Tupunguze Gharama za Maisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tupunguze Gharama za Maisha

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Masanilo, Jul 6, 2011.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Harusi zimekuwa na gharama sana kuanzia maandlizi hadi kufanikisha. Lakini ndoa ngapi ziko kwenye furaha kama wakati wa Kudate? Baada ya kero basi kuachana huwa ni suluhisho kwa wenzi wote. Gharama mara 2 Kuowa na kuachana (Divorce). Divorce huhusisha mambo ya kisheria kama spousal support, child custody, child support, distribution of propertyand division of debt. Kama kuna watoto basi ni ngumu zaidi. Lakini mambo haya huwa hayapo kuwapo na Uncontested divorce.

  Angalia Takwimu za Marekani Mwaka 2008, takribani 40% ya ndoa ziliishia kwenye divorce. Kwa Tanzania ndoa nyingi hudumu kwa miaka 6 na baada ya hapo talaka na kuachana. Takwimu zinaonyesha ni 15% ya ndoa husheherekea 20 years anniversary kwa amani na upendo. Watu wengi huishi kwenye ndoa wakati hakuna ndoa hii ni katika kulinda status quo kuonyesha jamaa wako kwenye ndoa lakini ukweli ndo iliisha vunjika miaka kadhaa nyuma.

  Kama unajua kuna kuachana kwanini uingia gharama mara 2? Kuowa na kuolewa na kuingia hassles za kuachana?

  Kwa wale ambao hamjaowa ama kuoelewa I strongly Urge you NOT to get blinded unto Marriage institution. Cohabitation should be the way forward, Nina Advocate ndoa za mikataba....

  Masa
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kuoa na kuolewa ndio mpango mzima...usiwanyime watu raha ya kuitwa mke/mume!Ila hii ndo faida ya kua na wachungaji wa kisasa...wenyewe ndo wanaongoza kupotosha jamii!
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mhhhh ingia chemba usinimwage hapa!
   
 4. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Lizzy Hilo nalo neno ulotoa niko na ww 90% hakuna anaejua ndoa yake itaisha lini.
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Embu waambie watu wawe waangalifu kwenye kuchagua wenzi...sababu zinazowapelekea kutaka kuoa/kuolewa...namna ya kuishi wenzio wao badala ya kuwatoa kwenye mstari jumla alafu ndo ntakuja huko nikuseme vizuri!
   
 6. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sikutegemea maneno haya kutoka kwa mchungaji.
  Kweli dunia imefika mwisho.
   
 7. charger

  charger JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  REV mbona kama unataka kupotosha kondoo?
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mchungaji wa ukweli huyu! Watu wanaishi kwa kulazimishana kwanini....kila mtu ale timu zake kwa raha zake
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Najua watu wengi hawapendi kusikia mchungaji akimwaga ukweli
   
 10. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Rev i differ to agree with you in some point
  Kwanza kweli kuoa siku hizi imekuwa gharama na asilimia kubwa ya vijana wanaishia kuishi pamoja wanakuwa na watoto bila kuwa kwenye marriage insititutution kutokana na gharama kubwa za kuanza maandalizi ya harusi mpaka harusi yenyewe. Vile vile gharama za mahari nazo kwa makabila imekuwa kama ni kukomoa
  Ila swala la kusema cohabitating iwe suluhisho la matatizo ya divorce nyingi zinazotokea naomba nitofautiane na wewe. Ndoa ni insititution ambayo inajengwa na pande mbili zilizokubaliana kuingia kwenye mkataba wa kuishi pamoja. Marriage contract ni pana zaidi ya kusaini vyeti vya ndoa ni makubaliano yanayojengwa na pande mbili ambhazo zimekubaliana kuchukuliana mizigo na kusaidiana na kuishi pamoja till death do them apart. kama Institution inatakiwa ijengwe na pande zote na lazima pande zote ziwe tayyari kukubaliana na masharti ya mkataba huo wa ndoa. Ndoa nyingi zinavunjika kutokana na ama watu wengine wanaoa hawajawa tayari kuachana na mambo yao ila may be umri umemforce kuoa ila bado ana vimada wake ambao hayuko tayari kuachana nao japo anajua yuko kwenye ndoa na alishasema atakaa na mwenza wake kwa maisha yake yote
  Wengine wanaoa kwa sababu alimpa mimba mtoto wa mtu na wazazi wamekuja juu hawataki biashara nyingine zaidi ya mtoto wao kuolewa so jamaa anamuoa dada husika kwa sababu hana choice japo kwake hiyo mimba na hata dada mwenyewe ilikuwa bahati mbaya

  Wengine wanaoa kufuata mkumbo kuwa rika lake wakiwemo marafiki zake wengi wameoa amebaki peke yake hajaoa japo hayuko tayari kukaa na mke ndani ya nyumba so anaishia kuwa mtu wa baa na kuwa na marafiki anasahau wajibu wake kama mume ndani ya nyumba

  Wengine wamelazimishiwa kama kuletewa mke au ile kuambiwa ni lazima umuoe mtoto wa fulani so umemuoa kutimiza ombi la wazazi ila moyoni mwako huyo mke huna mapenzi nae

  Wengine mabadiliko ya tabia za wenza ambao tunafunga nao ndoa. Wako wengi sana wanaoficha makucha yao enzi za uchumba na kuja kuyatoa wakati wameshakuw amke na mume ndani ya nyumba

  Kero kutoka kwa mwenzako ndani ya nyumba kunakopelekea upande wowote kuingia katika ulezi au kuwa na nyumba ndogo nyingi

  Sasa haya yote na mengine mengi ni sababu ya marriage institution kuonekana ya ovyo kwa sasa japo kuna watu na wenza wako na marriage zao zinatimiza even 50 years wanaishi kwa amani japo ugomvi kidogo kidogo upo. Tuipe benefit of doubt bado marriage institution inastahili kuwepo na iendelee na kuwepo na semina na mafunzo ya mara kwa mara kwa wanandoa ili kuweza kuepusha kuiona marriage institution kama kitu kisicho na thamani licha ya umuhimu wake
   
 11. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 661
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 80
  Rev:
  Two things
  • Unfortunately in this life nothing is guaranteed, so people can't stop living ie.getting married for the fear of what might happen and/or come to be iedivorce
  • Na kuhusu cohabitation correct me if Im wrong, si I thought after a certain time period the law does recognise "kaa tuishi" couple as being married ? If so wouldnt this make your advice null and void!!?
   
 12. charger

  charger JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Rev kama ana advocate hii kitu nawasiwasi na sadaka za waumini
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Yeah kisheria kuishi pamoja kw amuda inamaanisha jamii inayowanzunguka ikishawarecognize kuwa mnakaa pamoja inahesabika kuwa ni mke na mume, so ushauri wake hapa wa cohabiting nao haufai
   
 14. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #14
  Jul 6, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Hata kama maneno haya kayasema Mchungaji lakini kuna ukweli ndani yake tena usiopingika kabisa.

  Angalia ndoa za vijana siku hizi anakwenda kuoa jioni mchana anapita kwa msichana wake mwingine then church.
  Hiyo ndoa usanii?? Tena unakuta kavaa mpete mkuuuuuuuuubwa wa Geita Goldmine na Tanzanite eti kaoa
  Unamkuta bar na mwanamke (asiye mkewe) kwa raha zake wife akipiga simu anamwambia usiongee Wife huyo anapiga
  Na msichana ananyamaza kimya mpaka wife wa jamaa amalize kuongea.
  Niliwahi kushuhudia haya nikasikitika sana eti oohh wife ananisumbua pampers za mtoto zimekwisha
  Ngoja nikanunue chukua 20,000 Tshs hizi endelea kunywa na kula nakuja. Kha!!!
  Hakuna ndoa siku hizi, najaribu kufikiria unakuta ndoa ambazo hazikuwa na madoido mengi watu wanajiishia zao
  Zinadumu angalau na zina upendo sababu kilichowaweka sawa ni upendo na sio ufahari wa kwamba
  Na wao wamefunga ndoa kanisani/msikitini watu wakasherehekea na kuvaa mipete mikubwa mikubwa huku rohoni hakuna hata chembe ya ndoa.
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wikipedia

  Cohabitation usually refers to an arrangement whereby two people decide to live together on a longterm or permanent basis in an emotionally and/or sexually intimate relationship. The term is most frequently applied to couples who are not married.

  In the UK, 25% of children are now born to cohabiting parents

  http://en.wikipedia.org/wiki/Cohabitation
   
 16. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  wewe acha kutudanganya, achana na haya makitu ya kuitwa Mrs.......:pound:
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ongezea nyama! Mchungaji sijakuelewa....Nani anakudanganya? Nimkemee kwa sala
   
 18. Bright Smart

  Bright Smart JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Mimi sikubaliani kabisa na gharama watu wanazojibebesha kwenye suala zima la harusi matokeo yake wanasumbua watu wengine kwa michango kero kero ~ "Mimi ya kwangu nilikwenda bomani na fiance na mashahidi ikafungwa ndoa pale baada ya hapo tukaenda five star hotel na ndugu, jamaa na marafiki kila mtu akachagua meza inayomfaa, akatumia chochote akipendacho/atumiacho...na baada ya hapo kila mtu akalipia bill ya service aliyopokea"
   
 19. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280

  Rev naomba pia hapa nibishane na wewe kidogo
  Hiyo ni definition yako kulingana na Wikipedia ila ukija kwetu hapa Sheria ya ndoa (The Law of Marriage Act) inatoa kitu kingine tofauti kabisa


  Presumption of marriage
  (1) Where it is proved that a man and woman have lived together for two years or more, in such circumstances as to have acquired the reputation of being husband and wife, there shall be a rebuttable presumption that they were duly married.
  (2) When a man and a woman have lived together in circumstances which give rise to a presumption provided for in subsection (1) and such presumption is rebutted in any court of competent jurisdiction, the woman shall be entitled to apply for maintenance for herself and for every child of the union on satisfying the court that she and the man did in fact live together as husband and wife for two years or more, and the court shall have jurisdiction to make an order or orders for maintenance and, upon application made therefor either by the woman or the man, to grant such other reliefs, including custody of children, as it has jurisdiction under this Act to make or grant upon or subsequent to the making of an order for the dissolution of a marriage or an order for separation, as the court may think fit, and the provisions of this Act which regulate and apply to proceedings for, and orders of, maintenance and other reliefs shall, in so far as they may be applicable, regulate and apply to proceedings for and orders of maintenance and other reliefs under this section.

  Hiyo kwa Uingereza inafaa ila kwa kwetu hapa sheria inakukaba hakuna kitu cha kucohabit
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nimekukubali wewe ni chizi Kibopa....hiyo ndo inatakiwa
   
Loading...