Je mnafahamu kuwa kikwazo kikubwa cha maisha ni wanawake?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je mnafahamu kuwa kikwazo kikubwa cha maisha ni wanawake??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Mar 12, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Katika pitapita yangu nimekuja kugundua matatizo yote ya maisha wanao sababisha ni wanawake!!Kwani wanawake bila ya kujalisha aliyeolewa na ambaye ajaolewa wote ndiyo wanaosababisha ugumu wa maisha,na kusababisha kushuka kwa uchumi wa nchii kwani wao ndiyo wamesababisha matatizo yote yaliyoko hapa nchini!!!Hata mafisadi wamekamatwa na wanawake hadi kusababisha nchii kuwa ombaomba!Hivyo hata sikuyawanawake dunianihaina tija kama wao wanasema penye maendeleo mwanamke yupo nyumayake je kwa nini tuwe masikini nawao wapo???
   
 2. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Unapiga msafara wa rais mawe?
   
 3. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Vigezo HAI ni vipi ulivyotumia mkuu?
   
 4. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mkuu mbona unawalaumu wakat ndio wanasababisha tufanye kaz kwa bidii tunapata mshko wk end tunawapalekea!
   
 5. CPU

  CPU JF Gold Member

  #5
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kakakiiza

  Hivi unafahamu kwamba bila wanawake hata wewe usingeweza kuandika hii sredi???
  Hivi unafahamu bila wanawake hakuna kiumbe kitakachoitwa MWANAUME??
  Hivi kweli unathubutu kumwambia mama yako mzazi kwamba kukulea kwake tumboni miezi 9, akunyonyeshe, akutunze, akulinde, akupeleke hospitali kila ukiumwa yote hayo ni kukuletea matatizo maisha yako???

  Kakakiiza

  Kweli unaweza ukamtukana mama yako mzazi matusi ya nguoni namna hii??
  Kweli unaweza ukamfananisha mama ako na fisadi RA????
  Kweli wewe unaetamka haya maneno umezaliwa na mwanmke??? Au mwenzetu ulizaliwa na kiumbe tofauti???
  Kweli unathubutu kumtukana hadi Muumba wako na kuidharau kazi yake aliyoifanya kuumba mwanamke???

  Ndugu, kesho ni Jumapili, siku takatifu kwa wakristo duniani, nenda katubu kabla hujawa KichaaKiiza
  Na uwaombe Mods waifute hii sredi yako haraka hapa MMU
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,457
  Likes Received: 81,708
  Trophy Points: 280

  Naona itakuwa ni vizuri sana ukafanya pita pita yako nyingine ambayo itakupa picha halisi ya matatizo ya maisha badala ya hii uliyokuja nayo ambayo haina ukweli wowote.
   
 7. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Nahisi ndio anachozungumzia
   
 8. Fanta Face

  Fanta Face Senior Member

  #8
  Mar 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie nimeshituka kweli labda kwa kuwa mie mgeni hapa.

  Bila sisi usingekuwepo hapa duniani pamoja na dharau zako.

  Tutaendelea kukuombea kwa Mungu hapo kesho
   
 9. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #9
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  CPU you deserve this.

  Sina cha kuongeza umemaliza

  The Following 3 Users Say Thank You to CPU For This Useful Post:

  Dena Amsi (Today), Fanta Face (Today), muhosni (Today) ​
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  You deserve this BAK

  The Following User Says Thank You to Bubu Ataka Kusema For This Useful Post:

  Dena Amsi (Today) ​
   
 11. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #11
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  KK kwa hili umenikwaza sana leo
   
 12. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  asante sana mkuu kwa kutujilisha hilo kumbe mafisadi ni rimoti control tu wake zao ndio wanaopanga mipango yote maana mie nilikuwa sijui
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,457
  Likes Received: 81,708
  Trophy Points: 280
  Una haki ya kukwazika DA. Katika ile list ya mafisadi iliyotolewa na CHADEMA hakukuwa na jina hata moja la mwanamke. Katika majina ya waliotuingiza kwenye mkenge wa Kagoda, Meremeta, Rada, ununuzi wa ndege ya Rais, helicopters na magari ya jeshi, mikataba feki ya uchimbaji wa madini yetu, TRL n.k. katika wale wahusika walioudanganya Ulimwengu kwamba Saddam alikuwa na silaha za maangamizi (WMD) na "We know where they are" pia hakukuwa na jina la mwanamke, lakini ushahidi huu wote bado watu wanaona matatizo yote ndani ya nchi yetu na labda duniani kote yakiwemo ya kuanguka kwa uchumi eti yanasabababishwa na Wanawake! Mtatafute mengine ya kuwabebesha/kuwalaumu Wanawake lakini siyo hili.
   
 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  sina cha kukupa mamaa ah mama zaidi ya shukurani mamamaaa. dah siamini km mtu unaweza dharau hata mama yako kiasi hiki. mama anavyohangaika kukutunza namna hiyooo toka day one mpaka leo ndo waja sema mwanamke ni kikwazoo duh
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  msiwe mnaingia jf mkiwa mmeshakunywa mataputapu.....

  upuuzi mtupu......

  this world means nothin without womens..............
   
 16. S

  Societa Jesuit JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Wewe hujaona matatizo aliyopata Adam kwa Eva na Mungu akampa adhabu ya kwa jasho utakula....Samsoni alipofuliwa macho kwa ajili ya Delila hujajuaga tu....Ayubu aliambiwa si umkufuru huyo Mungu ukafe hilo nalo ulilijua kaka......Yesu alimwambia mama yake tuna nini mimi nawe maana wakati wangu bado alipomwambia atengeneze mvinyo[wine] wewe hukuwepo siku ile kaka Mtume muhammad s.a.w aliambiwa na mke wake mmoja aifanye asali kuwa haramu hilo nalo unalo eti kwakuwa yeye haipendi tu?.......n.k

  Hayo tisa kumi kura zote za CCM ni zao na kwakuwa wanamume ni wachache kwanini wasituharibie maendeleo.

  '' wamenizaa lakini hainizuii nisiwaambie ukweli''....Let me leave with it because I was born with it and not without,how should I leave it?
   
 17. S

  Societa Jesuit JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  kimoja ni kuichagua CCM
   
 18. S

  Societa Jesuit JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  NAMSAIDIA NI ....Kuichagua CCM
   
 19. S

  Societa Jesuit JF-Expert Member

  #19
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  KAKA KIIZA USIOGOPE....toba ni siri kati ya anayetubu na anayetoa msamaha{MUNGU} na huyo huyo ndiyo aliyemwumba kwanza adam mwanaume na kisha eva mwanamke na mwanamke ametoka kwa mwanamume na siyo mwanamume ametoka kwa mwanamke au una badili kanuni ya creation of GOD.....Na ukirejea hapo kwenye reds watu na wakristo wote duniani wanajua hivyo......mnabeba tu biblia na kuvaa vimini muwe mnazisoma.  ''Mungu kazi yake si kuwapa watu vichaa na kama anatoa hayo...basi kwa wasiojua neno lake'';....I was born in this way,how can I change it?
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Acha kumwaga pumba...umeambiwa ni wanawake wote au wanawake tu waliofanya hivyo??Uzumbukuku wanaofanya viongozi wenu unasabishwa vipi na wanawake??Haya kama mnatuona sisi ndo matatizo hamieni sehemu isiyo na wanawake mkafanikishe mambo yenu huko!ALAFU ACHA KUINGIZA UDINI HAPA VIMINI NI BIBLIA VINAHUSIANA VIPI NA UZUSHI WENU??!
   
Loading...