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Jan 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  eeeh na wewe imekukuta hebu tudokeze ilikuwaje?
   
Loading...