Ban kutoka kwa mwl. Rose1980

bacha

JF-Expert Member
Aug 19, 2010
4,284
1,195
Mwalimu wangu Rose kakataa leo nisijibu maswali yote ya darasani!!!!haya nipo break kwa muda!!!!!!!!!!!!
 
Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,687
0
we bacaha nimekwambia stak uchokoz...kwanini uniite mwalimu?
mwalimu asi yule wa mwandiko kwan mimi mwalimu wa mmwandiko na maandish??
kaa kimya nimekwambia mwone vle.....chek spellng uko makosa kibaooooooooooo ata sjaelewa umeandka nin
 
sasa si ndivyo ulivyonifundisha ticha!!!!
 
Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,687
0
bas upo huru kwa msamaha wa rais....ahh yan mimi mwalimu wa mwandko ??ahh apana naandamana......
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom