Ujumbe kutoka Lamu!

NILHAM RASHED

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Messages
1,628
Likes
1
Points
0

NILHAM RASHED

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2010
1,628 1 0
bukheyr alhamdulillah!!si tumekesha wote jana wee??mi sikulala mwenzio na asubuhi nimeamkia hapa ila sikuoni,,kazini sikwenda nimechelewa kuamka kwa ajili yako hapa bado nina kelele za amy yangu anifukuza ukumbini..na lap top aliitia chini ya meza anambia nimechanganyikiwa.halafu nenda kanijibu eti kiduku ni nini?? kwenye picha ya obama...jphoto..
ile mi shosti miwili duh!........ Kaifa alek! Mamie
 

hashycool

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2010
Messages
5,898
Likes
449
Points
180

hashycool

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2010
5,898 449 180
bukheyr alhamdulillah!!si tumekesha wote jana wee??mi sikulala mwenzio na asubuhi nimeamkia hapa ila sikuoni,,kazini sikwenda nimechelewa kuamka kwa ajili yako hapa bado nina kelele za amy yangu anifukuza ukumbini..na lap top aliitia chini ya meza anambia nimechanganyikiwa.halafu nenda kanijibu eti kiduku ni nini?? Kwenye picha ya obama...jphoto..
dah weye naye taratibu na hiyo lap top....jf unaweza jikuta unakesha mbili bila tarajia kiduku ntakujibu soon
 

Forum statistics

Threads 1,203,553
Members 456,824
Posts 28,118,457