Waheshimiwa wana JF wa mikoa ya TANGA, MWANZA,ARUSHA,ZANZIBAR NA MBEYA mimi ni mgeni wenu NITAONDOKA hapa DAR ndani ya mwezi mmoja kuanzia sasa nitakuwa KATIKA anga zenu.
1.ni mgeni kwelikweli na kamba mguuni ninayo.
2.Ukiwa miji ya watu sharti upige hodi.
3.Naomba wale wa miji hiyo tuwasiliane kwani nawajua wachache(SI KWA SURA) akina PJ na preta nasikia wapo Arusha zaidi ya hapo......sijui.
1.TANGA wenyeji wangu wa kule nitaomba ushauri wa kanisa lipi naweza kwenda kusali weekend.(hakuna ubaguzi wa dhehebu MUNGU NI MMOJA)ni wapi pana faa??maana naogopa wasichana/wanawake wa Tanga wasijenitia majaribuni.
2.MWANZA.....eeeeh hapa ningependa kupata SATO original ndio kwanza wamevuliwa.
3.ARUSHA....mmmh huu mji??? labda nipate ushauri wa wenyeji wapi niende wapi nisiende.
4.ZANZIBAR.....sijui urojo wapatikana wapi siku hizi,naomba ushauri wapi kwa kwenda nawapi si pa kupita,
5.MBEYA....nielezeni please, wapi safi na wapi si safi....nisije nikajuta kuzaliwa nasikia wachunaji njenje huko na visu mkononi. Labda mtu anaweza kuuliza hobby zangu.....
basi ikiwa ni hivyo hobby zangu mimi ni GENERAL nafit kwenye idara nyingi tu.......ha ha ha ha ili mradi idara hizo ni halali zisizo halali si fit kabisa.
Msaada ninaotegemea ni kuwa.....ukitaka kitu au jambo fulani nenda sehemu fulani.
waweza kuni PM au ukajibu hapahapa barazani.
USHAURI WENU NITAUFANYIA KAZI.