Msaada kwa wazoefu

ismase

Senior Member
Feb 12, 2010
116
16
Hi wana JF, napenda niulize kwa wazoefu maana hapa ni kujifunza. Hivi mwanamke baada ya kujifungua anatakiwa akae muda gani kabla hajaanza kukutana kimwili na mmeo tena?
 
40 days ndio ambazo huwa mara nyingi zinashauriwa kama hakuna complications. But it could take even longer.
 
Na vipi kuhusu kupata ujauzito mwingine huku mtoto akiwa bado mdogo?
 
Kwani kuna madhara gani wakikutana tuseme baada ya wiki hv au cku kumi
 
Na vipi kuhusu kupata ujauzito mwingine huku mtoto akiwa bado mdogo?

Nafahamu kuwa mama akiwa ananyonyesha kama kawaida chance ya mimba inakuwa ndogo sana. Wataalam wanaweza kutufahamisha zaidi.
 
Kama amejifungua vizuri bila ya matatizo ni wiki 6 tu, baada ya hapo mambo yanaenda kama kawaida.
 
Kama amejifungua vizuri bila ya matatizo ni wiki 6 tu, baada ya hapo mambo yanaenda kama kawaida.
Siku hizi mnavyodanganyana .... sijui atatoka nje usimcheleweshe sana ...... mie nadhani kama ulivyosema 6 weeks, lakini itegemee sana afya ya mama na mtoto. Nasikia huwa mnapoteza mzunguko wa nanihii, sasa hapo ukienda ovyo tu ndo inakua bandika bandua unarudi kazini na ternity ....... soga zako wanashaanga
badala ya tumbo kupungua laongezeka .......... na hizi hospitali zetu sikuizi mama akijufua to kigudi
kinapigwa nyuzi kinakuwa kipyaa baba akigusa haachi ................ utashanga tu baba anasema
kwa Kairuki hospitali nzuri sana ........ukiona hivyo ujue imemnyea ....:happy:
 
40 days ila inaweza kuwa more than that....

Even less than that. What matters is not the number of the days, just make sure the woman has healed well and got back to normal.

Some have done it even within 20days.
 
sasa DC utaua hapa, 20 days!

Experience is the best teacher. Unaweza kuweka opion pall labda itakuonesha ninayoyasema. Hivi kama mama kajifungua salama, na tayari keshapona vizuri, utakuwa unasubiri siku 40 ili iweje?

Mambo mengine ni ngumu kumweleza mtu akakuelewa hadi aingie mwenyewe kwenye mchezo.
 
Kwani kuna madhara gani wakikutana tuseme baada ya wiki hv au cku kumi

We Askofu unafikiria hilo ni jambo dogo. Baada ya wiki hata da*** haijakwisha kutoka unataka wakutane? Hata nyuzi bado kutoka? We bado kabisa Mkuu
 
Back
Top Bottom