Kufuli 'seken-hendi', zipigwe marufuku au hali ile ile?

Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Messages
14,702
Likes
141
Points
135
Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2008
14,702 141 135
Mambo ndani ya Ghana hapo wakuu....:target:

Ghana bans second-hand knickers

_50164184_img_0801.jpg

Many clothes sold in markets in Ghana are second hand and imported from Europe

Market traders in Ghana will be banned from selling second-hand underwear from next February, trade regulators say.

According to the Ghana Standards Board, used pants - and other second-hand goods like handkerchiefs and mattresses - are unhygienic and could pose a health hazard.

The importation of these items was banned in 1994 but never implemented.

Some traders in a market in the capital, Accra, told the BBC they were unhappy the move might affect business.

The BBC's David Amanor in the city says there is a lot of consumer demand for second-hand clothing, often imported from Europe, as it is cheaper than locally produced items.

It is the same in many African countries.

Stained goods

"Ghana is a third world country; we've been doing this all along, so why are they talking about a ban now?" Millicent, a trader in Kantamanto Market in central Accra, told the BBC's Network Africa programme.

"The authorities should think again because our livelihoods are at stake."

Cynthia, another market trader, defended the business.

"Second-hand underwear and other clothes we sell here at Kantamanto Market are better quality than new undies in the stores," she said....:yuck:

She admitted that some of the imported underwear was stained but said customers rummage through the piles and inspect goods before buying.

"No matter how poor the person is, they will not chose stained ones and we throw them away," she said.

One trader insisted that all the goods she sold had been disinfected.

Our reporter says second-hand clothing is often referred to as "obroni wewu", which literally translates as "white man's deads".

Some customers also seemed dismayed by the news of the forthcoming ban, he says.

"I've been wearing 'obroni wewu' all my life from infancy - all the clothes you see on me today from up to down are 'obroni wewu' - and I never fell sick because of used clothes," says Doris, a shopper at Kantamanto Market.

The Ghana Standards Board has re-iterated that it is not all used clothes that are banned.

It says an education campaign is under way to ensure that dealers in second-hand comply with the law before the ban comes into effect.

BBC News - Ghana bans second-hand knickers
 
Gaijin

Gaijin

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2007
Messages
11,845
Likes
80
Points
0
Gaijin

Gaijin

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2007
11,845 80 0
Ukikumbuka kuwa watu wanavaa second hand underwear ndo unapojua watu ni maskini kiasi gani.
 
cheusimangala

cheusimangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Messages
2,590
Likes
14
Points
0
cheusimangala

cheusimangala

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2010
2,590 14 0
zilipigwa marufuku,kwani bado zipo sokoni?
 
Gaijin

Gaijin

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2007
Messages
11,845
Likes
80
Points
0
Gaijin

Gaijin

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2007
11,845 80 0
Zipo Cheusi..............wenyewe wanakwambia mpaka kufuli zinakuwa na brand names. Mtu anamechisha Valentino kuanzia juu hadi chini, nje hadi ndani :D
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
29,462
Likes
14,747
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
29,462 14,747 280
SIdhani kama ni umaskini ila kama ndivyo sio wote, maana ukienda hata karume, mwenge na kariakoo utakuta mabrazameni na masista duu kibao wanazigombea!!! mie nadhani ni ulimbukeni tuuu
 
Mtu wa Pwani

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2006
Messages
4,126
Likes
99
Points
145
Mtu wa Pwani

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2006
4,126 99 145
chupi za mtumba kwanza ni strong au nzima na jengine ni fashionable

ila kwa kweli ni hatari sana huenda ukapata mafungus ya kule ambalo ni jambo la hatari
 
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
12,002
Likes
6,125
Points
280
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
12,002 6,125 280
Just think kwanza chupi, ni nini, then uambiwe ilitumiwa na sasa unauziwa, HAZIFAI KABISA SERIKAI YETU imeziacha zinaingia nchini
hovyo, mm na ww tunaweza tusinunue,ila hawa raia wengi hata hawajui used underwear, aibu tupu
 
cheusimangala

cheusimangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Messages
2,590
Likes
14
Points
0
cheusimangala

cheusimangala

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2010
2,590 14 0
Zipo Cheusi..............wenyewe wanakwambia mpaka kufuli zinakuwa na brand names. Mtu anamechisha Valentino kuanzia juu hadi chini, nje hadi ndani :D
hiyo ndo ufahari bila mali,ukipata migonjwa isiyojulikana utamlaumu nani.
 
afrodenzi

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
18,164
Likes
2,464
Points
280
afrodenzi

afrodenzi

Platinum Member
Joined Nov 1, 2010
18,164 2,464 280
unajua si kila mtu anauwezo wa kwenda kununua vitu dukani...
yaani unadhani huyo bibi kabeba kuni zake mpaka mjini kauza mkungu miatano
halafu aende kununua chupi ya shilingi 500 na atapata ya shilingi 100 mtumbani..
hiyo hela si bore aende kuwalisha wanae nyumbani
tunatakiwa tupate solution kabla ya ku make any decision.....
kama sirikali itaanzisha viwanda vya chupi ya behi rahisi
basi inatakiwa wafanye hivyo kabla ya kukataza hizo ziingie nchini.....
 
Mbu

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Messages
12,736
Likes
269
Points
180
Mbu

Mbu

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2007
12,736 269 180
...ukishaachia wananchi wanunue leggings, sidiria na soksi mtumbani, ---ni kuwaonea bure eti wasinunue chupi.
Zikishafuliwa ni sawa wamemrithi tu marehemu :thumb:
 
Mtu wa Pwani

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2006
Messages
4,126
Likes
99
Points
145
Mtu wa Pwani

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2006
4,126 99 145
kwa kweli ni hatari sana kununua haya mitumba ila umaskini na kuletewa vitu visivyo quality watu wanpenda kununua mitumba

mfano soksi mm nilikua mpenzi sana wa soksi sasa nilifanya fungus na usumbufu wake nnajuta

ila kwa kweli quality na durability mitumba iko juu kuliko mpya maana ukinunua mpya na mtumba na baada ya wiki tu utaona mtumba iko bomba kuliko mpya
 
Gaijin

Gaijin

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2007
Messages
11,845
Likes
80
Points
0
Gaijin

Gaijin

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2007
11,845 80 0
kwa kweli ni hatari sana kununua haya mitumba ila umaskini na kuletewa vitu visivyo quality watu wanpenda kununua mitumba

mfano soksi mm nilikua mpenzi sana wa soksi sasa nilifanya fungus na usumbufu wake nnajuta

ila kwa kweli quality na durability mitumba iko juu kuliko mpya maana ukinunua mpya na mtumba na baada ya wiki tu utaona mtumba iko bomba kuliko mpya
Tatizo la msingi ni bei. Hatuwezi kulaumu watu kuvaa mitumba wakati hakuna chengine cha bei rahisi zaidi. Watu wasiojua Majina wangependa kuvaa nguo za ndani za Brand New kama zingekuwa zinapatikana kwa bei ya chini kuliko mitumba au angalau ziwe zinalingana kidogo.

Mwenye pesa yake akavaa nguo za ndani za mitumba kwa ajili tu ya kufata Brand Name au durability tu, nadhani hatuwezi kumuonea huruma.
 
F

furahi

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
947
Likes
43
Points
45
F

furahi

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
947 43 45
Kwa swala la umaskini NAKATAA!!! Coz, chupi za mtumba zinauzwa 1000-2000 Tshs. Chupi mpya kkoo zinapatikana kuanzia 500 -1000 Tshs.Mtu hawezi acha chupi mpya ya sh 1000 akanunue mtumba wa 2000. Ukweli ni kwamaba chupi za mtumba ni imara zaidi na ziko kwenye chart. Sasa huwezi kwenda kkoo ukakuta chupi mpya ya 500 au 1000 ambayo ni imara au fashionable. Thats why unakuta wa2 wanakimbilia Karume! Nazungumzia kkoo coz ni shoping place ambayo almost kila mwananchi anaweza kwenda. Kwa wachache sana wenye uwezo huwa wanaenda maduka kama Cassandra na mengine ambayo bei ya chupi ni kubwa kidogo.
 
Hivi chupi imara ndo ipi?

Na zilokuweko kwenye fashion ni zipi?
 
F

furahi

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
947
Likes
43
Points
45
F

furahi

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
947 43 45
Ukinunua chupi ya mtumba una uwezo wa kuivaa hadi 6 months but chupi ya mchina ya sh 500 haimalizi mwezi! Ninaposema fashionable kama wewe ni mwanamke au mwanaume unayejua fashion utakuwa umenielewa, unless uniambie wewe ni padri!
 
Furahi umenifurahisha @unless uniambie wewe ni padri!

Sasa wewe chupi unataka kuvaa miezi sita yote hiyo ya nini? Kisha huu mtindo walionao wengi bongo wa 'kuroweka' chupi kwenye sabuni ndo kunakopelekea chupi kuchakaa upesi.

Hivi zinauchafu wa kiasi gani mpaka irowekwe?

Za fashion nauliza ndo zipi maana kuna wengine wao boy shorts kwa wanawake wanaona ndo fashion, wakati wengine wanaona za kwenda mpaka kwenye kitovu na kubana tumbo ndo mwake.

Wengine wanaona lace ndo inayotakiwa, wakati wengine wanataka plain white cotton. .........

Ndo maana nikauliza, fashionable ni zipi?
 
Nilivyozungumzia miezi sita nilikuwa nazungumza kwa watz wote coz nina uhakika asilimia 80 ya watz ni maskini. Hawana uwezo wa kununua chupi kila MWEZI. Mimi mwenyewe siwezi vaa chupi miezi 6! Lakini hiyo hainifanyi nikanunue lonya la 500 kisa sitaki kuivaa muda mrefu! Fashionable ni namna unavyoonekana unapoivaa. Am sure many girlz wants 2 look sexy in underwearz au unasemaje?
 
Gaijin

Gaijin

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2007
Messages
11,845
Likes
80
Points
0
Gaijin

Gaijin

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2007
11,845 80 0
Nilivyozungumzia miezi sita nilikuwa nazungumza kwa watz wote coz nina uhakika asilimia 80 ya watz ni maskini. Hawana uwezo wa kununua chupi kila MWEZI. Mimi mwenyewe siwezi vaa chupi miezi 6! Lakini hiyo hainifanyi nikanunue lonya la 500 kisa sitaki kuivaa muda mrefu! Fashionable ni namna unavyoonekana unapoivaa. Am sure many girlz wants 2 look sexy in underwearz au unasemaje?
Kweli urembo kazi.

Yaani mtu una hiari kununua G string ya mtumba, hujui ilivaliwa na mtu wa aina gani kwa ajili ya urembo tu.
 
F

furahi

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
947
Likes
43
Points
45
F

furahi

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
947 43 45
Kweli urembo kazi.

Yaani mtu una hiari kununua G string ya mtumba, hujui ilivaliwa na mtu wa aina gani kwa ajili ya urembo tu.
To look sexy si lazima uvae gstring ndugu yangu. Kuna styles nyingi za chupi unaweza kuvaa hata boxer za kike pia ni nzuri. Mimi mwenyewe sishauri gstring. Kwanza hizo gstring si wote zinawapindeza halafu hata kama si ya mtumba gstring zinachubua sometimes zinaweza kumletea m2 maradhi.
 
Forum statistics

Threads 1,237,306
Members 475,501
Posts 29,283,973