daughter
JF-Expert Member
- Jun 22, 2009
- 1,275
- 745
Habari zenu wapendwa? Hope you had a wonderful weekend.
Kuna hii tabia inatokea kwenye mahusiano ya kimapenzi hasa kwenye ndoa.
Utakuta inapotokea baba na mama wamekosana mmoja wao anahama kutoka room yao ya kila siku na kwenda kulala either kwa watoto au guests' room(anaenda exile)
Swali langu ni je hii ni njia sahihi ya kutatua mgogoro?
Na je,nini madhara (kama yapo) ya hii exile kama ni sasa au baadaye katike mahusiano hayo?
Naombeni mawazo yenu katika hili.
Shukrani.