Tanzania--Nchi ya Fisi Mla maskini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania--Nchi ya Fisi Mla maskini

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kayundi2, Mar 15, 2011.

 1. k

  kayundi2 JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi jana kaitembelea mkahawa maarufu jijini Dar.Wenzangu sikuamini yale niliyoyaona.
  Hapa Kwetu kuna wenzetu wanaolipa Dola Mia Tatu Hamsini usiku moja katika jumba cha Kulala....Maskini Watanzania.....Niliwaona karibu wabungu wanne humo ndani.
  Ziangalie baadhi ya hiz Mahoteli
  The Best Hotels in Dar-es-Laam Tanzania
   
Loading...