Mwanaume Hanuni!

GFM

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
706
6
Haya wanaJF, niliwahi ulizwa hili swali na bibie mmoja aliyekuwa amekosana na BF wake. Kutokana na maelezo yake inaelekea yeye bibie ndio alikuwa mkosaji. Kitendo kilichompelekea BF kununa. Baada ya kuomba ushauri, akaniuliza eti kaka jamani kwani wanaume wananunaga? Kwa kweli sikuwa na jibu mie nilimwambia tu wanaume ni watu kama nyie na wana miili ya nyama na wanatofautiana sana. Wengine hufa na tai shingoni na wengine huonyesha hisia zao. Hebu nipeni mtizamo wenu, kinadada na akinakaka mnasemaje hapo?
 
mwanaume kweli hanun ..et siku 5 hamuongei??
km ana hasira sana atatoka ataenda ukooo badaye atarud mtalizungumzia tatizo
ukiona kakununia et wiki mmh jaman ..uenda naye alikuwa anatafuta kaoportunity falan ivi juu ya kitu faln ivi..
wanawake mara nyng ndo wananuna...wanaume wanapenda kuclear tatizo once n 4ol...
 
Wanaume kununa kupo ila kupo tofauti sana na kununa kwa wanawake.Wakati ambapo mwanamke anaweza kununa mwezi kama kaudhiwa,ili abembelezwe maana kudeka pia ni hulka ya wanawake wengi. Mwanaume si mara nyingi kufanya hivyo. Mwanaume anayenuna hata wiki moja huyo ni kazi sana kuishi naye!

Kwa kawaida mwanamke ananuna kama njia ya kutoa ujumbe wa kutoridhika na jambo.Ukiona mwanaume kanuna hasemi naye anaweza kuwa anatoa ujumbe kuwa kuna kitu hakiko sawa ila anajua akianzisha mjadala utaishia vibaya. Katika hali kama hiyo, mwanamke mwenye kuelewa na kutaka kusawazisha mambo basi atachukua jukumu kuanzisha mazungumzo na mara nyingi mwanaume atafunguka, wataongea na kumaliza mambo.Mwanaume ambaye bado ataendelea kununa basi huyo hana nia njema na uhusiano.
 
sasa unaonyesha umekomaa vya kutosha kwa wazo lako hili la leo!!!!!!karibu upate "TANDORI CHAPATI""
 
stak
nina kiporo apa cha wali nazi,kisamvu naz,harage naz CHAPAT YANSAIDIANI MIMI?
nikila saiz mpk keshoooooooooooooooooooooo manake iyo shibe yake dooooooooooo maurana ajua!!!!!
 
mwanaume kweli hanun ..et siku 5 hamuongei??
km ana hasira sana atatoka ataenda ukooo badaye atarud mtalizungumzia tatizo
ukiona kakununia et wiki mmh jaman ..uenda naye alikuwa anatafuta kaoportunity falan ivi juu ya kitu faln ivi..
wanawake mara nyng ndo wananuna...wanaume wanapenda kuclear tatizo once n 4ol...

Wanaume kununa kupo ila kupo tofauti sana na kununa kwa wanawake.Wakati ambapo mwanamke anaweza kununa mwezi kama kaudhiwa,ili abembelezwe maana kudeka pia ni hulka ya wanawake wengi. Mwanaume si mara nyingi kufanya hivyo. Mwanaume anayenuna hata wiki moja huyo ni kazi sana kuishi naye!

Kwa kawaida mwanamke ananuna kama njia ya kutoa ujumbe wa kutoridhika na jambo.Ukiona mwanaume kanuna hasemi naye anaweza kuwa anatoa ujumbe kuwa kuna kitu hakiko sawa ila anajua akianzisha mjadala utaishia vibaya. Katika hali kama hiyo, mwanamke mwenye kuelewa na kutaka kusawazisha mambo basi atachukua jukumu kuanzisha mazungumzo na mara nyingi mwanaume atafunguka, wataongea na kumaliza mambo.Mwanaume ambaye bado ataendelea kununa basi huyo hana nia njema na uhusiano.

Roger that, the st. likes those...hapana nuna sisi....kasirika tu inatosha.....vunja tv, radio etc....vunja kasirika.....
Hapana nuna...!
 
Wanaume bwana huwa hawanuni zaidi ya siku tatu ..hawapendi malumbani lakini sisi kina mama unaweza kununa mpaka sura inaanza kupoteza mvuto
sijui tukoje sie
 
mwanaume kweli hanun ..et siku 5 hamuongei??
km ana hasira sana atatoka ataenda ukooo badaye atarud mtalizungumzia tatizo
ukiona kakununia et wiki mmh jaman ..uenda naye alikuwa anatafuta kaoportunity falan ivi juu ya kitu faln ivi..
wanawake mara nyng ndo wananuna...wanaume wanapenda kuclear tatizo once n 4ol...

inategemea na kosa ...
 
hata kosa likiwaje
wanapenda kulizungumza ata km matokeo ya maongez ni mabaya lakin ata least kazungumza na siyo kurefusha mdomo km chujio la chai....

:tape::tape::tape::tape::doh::nono: this is not a woman to marry
 
dah una akili wewe...
jaman nsipoolewa asi ntakufaaa?????
unaimba taarabu wwe?naona umekaa kiswaga izo..ebu jarbu kunpotezea kdg ..dah kasuke ukiri na bibi yako
ur very low ...very min..upeo mfuuuup..woman to mary siyo?
r u husband 2mary?
crap as t z.
REST IN PEACE
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom