Wanawake hili lina maana gani

IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,463
7,384
Nina mpnz tunayependana na kuheshimiana sana, kuna vitu anavyofanya ambavyo nashindwa kuelewa ni kwa nini anafanya hivyo.Anaweza akaja home amevaa cheni ya gold halafu akiondoka anaiacha na anachukua kidani changu cha kimasai nilichonunua 4000,..siku zingine anachukua mafuta ninayotumia(of course lotion)-anakwenda dukani na kuninunulia mengine mapya yeye anaondoka na yaliyotumika(ni mara nyingi tu anafanya hivyo),..

Nb:Sijawi kumuuliza nini anamaanisha _sihisi kama ni kitu kibaya ila its somehow strange to me,naomba wadada wanijuze ili nipate elimu kabla ya kumuuliza mlengwa nini anamaanisha.

nawasilisha
 
Nina mpnz tunayependana na kuheshimiana sana, kuna vitu anavyofanya ambavyo nashindwa kuelewa ni kwa nini anafanya hivyo.Anaweza akaja home amevaa cheni ya gold halafu akiondoka anaiacha na anachukua kidani changu cha kimasai nilichonunua 4000,..siku zingine anachukua mafuta ninayotumia(of course lotion)-anakwenda dukani na kuninunulia mengine mapya yeye anaondoka na yaliyotumika(ni mara nyingi tu anafanya hivyo),..Nb:Sijawi kumuuliza nini anamaanisha _sihisi kama ni kitu kibaya ila its somehow strange to me,naomba wadada wanijuze ili nipate elimu kabla ya kumuuliza mlengwa nini anamaanisha.nawasilisha
samahani nakwenda lunch nitarudi.
 
unapoandika post jaribu kuzungumzia uhalisia wa hicho kitu watu wakuelewe, kwa mfano hiyo uliyoiandika haifafanui wewe ulikwenda kwa msichana au yeye alikuja kwako, ukiiandaka vizuri tutakusaidia mawazo
 
anajitahidi kukuelewesha kwamba anataka kuishi na wewe na amekubaliana na kila kitu chako lkn wewe ndo mwamuzi wa mwisho. hivyo vitendo ni mafumbo ana maanisha chake ni chako.......
 
msichana anakuja kwangu,.....ushauri nausubiri
 
anajitahidi kukuelewesha kwamba anataka kuishi na wewe na amekubaliana na kila kitu chako lkn wewe ndo mwamuzi wa mwisho. hivyo vitendo ni mafumbo ana maanisha chake ni chako.......

aisee!....jambo jema
 
Mwanangu nakuasa, huyo rafikiyo ni moja kati ya haya mawili:

1) Ana akili sana kiasi baada ya muda atakuliza, kwani hicho ni chambo na kuna siku utakuja kumeza, chambo, ndoano, chubwi na mshipi (bait, hook, line and sinker) vyote pamoja.

Kwa hili anza kumkatalia kila anachokupa na uridhike na ulicho nacho na umueleze kuwa haupo comfortable kwa hilo.

2) Ana matatizo ya akili (hii ni serious sana). Kuna mambo kama hayo nayajuwa yanatokana na mtu mwenye matatiozo ya akili (Mungu amuondoshee) na huwa anafanya kama ulivyoelezea, kama hujui unamuona ni normal tu, pengine utakuta hata hivyo vitu anavyokupa vya thamani navyo si vyake na huvichukuwa kwingine akakuletea wewe na itafika siku akachukua vyako akavipeleka kwingine.

Kwa hili, anza ku list down kila anachokuletea na uvihifadhi vizuri na usivitumie. kuna siku utakuja adhiriwa na mwenye chake akikikuta umekivaa.

Mwisho nawaasa vijana wote wenye tabia ya kuazimana vitu personal, muache kabisa, si tabia njema.
 
Naamini ana akili timamu na vitu vyote ni vyake kabisa nina uhakika na hilo,....na kiukweli sio kwamba amenizidi kipato i.e vitu kama cheni za dhahabu nina uwezo wa kununua pengine kuliko hata yeye ila napenda vitu vya asili kama vya kimasai.
 
Back
Top Bottom