Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu uwe mpenzi kama huyu itakuwaje unainjoi kuwa ana papai nne au ndo inakuwa hata upukweni unamkacha
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mapenzi katika jamii ya siku hizi, je yana zingatia vigezo na miiko ya wazee wetu wa zamani?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
FAIDA KATIKA KIROHO Watafiti wengi wanakiri kwamba kuna sexual energy kama energy zingine ambayo wakati wa sex ikiunganishwa kati ya mwanaume na mwanamke hasa wakati wa kufika kileleni huweza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wazazi tumekuwa wazito ktk kutilia mkazo suala la bint zetu kujitunza,ingawa kuna changamoto mingi lakini tunaweza..ewe bint mzuri moja ya factor zinazoweza kukupa mme wa maisha yako ni kujitunza...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Hivi kwa nini wanaume hawapendi kuwasindikiza wake zao CLINIC,HOSPITAL?naomba kuwasilisha asante.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Harusi zimekuwa na gharama sana kuanzia maandlizi hadi kufanikisha. Lakini ndoa ngapi ziko kwenye furaha kama wakati wa Kudate? Baada ya kero basi kuachana huwa ni suluhisho kwa wenzi wote...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
I am just watching hii documentary ya Demi Moore kuhusu rescue ya wanawake wanaolazimishwa kuwa prostitutes in Nepal na India It is a very strong and useful statement....I am just trying to...
2 Reactions
56 Replies
5K Views
Nina mpnz tunayependana na kuheshimiana sana, kuna vitu anavyofanya ambavyo nashindwa kuelewa ni kwa nini anafanya hivyo.Anaweza akaja home amevaa cheni ya gold halafu akiondoka anaiacha na...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
WanaJF hii kitu inaniumiza kidogo kidogo ingawa navumilia. Mpenzi wangu ambaye nimekaa nae miaka mitatu ni mzuri mno kwa sura mpaka naogopa. Ana kama mvuto fulani na kama kawaida wanaume kutongoza...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
nataka kujua hasa nini sifa ya mwanamke leo hii maana kila mwanamke leo utawasikia wakisema mwanamke reception na kusababisha wanawake wengi kuwadaganya wanaume wengi na kusahau tabia, na...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Jamaa mmoja anaishi mji kasoro bahari[morogoro].Huyu bwana ni driver wa magari ya kusafirisha mafuta ya kampuni moja maarufu hapa nchini.Huyu jamaa anaishi pamoja na mama yake ambaye ni mjane...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ukicheza ataruka na mumeo So......!
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Good morning/good afternoon/good evening/ good night to y‘all!! Nimekumbuka kuna kaka mmoja alikua mpenzi wa mtu wangu wa karibu yani sijawahi ona mtu ‘CONTROLLING‘ kama yule.Alikua...
3 Reactions
67 Replies
5K Views
kwa upande wangu ni sawa coz si mpz wangu nina uhuru wa kumwambia lolote ninalojisikia kwake,lakini nashangaa kwa wasichana wengine wanaona wanaume ndio wanotakiwa kusema ivyo bt kwangu naona kwa...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari zenu wapendwa wa MMU!!! Jana nilikuwa napata Lunch maeneo fulani hivi nikiwa na mfanyakazi mwenzangu wakati tukiendelea kupata chakula meza ya karibu na sisi kulikuwa na wasichana watatu...
4 Reactions
79 Replies
6K Views
Katika pilikapilika zangu jamani nimekutana na hili. Wanawake walikua wakiliongelea swala la waume kuoga kwamba si kujisafisha tu na kupaka sabuni,waoshe na chini ya p***u. Unaweza ukatoswa na dem...
0 Reactions
72 Replies
6K Views
Ni mwaka mmoja sasa umepita toka rafiki yangu kipenzi wa tokea primaly, sekondary mpaka chuo alipopata ajira ktk halmashauri fulani (sitaitaja jina) kama Afisa Utumishi. Takribani mwezi wa 6 sasa...
0 Reactions
75 Replies
8K Views
hi wana jf,nina mpenzi wangu tuliyedumu miaka mitano sasa but kwa kipindi hiki simuelewi amebadilika,ananfanyia visa mara ohh mimi namdharau na muona boya,simpend but kiukwel nampend na sijawai...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Sijui ni mimi peke yangu ndo naliona hili au kuna wengi pia mmeligundua. Kuna ongezeko kubwa sana la domestic violence (kwa maana ya wanandoa na walio kwenye mahusiano)kwa vijana wa umri wa kati...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
...ni mke na mume waliodumu miaka 15 ya ndoa. Wamejaaliwa watoto wawili, miaka 12, na miaka 9. Wazazi wote ni waajiriwa wa serikali. Baada ya kujinyima hapa na pale, mume akaweza kujenga nyumba ya...
1 Reactions
85 Replies
7K Views
Back
Top Bottom