mafataki mshindwe na mlegee,tena mkome na mkomae!!

cheusimangala

cheusimangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Messages
2,590
Likes
14
Points
0
cheusimangala

cheusimangala

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2010
2,590 14 0
ANASWANADENTI.jpg?width=550
Na Musa Mateja
Mafataki wameweka pamba masikioni lakini ilishaandikwa za mwizi ni 40, aya zinazofuata zina kile kilichompata mfanyabiashara anayedaiwa kupenda ngono na ‘videnti'.

Ijumaa iliyopita (Novemba 26, 2010), mfanyabiashara huyo ambaye aligoma kutaja jina lake, alinaswa akiwa na denti wa miaka 10, wakiingia Gesti ya Green, Sinza, Dar es Salaam.

Habari zinasema kuwa mhudumu wa gesti hiyo (jina tunaliminya) alikuwa wa kwanza kumtilia shaka mfanyabiashara huyo kabla ya wananchi wenye hasira kuingilia kati na kumpa kipigo chenye uzani mkubwa.

LIFTI NI CHANZO CHA YOTE
Siku hiyo, majira ya saa nane alasiri, denti huyo (jina lake na la shule kapuni), akiwa na sare za Shule eneo la Legho, Sinza, alisimamishwa na mfanyabiashara huyo aliyekuwa ndani ya taksi.

8.jpg?width=450
Habari zaidi zinasema kuwa mfanyabiashara huyo akiwa amevaa sura ya mtu mwema, alimtaka denti huyo apande kwenye gari ambaye naye kwa wakati huo alisahau tangazo la Sidanganyiki.

LIFTI MPAKA GESTI
Taarifa za mashuhuda kwa kuunganisha na maelezo ya mtoto, zinatoa picha kuwa wakiwa ndani ya taksi, mfanyabiashara huyo alimuomba mtoto huyo wakapumzike gesti na angempa shilingi 10,000.

Mtoto kusikia 10,000 kwa kuongezea chips kuku na soda akaona mtu mwema ndiyo huyo, bila kujua kwamba alichokuwa anakwenda kufanyiwa ni kitendo kichafu kupita kiasi.

Vyanzo vyetu vilisema kuwa baada ya kumpa lifti eneo la Legho, walifika mpaka kwenye Gesti ya Green iliyopo Sinza ya Madukani.

Baada ya kufika kwenye gesti hiyo, mfanyabiashara huyo aliingia kwenye nyumba hiyo ya wageni na kukodi chumba, alipopata alirudi kwenye gari kumchukua denti huyo kisha kwa mwendo wa kujiamini akaingia naye ndani.

DENTI.jpg?width=450
WANANCHI WAKASEMA HAIWEZEKANI
Mhudumu baada ya kuona mteja wake anataka kuingia chumbani na mtoto huyo, akahamaki lakini kabla ya kufanya chochote, kundi la watu kutoka nje walimvaa mfanyabiashara huyo na kuanza kumpa kipigo.

Wananchi hao walianza kumpa kipigo mfanyabiashara huyo ambaye baadaye kwa kuhofia maumivu zaidi, alitimua mbio hadi kwenye taksi aliyokwenda nayo.

Watu hao wenye hasira walijaribu kumchomoa lakini mwenye gari aliomba wasivunje vioo, badala yake waasubiri Polisi wafike.

SINZA YAZIZIMA
Wananchi walijaa barabarani kushuhudia tukio hilo, hivyo magari yakawa hayapitiki na kusababisha foleni kubwa katika Barabara ya Shekilango.

Kelele za wananchi waliotaka mfanyabiashara huyo ‘asulubiwe' ziliisha pale Polisi walipofika eneo la tukio na kumchukua mtuhumiwa huyo na kwenda naye katika Kituo cha Polisi Urafiki, Dar.

MAMANADENTI.jpg?width=450
KAULI YA MTOTO
Huku akilia, mtoto huyo alisema: "Mimi sikujua ananipeleka wapi, alinipa lifti, akasema atanipa shilingi 10,000 nikiingia naye gesti."

MAMA WA MTOTO
"Huyu baba lazima nimfikishe pabaya, siwezi kumuacha kwa hiki kitendo alichomfanyia mwanangu," alisema mama wa mtoto huku akigoma kutaja jina lake.

MIMI CHEUSIE NIKIWA KAMA MAMA MTARAJIWA ROHO YANGU IMEUGUA SANA KWA KITENDO HIKI.
NAKILAANI SANA HICHI KITENDO NA NINAWAWEKA WANAUME WOTE WENYE TABIA KAMA HIZI KATIKA KUNDI MOJA NA NGURUWE.
MAFATAKI MSHINDWE NA MLEGEE ,VIUMBE MSIO NA HAYA WALA KUJUA VIBAYA!
m#sc#zenu!
 
M

MUSINGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
462
Likes
175
Points
60
M

MUSINGA

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
462 175 60

I DONT LUV YOU ALL.
na vitito vya siku hizi navyo,akupe chips babako huyo
 
U

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Messages
4,745
Likes
29
Points
145
U

uporoto01

JF-Expert Member
Joined May 23, 2008
4,745 29 145
Hamna stori iliyonisikitisha kama hii kwa leo badala ya kuchoma wezi wa simu wangemchoma huyu mafataki wote wangetia akili,mtoto wa miaka 10 unamfanya nini ? :sad:
 
Msanii

Msanii

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2007
Messages
6,446
Likes
393
Points
180
Msanii

Msanii

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2007
6,446 393 180
Tatizo CHEUSI unabana mnooo ndo maana jamaa ameamua kukimbilia denti.

tabia mbaya sana kuparamia vitoto vya shule. havina ladha kwanza
 
LoyalTzCitizen

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2010
Messages
2,081
Likes
314
Points
180
LoyalTzCitizen

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2010
2,081 314 180
Huyu jamaa na wote wenye mitazamo kama yake hawatakiwi kabisa kuwapo ktk jamii! ni wa kumfunha kifungo cha maisha huyu shetani! Flippin hell!??aBLcfgskjhf!! bkbjn ooyv1?? Nikiwa kama mzazi Cheusimangala umeniharibia jioni yangu baada ya kufurania El Clasico game ya Barca na RMadrid sasa umenipa majonzi ya hii news! Yak!! can you imagine to see the guy next week mtaani! Eee Mungu utulindie watoto wetu na haya Majinunu!:nono:
 
NILHAM RASHED

NILHAM RASHED

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Messages
1,628
Likes
1
Points
0
NILHAM RASHED

NILHAM RASHED

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2010
1,628 1 0
may god punnish him till the end of his life,,,,
 
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2009
Messages
9,538
Likes
7,404
Points
280
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2009
9,538 7,404 280
ni kweli lkn bado mtoto ni mtoto na huyo fataki ndiye mwenye makosa na laana.
Dada Cheusi naomba nitofautiane na wewe Kidogo, Kwa jinsi nilivyosoma hapo juu, hako katoto wala hakakuwa na wasiwasi na kile kilichokuwa kinaenda kutokea, mimi siamini kuwa huyo mtoto alikuwa hajui kuwa wanaenda Guest kufanya nini? Sawa tumlaumu huyo fataki laikini na hako katoto kanahitaji lawama pia nadahni hata kakichekiwa katakutwa na shimo la kikubwa
 
LoyalTzCitizen

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2010
Messages
2,081
Likes
314
Points
180
LoyalTzCitizen

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2010
2,081 314 180
Dada Cheusi naomba nitofautiane na wewe Kidogo, Kwa jinsi nilivyosoma hapo juu, hako katoto wala hakakuwa na wasiwasi na kile kilichokuwa kinaenda kutokea, mimi siamini kuwa huyo mtoto alikuwa hajui kuwa wanaenda Guest kufanya nini? Sawa tumlaumu huyo fataki laikini na hako katoto kanahitaji lawama pia nadahni hata kakichekiwa katakutwa na shimo la kikubwa
We kituko heb wacha vituko! huyu mtoto ni 10yrs old!, unategemea ajue nini?? Ofc'se she had no clue of what was goin to happen to her, on the return of the offer from that perv! Aaarghh:mad::mad:
 
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Messages
21,644
Likes
2
Points
145
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2010
21,644 2 145
Duh!!! Kuna watu wengine banaa sijui hata nisemeje anyway ni tukio la aibu sana
 
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2007
Messages
20,562
Likes
1,584
Points
280
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2007
20,562 1,584 280
ni kweli lkn bado mtoto ni mtoto na huyo fataki ndiye mwenye makosa na laana.
watoto wa siku hizi bana yaani toto la miaka kumi linasema eti halijui lilikuwa linapelekwa wapi???pumbavu kabisa...
 
Tausi Mzalendo

Tausi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2010
Messages
1,471
Likes
10
Points
0
Tausi Mzalendo

Tausi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined May 23, 2010
1,471 10 0
Hii story imefupishwa sana ...kufuatana na maelezo ya mtoto na hata walioshuhudia wakiwemo wahudumu wa gesti hizo, Lifataki hilo lilitanga na mtoto huyu kwenye gesti kadhaa Sinza kwa miguu kabla ya kuchukua taxi.

Kote walikopita walikataliwa kupewa chumba maana wahudumu waliona kaongozana na mtoto. Ndio lijamaa likaona isiwe noma, ngoja achukue taxi waende maeneo ya mbali.Wakati wanatembea kwa miguu na jamaa akiingia kuangalia kama nafasi ipo, mtoto akiwa kabaki nje aliwahadithia wakaka flani waliokuwa karibu kuhusu jamaa na ahadi ya elfu 10, wakaka wale wakawa wanamlia timing!

Sasa alipoamua kuchukua taxi na kumuita mtoto apande, ndipo walipoingilia kati na hata taxi driver alimuuliza fataki..."huyu mtoto mbona hataki kupanda ni mwanao"? akaitika ' ndio"...

Kwa kifupi, nionavyo na nilivyosikiliza mahojiano na mtoto, walioshuhudia na hata driver wa taxi mtoto hakuwa anataka kulala na huyo bwana, inaonekana alikuwa anataka kumfunza adabu. Na kipondo cha haja alikipata. Na inasemekana jamaa alikuwa na kitambulisho kilichoonyesha yeye ni askari!
 
E

engmtolera

Verified Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
5,111
Likes
85
Points
145
E

engmtolera

Verified Member
Joined Oct 21, 2010
5,111 85 145
jamani kama vipi jamaa akatwe sehemu zake za ...........ili kupunguza speed,kwani hatujui ni watoto wangapi kawafanyia jambo la namna hiyo na pengine wengine ni dada zetu.

mapinduziiii daimaaaa
 
LoyalTzCitizen

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2010
Messages
2,081
Likes
314
Points
180
LoyalTzCitizen

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2010
2,081 314 180
hi story imefupishwa sana ...kufuatana na maelezo ya mtoto na hata walioshuhudia wakiwemo wahudumu wa gesti hizo, Lifataki hilo lilitanga na mtoto huyu kwenye gesti kadhaa Sinza kwa miguu kabla ya kuchukua taxi.Kote walikopita walikataliwa kupewa chumba maana wahudumu waliona kaongozana na mtoto. Ndio lijamaa likaona isiwe noma, ngoja achukue taxi waende maeneo ya mbali.Wakati wanatembea kwa miguu na jamaa akiingia kuangalia kama nafasi ipo, mtoto aliwahadithia wakaka flani kuhusu jamaa na ahadi ya elfu 10, wakaka wale wakawa wanamlia timing! Sasa alipoamua kuchukua taxi na kumuita mtoto apande, ndio walipoingilia kati na hata taxi driver alimuuliza huyu mtoto mbona hataki kupanda ni mwanao? akaitika ' ndio"...
Kwa kifupi, nionavyo na nilivyosikiliza mahojiano na mtoto, walioshuhudia na hata driver wa taxi mtoto hakuwa anataka kulala na huyo bwana, inaonekana alikuwa naye anataka kumfuza adabu. na kipondo cha haja alikipata. Na inasemekana jamaa alikuwa na kitambulisho kilichoonyesha yeye ni askari!
Huhhh! duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!
 
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2010
Messages
12,556
Likes
2,368
Points
280
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2010
12,556 2,368 280
Huku akilia, mtoto huyo alisema;Mimi sikujua ananipeleka wapi, alinipa lifti, akasema atanipa shilingi 10,000 nikiingia naye gesti.
Jamani hivi sisi wanaume tumekuwaje? hiki si kitoto kabisa hata kumtamani unaanzia wapi? But na hawa watoto waangalie bwana, hapo kwenye red na bleu ni contradiction, cheki akisema me sikujua ananipeleka wapi na kwenye blue wakati kwenye red anajichanganya aliposema atanipa shilingi 10000 nikiingia naye gest, hamuoni kuwa kalikuwa kanafahamu kalikokuwa kanapelekwa?

Yote tisa kumi huyu mwanamume na wanaume wengine wa namna hii tunapaswa kuchapwa tu, jamani kama uaminifu kwenye ndoa umekushinda si bora ukanunue kwa wakubwa wenzio?
 
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2010
Messages
12,556
Likes
2,368
Points
280
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2010
12,556 2,368 280
Huku akilia, mtoto huyo alisema;Mimi sikujua ananipeleka wapi, alinipa lifti, akasema atanipa shilingi 10,000 nikiingia naye gesti.
Jamani hivi sisi wanaume tumekuwaje? hiki si kitoto kabisa hata kumtamani unaanzia wapi? But na hawa watoto waangalie bwana, hapo kwenye red na bleu ni contradiction, cheki akisema me sikujua ananipeleka wapi na kwenye blue wakati kwenye red anajichanganya aliposema atanipa shilingi 10000 nikiingia naye gest, hamuoni kuwa kalikuwa kanafahamu kalikokuwa kanapelekwa?

Yote tisa kumi huyu mwanamume na wanaume wengine wa namna hii tunapaswa kuchapwa tu, jamani kama uaminifu kwenye ndoa umekushinda si bora ukanunue kwa wakubwa wenzio?
 
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Messages
21,644
Likes
2
Points
145
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2010
21,644 2 145
watoto wa siku hizi bana yaani toto la miaka kumi linasema eti halijui lilikuwa linapelekwa wapi???pumbavu kabisa...
Kwanini mnamsakama mtoto na sio huyo mwanaume angekuwa ni mtoto wako ungesema nini au ungefanya nini fikiria mara mbili kabla ya kusema mtoto ni mpumbavu
 
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Messages
21,644
Likes
2
Points
145
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2010
21,644 2 145
Jamani hivi sisi wanaume tumekuwaje? hiki si kitoto kabisa hata kumtamani unaanzia wapi? But na hawa watoto waangalie bwana, hapo kwenye red na bleu ni contradiction, cheki akisema me sikujua ananipeleka wapi na kwenye blue wakati kwenye red anajichanganya aliposema atanipa shilingi 10000 nikiingia naye gest, hamuoni kuwa kalikuwa kanafahamu kalikokuwa kanapelekwa?

Yote tisa kumi huyu mwanamume na wanaume wengine wa namna hii tunapaswa kuchapwa tu, jamani kama uaminifu kwenye ndoa umekushinda si bora ukanunue kwa wakubwa wenzio?
genekai kuna wanaume wengine hata sijui unaweza ukasemaje, halafu huyu jamaa inaonekana ndio mchezo wake huyo
 
Forum statistics

Threads 1,236,755
Members 475,220
Posts 29,267,850