Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

ivi ni kwanini unapokuwa kwenye matatizo ndo usumbufu wa maisha huzidi 1. unapokuwa kwenye uhusiano mbovu watongozaji nao humiminika kama maji ya mvua 2.ukiwa huna hela ndo habari za matatizo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
1.Ewe malenga mahiri,mie mgeni wako, Lillilo kwako shuburi,sio tamu kwa mwenzako, Leo naomba hubiri,utambue vya wenzako, Wapandaje mbegu zako,hilo sio shamba lako 2.Hilo sio shamba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waungwana napenda nifike kwa Babu hapo Loliondo na mm nikanywe Juice ya Babu nimegundua juice ya babu ina husika sana katika kuokoa maisha ya mwanadamu. Babu amekuwa ndo kimbilio la wanyonge na...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Mimi jana kaitembelea mkahawa maarufu jijini Dar.Wenzangu sikuamini yale niliyoyaona. Hapa Kwetu kuna wenzetu wanaolipa Dola Mia Tatu Hamsini usiku moja katika jumba cha Kulala....Maskini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aman kwenu wana jf popote na muda mlipo,kuna kitu kina nitatizo.katika mbuga ya wanyama ya saadani naskia kuna kijiji kmezungukwa na ile mbuga,watu wanaishi mle na kufanya shughuli zao bila...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari ya mchana,asubuhi etc wana jf.Naamini Mola anaendelea kuwapa uhai japo wakati mwingine mnasahau kumshukuru na kutubu kwa kuvunja amri ya 7 kwa kujitambulilisha jukwaani kwa majina...
0 Reactions
382 Replies
36K Views
Katika hali isyo ya kawaida, jamaa fulani hapa mtaani kaamua kutoroka familia yake na kukimbilia kusikojulikana kwa sababu ya ugomvi usioisha ndani ya familia yake, yeye na mke wake wa ndoa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa? Hope you had a wonderful weekend. Kuna hii tabia inatokea kwenye mahusiano ya kimapenzi hasa kwenye ndoa. Utakuta inapotokea baba na mama wamekosana mmoja wao anahama...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Haya tena Cheaters Everyone is bound to cheat on their spouse one time or another. Chance comes to all. Opportunities abound for all to seize. Admittedly, cheating is sweet (stolen bread is...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hongera sana mwana familia mwenzetu wa JF mzee wa rula na familia yako! Natambua kuwa Mungu amewajalia mtoto wa kike jana jumapili saa 6.30 mchana hapo Selian (LMC) Arusha. Tunawaombea mama na...
0 Reactions
144 Replies
11K Views
Katika pitapita yangu nimekuja kugundua matatizo yote ya maisha wanao sababisha ni wanawake!!Kwani wanawake bila ya kujalisha aliyeolewa na ambaye ajaolewa wote ndiyo wanaosababisha ugumu wa...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
  • Closed
Mungu atusadie lakin huu mchezo wa tgo kwa dada zetu umeshamiri sana'hii ndo list ya vdemu vinavyoliwa tigo tusionane wabaya nia nikubadilika'waigizaji wa kike kuna lulu'irene uwoya'naomba mjazie...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Nimesoma mahali fulani mwanamume anatafuta ushauri baada ya kugundua kuwa mke wake amemsaliti, lakini linaweza kumfika mwanamke pia, iwe kwenye ndoa au katika mahusiano tu. Mkasa ulikuwa hivi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi ni kwa sababu gani wanawake wengi wanakuwa na matumbo makubwa(vitambi)?takribani 70% ya wanawake wapo hivyo.
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Ndugu zanguni nimeona Babu akiwa anaponya magonjwa makubwa ya ukimwi kisugar na moyo figo na mengineyo..binafsi nimeonyeshwa kuanzishwa loliondo ya makapera kuwaponya roho zao na waleo...
0 Reactions
41 Replies
8K Views
Jamani wanaJF eti mwenzenu nifanyeje..?? Mara kwa mara huwa naota kwamba nafanya mapenzi na dada m1 ambaye kashafariki tangu mwaka 2005 na anadai kwamba ananipenda sana tena sana na anataka...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari za w/end wanaJF wote. Kuna tangazo kwenye tv jamaa na mkewe wapo kwenye taxi wamebeba godoro la comfy. Jamaa mwingine na mkewe wanalisifia eti mtoto wao wa kwanza wamempatia kwenye hilo...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Jamani naomba kutoa kisa hiki.Inaweza kua either uliwahi kuickia au kukutana nacho. Ni kati ya wapenzi waliopenda sana kiac cha kila sehemu walikwenda wote walishrikiana kwa kila jambo mpaka...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Karibu mara zote watu wamekuwa wakichukua magari second hands na kuyafanya vifaa vyao vya maisha hadi kifo....! Magari mengine yanakuwa yakiibiwa kwa muda bila mwenyewe kushtukia kama gari lake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu, kwa experience niliyonayo nimegundua kuwa ndoa inayohusisha mwanamke ambaye ni nurse inakuwa mateso. Kama mjuavyo hawa manurse wanakuwa na 'night' na nimegundua kupitia hzo night hawa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom