Mwezeshe Fidel80 afike kwa Babu

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,949
4,444
Waungwana napenda nifike kwa Babu hapo Loliondo na mm nikanywe Juice ya Babu nimegundua juice ya babu ina husika sana katika kuokoa maisha ya mwanadamu. Babu amekuwa ndo kimbilio la wanyonge na matajiri.
Mimi nashindwa kufika kwa babu kutokana na kipato kunikaba jamani naomba michango yenu ya hali na mali sibagui mchango ili niweze kufika kwa Babu niokoe maisha yangu. Mnao penda kuchangia mtu akitangulia mbele ya haki onyesheni ungwana wenu kipindi hiki ambapo sijatangulia mbele ya haki.
Mchango wako naomba unifikishie mm mwenyewe au hawa wafuatao nina imani nao;-
Mchungaji Masanilo
Babu Asprin,
Carina Ti
Kimey
Kutoa ni moyo wala si utajiri waungwana.
Mkono mtupu haulambwi.
Sura sio roho.
 
Basi kama huna imani na sis kwaheri ya kuonana:embarassed2::embarassed2:
 
Ningekuchangia, ila mimi na mdogo wangu loveness love tulipopanga kwenda, ulituvunja moyo kwa sana tu. Nasi kwa ushujaa wetu na kujiamini tumeweza kwenda na kufika na kunywa Dawa kwa msaada wa PJ kaka wa uhakika, bila kumsahau Sahara Voice na Mzee wa Rula. Asanteni waungwana. msalimieni Preta.
 
Ningekua kwenye list ya wanaoaminika ningechangia ila sasa imekula kwako!!!Mpaka maji ya kauke ndo utapata!!!
 
Waungwana napenda nifike kwa Babu hapo Loliondo na mm nikanywe Juice ya Babu nimegundua juice ya babu ina husika sana katika kuokoa maisha ya mwanadamu. Babu amekuwa ndo kimbilio la wanyonge na matajiri.
Mimi nashindwa kufika kwa babu kutokana na kipato kunikaba jamani naomba michango yenu ya hali na mali sibagui mchango ili niweze kufika kwa Babu niokoe maisha yangu. Mnao penda kuchangia mtu akitangulia mbele ya haki onyesheni ungwana wenu kipindi hiki ambapo sijatangulia mbele ya haki.
Mchango wako naomba unifikishie mm mwenyewe au hawa wafuatao nina imani nao;-
Mchungaji Masanilo
Babu Asprin,
Carina Ti
Kimey
Kutoa ni moyo wala si utajiri waungwana.
Mkono mtupu haulambwi.
Sura sio roho.

hata yoyo humuamini pia?
 
Ningekuchangia, ila mimi na mdogo wangu loveness love tulipopanga kwenda, ulituvunja moyo kwa sana tu. Nasi kwa ushujaa wetu na kujiamini tumeweza kwenda na kufika na kunywa Dawa kwa msaada wa PJ kaka wa uhakika, bila kumsahau Sahara Voice na Mzee wa Rula. Asanteni waungwana. msalimieni Preta.

Hongereni kwa kufika kwa babu

Kwani ukinichangia na mm niende kuna ubaya?
 
Waungwana napenda nifike kwa Babu hapo Loliondo na mm nikanywe Juice ya Babu nimegundua juice ya babu ina husika sana katika kuokoa maisha ya mwanadamu. Babu amekuwa ndo kimbilio la wanyonge na matajiri.
Mimi nashindwa kufika kwa babu kutokana na kipato kunikaba jamani naomba michango yenu ya hali na mali sibagui mchango ili niweze kufika kwa Babu niokoe maisha yangu. Mnao penda kuchangia mtu akitangulia mbele ya haki onyesheni ungwana wenu kipindi hiki ambapo sijatangulia mbele ya haki.
Mchango wako naomba unifikishie mm mwenyewe au hawa wafuatao nina imani nao;-
Mchungaji Masanilo
Babu Asprin,
Carina Ti
Kimey
Kutoa ni moyo wala si utajiri waungwana.
Mkono mtupu haulambwi.
Sura sio roho.

Pole ndugu yangu na wewe una ugonjwa sugu kumbe!!

Mchango wangu nitauacha pale Tip top uupitie
 
Hakuna, ila uliowataja unawaamini wako mbali na ninapoishi sasa mchango nitawapatiaje?
Am very very close than you think Da mie...we kua na imani tu kua Fidel atapata mchango wake
 
Fide

Himahima usichelewe... ntakuchangia maji ya kunywa, mikate, dawa na bia/konyagi

utapata pesa by saa 11 kesho

Ila ukifika arusha nicheki aisee, upate pombe ya mwisho, naskia ukipata kombe pombe inakua ndio mwisho wake
 
Am very very close than you think Da mie...we kua na imani tu kua Fidel atapata mchango wake

Wabongo tujifunze kuchangia watu kwenye matatizo si mpaka tusubiri afe ndo tumchangie
 
Mkuu, nitakuchangia Lunch pale hotel ya Dar express.. Kunitambua rahisi, nitakuwa nimevaa suruali nyeusi na shati jekundu damu ya mzee,
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom