Kuoga jamani

The great R

Senior Member
Jun 7, 2011
142
37
Katika pilikapilika zangu jamani nimekutana na hili.
Wanawake walikua wakiliongelea swala la waume kuoga kwamba si kujisafisha tu na kupaka sabuni,waoshe na chini ya p***u.
Unaweza ukatoswa na dem then unajiuliza wht the matter kumbe ndio hivyo.Wengine wanashindwa kukufanyia vitu vizuri tatizo ni hilo.
Cjawatukana kama nimewaboa sorry.
 
umeongea vyemaaaaaaaaaaaaaa...wape wape haoooo manake wao kwa kujifanyaga wanajua kila kitu..kumbe ata kuoga awajui...

anaoga juuu tu ..chini ya pu...anapasahahu....hah hahh ukimit na sampo io inabd umwambie baba twende nkakuogeshe kdg...

uvundooo puuuuuu afu anataka um...um..azam...!!!!!
 
haa haa mbavu zangu rose jamani, mkuu umesema kweli maana usafi wa wanaume wengi ni wakuoga juu juu but kule chini kunako p...u hakuogeshwi
 
na walivyo hodari kuzungumzia vya upande wa pili tuone kama hili nalo watachangia au??maana umegonga ikulu
 
We acha tu na hizo boxer zao sasa.....mmh....utachoka!! Utamkuta mtu kainama anacheza pool boxer njenje halafu jeusii kwa ajili ya uchafu mweee!!!
 
Usafi ni muhimu haswa otherwise tunawaboa ingawa si wote wenye ujasiri wa kusema.
 
umeongea vyemaaaaaaaaaaaaaa...wape wape haoooo manake wao kwa kujifanyaga wanajua kila kitu..kumbe ata kuoga awajui...anaoga juuu tu ..chini ya pu...anapasahahu....hah hahh ukimit na sampo io inabd umwambie baba twende nkakuogeshe kdg...uvundooo puuuuuu afu anataka um...um..azam...!!!!!
teh teh teh mbona ata mdomon usaf unatia shaka lakin unaku aaza..za...muuuuu
 
.....endelea tu kusema, nakusikiliza!!!!!!!!

Mkuu
Mi nashangaa sana hizi topic za kuongelea nyeti za wanaume.
Mtu kaiona ya mpenzi wake chafu, haisafishi basi anaigeuza thread JF.
Mara ya 4 naona hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom