Kwa wakubwa tu!!!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wakubwa tu!!!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by charger, Mar 11, 2011.

 1. charger

  charger JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Habari ya mchana,asubuhi etc wana jf.Naamini Mola anaendelea kuwapa uhai japo wakati mwingine mnasahau kumshukuru na kutubu kwa kuvunja amri ya 7 kwa kujitambulilisha jukwaani kwa majina yasiyokuwemo kwenye vyeti vyenu vya kuzaliwa.
  Tuachanane na hayo,hoja yangu leo ni kuhusu milio ya magari na wasafiri.Yapo magari aina nyingi kama scania,fiat,Nissan march,Toyota hilux,Suzuki escudo,Nissan murrano,Leyland na mengine mengi.Ishu inakuja wakati wa safari kuna magari yanamlio mkubwa tangu mwanzo wa safari hadi mwisho,mengine hata kama hayana mzigo mkubwa yanalia kama yana tani 200 za sukari,mengine yanalia kama vile yapo na speed 160km/hr kumbe unaweza kukuta ni speed 20 tu.Mengine yanaunguruma kama simba,mengine yanatoa sauti kama vile gear imeingizwa bila kukanjangwa clutch,mengine mlio kama mafla zimepasuka,mengine kama vile yanatembelea rim.
  Namengine yenyewe ni kimya kimya tu liwe na mzigo ,kona kali,mteremko mkali lenyewe ni kimya tu.Na mengine likiwashwa tu basi wapangaji woooote watajua baba,mama,dada au kaka flani kaanza safari
  Swali ni hivi,je sauti na mlio wa gari au ukimya wa gari wakati wa safari unauhusiano wowote katika kumpa hamasa au kumwondolea raha msafiri?
  Nawasililisha hoja kwa yeyote atakaye husika.
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Kama hupeni mlio wa gari lako, jaribu kutembelea 4wheel tuone, yani fanya kitu cha kwenye tope.
   
 3. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  tobaaaaa
   
 4. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Una uhusiano...ila yabidi kuwa makini wakati mwingine au kwa baadhi ya watu ni kero!:juggle::lol:
   
 5. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Unapaswa kuwa unabadiri oil kila mwisho wa wiki mkuu, au kama unalo moja nunua lingine lenye mlio tofauti
   
 6. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Duh! Pongezi mkuu!!! Huo ufafanuzi hata akija mtoto wa miaka 8 hapati picha..
   
 7. g

  geophysics JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Good narration of your thought and clear statement... Nimeipenda sana hii imekaa vizuri na ki ustaarabu zaidi.
   
 8. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  siku zinavyozidi kwenda nahisi kuna jambo linakubadili Biggie.....sijui ni nini...but some comments waga nafikiri labda kuna mtu ana tumia ID yako....am sorry if in anyway i have offended you...ndo ninavyoona!
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Michelle Michelle Michelle
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Uhusiano upo, ila kwa wengine huwa ni kero na karaha ila kwa wengine huwa ni hamasa ya kuzidi kupangua gia
   
 11. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  my brother.......!!!:juggle:
   
 12. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #12
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Michelle muache Biggie ALONE......anatoa experience yake....inabidi a talk freely.
   
 13. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mi nadhani mlio ni kitu muhimu kukizingatia wakati wa safari maana magari mengine mlio inamaanisha umeweka gia nzuri hivyo safari ni tamu na aina nyingine ya magari mlio mkubwa unaweza ukamaanisha mzigo ni mzito gari linapata taabu sana. to me gari bila mlio nahisi kama hakuna safari. ni hayo tu
   
 14. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  sijui kama nimeielewa vibaya au lah!! ila kama ndio hivyo!! sijaipenda kwa kweli
   
 15. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Aisee mlio wa gari unahusika sana....yaani kama mlio wa ukweli, basi safari huwa fupi saa nyingine. Lakini kuna gari nyingine zina milio feki, sasa kama speed ni 20 halafu gari linalia utafikiri 120, ukishtukia basi utamu wa safari hupotea kabisa yani, unaona kama unaibiwa nauli yako.
   
 16. charger

  charger JF-Expert Member

  #16
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  mmh haya bwana Bigirita ila ungetoa ufafanuzi zaidi kuhusu kitu cha topeni.
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Mar 11, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Haunitendei haki l.o.l
   
 18. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #18
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Sawa mkuu....ukimpenda hutamuacha mwenyewe....l.o.l.....sawa nimemuacha!
   
 19. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #19
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kwanini tena jamani?:lol:
   
 20. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #20
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  you related or what....:gossip:
   
Loading...