Kwa stail hii kuna mapenzi hapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa stail hii kuna mapenzi hapa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kokudo, Mar 13, 2011.

 1. kokudo

  kokudo JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 901
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Jamani naomba kutoa kisa hiki.Inaweza kua either uliwahi kuickia au kukutana nacho.
  Ni kati ya wapenzi waliopenda sana kiac cha kila sehemu walikwenda wote walishrikiana kwa kila jambo mpaka mbele ya m2 atakaewaona alijua hawa ni wapenzi.Binti ni secretary kwenye stationary moja mjini hapa na jamaa anabiashara zake binafc.Hawa kila mmoja anaish kwake sasa hv jamaa anapelekwa puta binti hashikiki kila cku ni kusuruhisha ugomvi,binti amekua bize kupta kiac mpaka jamaa sasa utendaji wa kazi umeshuka.ki ukwel km ungewah kuwaona ungestaajabu sana.
  Msaada:Jamaa anaonekana bdo anampenda binti na kwa khal hii cdhan km atakubal kumuacha.
  Lakini pia kama kuna njia ya kulinusuru penzi hl tafadhar 2naomba msaada.
  Na kama kuna dawa yaani aweze kulisahau penz hl itasaidia kwani inaoneka binti ameshaanza kutoa % kwa jamaa.
  Angalizo:Ha2na nia ya kulivunja penzi lao japo kama itawezekana waludie kama zamani hy ndo dira ye2 kubwa kumsaidia.Sasa naomba niliweke mezani 2weze kulita2a.
  Ni mimi mpendwa wenu KOKUDO.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Binti bado hajatambua thamani ya penzi la jamaa.
  Mwambie asitishe mawasiliano kama wiki hivi. Asimpigie simu wala asijibu msg ila binti akimpigia apokee.
  Baada ya feedback ya hilo zoezi nitatoa ushauri mwingine.
   
 3. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mwambie jamaa astuke! dem kashapata mbadala wake!
   
 4. kokudo

  kokudo JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 901
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Asante hu'ninyo ntamwambia 2jaribu kuufanyia kazi.je akikaa kimya then na binti nae akae kimya itakuaje na hapo lazma jamaa niwe nae benet ingawa ucku sidhani kama atavumilia kutokumpigia cm.thanks
   
 5. kokudo

  kokudo JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 901
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Hata hl la kua amepata mwingne linanijia sana make amebdlika kweli
   
 6. k

  kisukari JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,763
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  katika mapenzi,raha mpendane,na hakuna kitu kinachoumiza mmoja kati ya mpenzi aanze kubadilika wakati wewe penzi bado lipo hot hot kwa mpenzi wako,utateseka kwa mawazo.iliyobaki amchunguze,maana wengine kukwambia basi hawawezi ila utaona vitendo tu.na akisharidhika,atafute ustaarabu wake na aikubali hali halisi.akiendelea kung'ang'ania ataishia kujitesa
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  ikipita wiki huyo dada hajamtafuta mshkaji ujue hakuna mapenzi hapo. Unaempenda huwezi kukaa wiki nzima hujawasiliana nae.
  Siku tu haiwezi kupita hata kama upo busy.
   
 8. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hata hl la kua amepata mwingne linanijia sana make amebdlika kweli

  Kokudooooooooo hiyo bluuu hiyo
   
 9. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Yeah fata ushauri wa husninyo kae wiki bila kumtafuta na akipiga mwambie subiri nina kazi muhimu nitakupigia, badae tena usipige akipiga mwambie naongea na mzee hapa nikimaliza takupigia kaa kimya then ataona kama aaendelea kumtafuta,akiendelea ujue mapenzi yapo ila yuko bize au ni mkorofi tu,akikaa kimya ujue ana jambo huyo
   
 10. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Jamaa asikilize tena wimbo wa banana zoro uitwao Nzoba,alafu astuke mapema mno!!!!
   
 11. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  kila k2 kna mwisho na hao mwisho wao umeshafika mwambie huyo jamaa asilazimishe sana kwani KUCHAMBA KWINGI MWISHOWE HUSHIKA MA*I,Kwani jamaa hana tv au hajui kusoma?atumie silaha hizi mbili atamsahau huyo kcheche na kupata machine mpya iliyochakachuliwa na wachina.mwambie asome alama za nyakati penzi lishaharibiwa hilo
   
 12. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #12
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Kokudo hii story kama wewe vile soma post namba 1 na soma post namba 5.

  Umenichanganya
   
 13. CPU

  CPU JF Gold Member

  #13
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kokudo Mkuu
  Nadhani yapaswa tusilazimishe penzi ambalo halina manufaa kwa jamaa.
  Kama binti kapata mshikaji mwingine penzi litavunjika tu
  Jamaa kung'ang'ania kwa binti itaendelea kumuumiza tu badala ya kumtibu
  Afuate ushauri wa Husninyo na kisukari then kila kitu kitakuwa kweupe
   
 14. kokudo

  kokudo JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 901
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Hapo kwenye blue hakuna shaka coz nilikua najibu hoja ya the hunter.pia nilijaribu kulifikisha hapa hvyo niliona niuvae uhusika ili ujumbe ufike msijari keybord ilijam.
   
 15. kokudo

  kokudo JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 901
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Yes ndo mimi nilie andika but kisa hakinihusu labda nimeuvaa uhusika.ucjar Dena Amsi but ujumbe c umeeleweka?
   
 16. S

  Societa Jesuit JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  ukweli ni huu tu na tena wa kisaikolojia.......rejeeni hapo kwenye reds tatizo la kwanza naliona kwa mvulana kwamba ana ugonjwa wa kumilikiwa na hisia au kitu....yaani possessed by possessions na akubali tu hata gari utaipenda ikiwa mpya sembuse mwanamke na hivyo ajue lazima mabadiliko yatokee na hata yeye huenda amebadilika pia cha kufanya aendane na mabadiliko ama ya dada kuwa busy au tabia mpya za dada.....na kuharibu kazi ikiwa sababu ni possessions basi jamaa yuko katika critical condition hivyo awaone wataalamu wa saikolojia.

  Na huyu dada yupo busy kwa nyanja ipi....kwa kusema tu kwa jamaa kwa maneno au jamaa anaona live kuwa yupo busy na kama anaona yupo busy anachotakiwa kujua busy is life...ingawa madada wengi wanakasumba kama hakuhitaji anakwambia yupo busy sana kumbe ndiyo anaandaa sanda.  usilazimishe ukweli uwe kweli........maana hata uongo utaulazimisha uwe uongo.
   
 17. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh mapenzi haya
   
 18. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  true love never die...nenda kamwambie hivyo tuu ataelewa nini afanye huyo jamaa....
   
 19. kokudo

  kokudo JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 901
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Ushauli wako ni mzuri sana nimeufurahia sn kweli ukilazimsha uongo uwe ukweli utakua ukweli.
   
 20. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #20
  Mar 14, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Kokudooooooo
   
Loading...