Hii ni halali kweli je we ishawahi kukutokea? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni halali kweli je we ishawahi kukutokea?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Maty, Nov 18, 2010.

 1. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Yaliyojiri sikukuu ya idd B/F akamualika G/F aende kwake kumtembelea gf akaenda baada ya muda bf akaaga naenda mjini mara moja halafu akatoa mzigo akamwambia usitoke kuna rafiki yangu atafuata huu mzigo ni wa muhimu dada akasubiri subiri na wewe ikafika ucku saa mbili ikabidi aukague huo mzigo akakuta ni machuma na matambara hakuna cha maana alinunaje? Bwana akajirudia saa 6 uck mwenzie ashalala? wakina kaka mwafanyaga hii hv ni halali kweli?
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Hapo alikuwa anamprotect huyo dada asitoke sikukuu hana lolote. Sasa huo mzigo alivyorudi aliuchukua yeye au huyo rafiki yake?
   
 3. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pole sana Maty...achana nae huyo bana mzugaji hana hata huruma...
   
 4. F

  Ferds JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  mpe pole huyo bibie, ila hamna kitu kinachokera kama mwenzio kukugeuza pimbi, yaani huna akili, c bora angemwambia tu uciondoke nisubiri nakuja
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Nov 18, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mama yangu (We Babu Asprin kasema ulintelekezaga nikiwa kichanga......nimekununiaje?)

  Umenikumbusha rafiki yangu alikuwaga na ile stac nataka kwa mkaka mmoja ambaye alimfuatiliaga sana masikini. Siku moja kaomba kumtoa out wakenda mziki kwa sana hadi saa tisa usiku. Mkaka akamrudisha dada hostel mara dada haoni ufunguo wa chumba chake. Kaka kamsaidia kutafuta tena akasajesti amsaidie kuvunja na mlango mdada akawa anaogopa atajielezaje kwa matron. Ikabidi mkaka ashauri wakalale kwake (Kaka alikuwa amepanga nyumba mtaani). Kulichojiri huko hatujui ila asubuhi walikuja wakavunja mlango na kubadili kitasa. After a year wameoana mkaka akautoa ule ufunguo uliopoteaga.....................ni historia kwa kweli but now they are happly married .
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  dah maty..skukuuu niaje kwanza
  pole kwa matukio
  apo dada amwulize kaka kwa upole kisa kizima cha tukio...lakin kwa araka araka kaka alienda kuparty na mwingne ukoo..
  amwulize anamchukuliaje +anamwonaje
  --asije AKAWA ANACHUNGA NYUMBA NA MAMA VANESSA!!!!!
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  HA HA HA Hii kali sana
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Pole sana kumbe idd haikukuendea vyema
  Ukakesha na machuma na matambara
   
 9. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dada hujambo? kumbe ahadi zako ni za kweli tena kweli kabisa cha kunitia hamu ya kusubiri? Faini yako ni kunionjesha babu kidogo
   
 10. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Ndiiiooooo:smile-big::smile-big:
   
 11. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  sasa alinialika nije nimchungie rafiki atakaekuja kuchukua mzigo? kwnini anielike then yeye atoke?...
   
 12. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #12
  Nov 18, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  akitaka drama aulize hayo,ataambiwa mambo ambayo hajawahi kuyackia toka azaliwe...atapumbazika mwisho wa cku matatizo matupu, atumie akili zake za ziada.
   
 13. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Alikualika kwa kuwa ilibidi aonyeshe kuwa anakujali na daima mpo pamoja na hasa katika siku kama hizo za sikukuu!lakini kumbe alikuwa na miadi na kipusa kingine hivyo alienda kukata kiu yake akijua wewe upo katika safe hands, na atakukuta tu home!!!!!!
   
 14. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #14
  Nov 18, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Very very inventive!
   
 15. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #15
  Nov 18, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  jamani mie nlikuwa nasubiri niambiwe eneo la tukio wapi..............ukanchunia mie mwenyewe nlikuwa na hamu ya kukuona acha tu..........

  Saaaasaaaa..........kukuonjesha Babu dah..............Babu yupi sasa maana nshaambiwa hapa JF kote wote ni kina Babu...........
   
 16. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #16
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  hahahaaa jamani watu wana visa lol, mwanangu babu yako nilimwambia naenda tafuta maisha akaniambia nikuache umsaidie kukata majani ya ng'ombe na mi nikashukuru ila ndio nimerudi c nimesikia mwanangu una kazi nzuri na mi maisha yashaninishinda
   
 17. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #17
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Nyamayao umenichekeshaje mwe! kwa hiyo huyo dada asimuulize maana anasema kwa hasira alizokuwa nazo aliamua kukaa kimya acje ongea yasiyoongeleka. Jamaa kurudi akashika laptop mpaka saa nane ndio kalala madai alikua kwa ofc watu wanavituko humu duniani
   
 18. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #18
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Rose ana hamu hata ya kumuuliza kaja kajifanya kachoka mana hanywi pombe na laptop anaendelea kujifanya/sijui kweli anaendelea na kazi m2 kama huyo utaanzaje kumuuliza?
   
 19. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #19
  Nov 18, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Strategy hii imeenda shule kweli.....!
   
 20. GY

  GY JF-Expert Member

  #20
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  we Maty huna adabu, kwanini ukafungua mzigo usio wako.....
   
Loading...