House girl naye mwanamke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

House girl naye mwanamke

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NATA, Jul 5, 2011.

 1. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ukicheza ataruka na mumeo
  So......!
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mhesim sana huyu mtu
   
 3. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Thats not a defence. Mwanaume mwenyewe kama ni kicheche, kicheche tu hata ufanyeje! Mwanaume mwenye busara na anaejiheshimu hawezi fanya upuuzi huu ni bora akuache tu ili waoane kabisa.
   
 4. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mh mbona imekaa kimitego hii thread?
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  mwanaume mzinzi mzinzi tu, na kama hg yupo kwenye kutafuta inakua shughuli!! ingawa kuna baadhi wanatabia nzuri na adabu sasa akili kichwani mwako unaishi nae vipi, pia mipaka yake ikoje. ni muhimu kumchunguza tabia ila kama mumeo mzinzi usiweke hg atamsololea tu
   
 6. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mkuu kuna wanwake wanawadharau sana hawa watu
  Lakini hawa pia ni binadam na ni wanawake kama wao na pia wengine wameweza hata kuwalipizia kwa kuwachukulia waume zao.
   
 7. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Kazi hizi zote afanye halafu asipewe zawadi ya ushindi kwa nini,...kufua,kupika,kuosha vyombo,kutenga chakula,kupasi nguo,kuogesha watoto,kudeki,kubrsh viatu, ...and so forth and so on..........cha kufanya kama hampendi achukue nafasi ni mjitahidi kufanya majukumu yenu ya msingi kama wake
   
 8. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,740
  Likes Received: 8,329
  Trophy Points: 280
  So wat!!!! hata dada yako mwanamke pia...kwaiyo uendeleze libeneke kwa kila mwanamke tu!
  s.... taipu!!!
   
 9. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  House girl si dada yako!
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Jul 5, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,135
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Wazee wa Infiiii.............utawajua tu unatetea nini sasa hapo kwamba???
  Kwanini useme aruke na Mumeo??
  Hakuna wanaume nje wanaomtaka??
  Yeye ni mwanamke kama mwanamke mwingine yoyote
  Ana uhuru wa kupendwa na sio lazima achukue Mume wa mtu!!!!!!!
   
 11. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  But ni sawa na mwanao
   
 12. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Thats not a defence. Mwanaume mwenyewe kama ni kicheche, kicheche tu hata ufanyeje! Mwanaume mwenye busara na anaejiheshimu hawezi fanya upuuzi huu ni bora akuache tu ili waone kabisa.
   
 13. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135


  Akutane nao wapi na yeye hatoki na mwanaume anayekutana naye ni huyo mumeo
   
 14. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  But si mwano!
   
 15. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #15
  Jul 5, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,135
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Acha umbea wewe hatoki ndani kawa utumbo yeye??
  Alah acha kutetea uhuni tu..............
  Wanaume woooooooooote hawaoni
  huko anakokwenda madukani, sokoni, shule kuwachukua watoto hakuna wanaume acha zako bana alah
   
 16. LD

  LD JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Haya, katika mambo kama haya ndio huwa nazishangaa akili za wanaume. Dah jihalalishieni tu, hata mama zenu nan si w
  ni wanawake? Kama point ni UANAWAKE?
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Aika RUA!
   
 18. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #18
  Jul 5, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  fimbo ya mbali haiui nyoka bana,.....by the way_nafikiri mama mwenye nyumba ndio anachangia kwa kiasi kikubwa mzee afanye hivyo,hasa pale anapomwachia kila kitu afanye msichana wa kazi,.....unasema alah aache nini
   
 19. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #19
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  hiyo ni kutafuta sababu ya kuhalalisha ufirauni...
   
 20. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #20
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Yaani wewe unataka kuhalalisha ufuska na hsegal ?,
  na mkeo akijihalalisha na hseboy je itakupendeza machoni pako?,
  acha kuhalalisha haramu iwe halali wewe,
  hsegal kwa mwanaume(boss) wake ni haramu,
  vivyo hivyo hseboy kwa mwanamke (boss) ni haramu.

  Ukitaka kufanya ufuska fanya nje ya nyumba yako,
  ukiendekeza kufanya ufuska ndani ya nyumba yako ipo siku,
  utafanya ufuska na watoto/dada/mama zako kwa kisingizio cha eti ni ''mwanamke'''

  hsegal/hseboy atapata mpenzi ya nje ya nyumba anayofanyia kazi, lakin siyo ndani,
  ni haramu,dhambi,kosa,shubiri ndani ya hiyo nyumba na jamii nzima.
   
Loading...