Kwa msichana kumwambia mpenzi wako kuwa unahamu naye kwa kusex ni sawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa msichana kumwambia mpenzi wako kuwa unahamu naye kwa kusex ni sawa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by twenty2, Jul 6, 2011.

 1. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa upande wangu ni sawa coz si mpz wangu nina uhuru wa kumwambia lolote ninalojisikia kwake,lakini nashangaa kwa wasichana wengine wanaona wanaume ndio wanotakiwa kusema ivyo bt kwangu naona kwa wote ni sawa ndio maana na mapenzi.bt sijui wenzangu mnaonaje ili lipo sawa?or sio sawa?
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Umeuliza swali halafu ukajibu mwenyewe kwenye hapo kwenye bluu halafu ukauliza tena hilo hilo swali hapo kwenye nyekundu, by the way how old are you?? I guess swali kama hili hata mtoto wa miaka 17 atakupa straight answer.
   
 3. charger

  charger JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,324
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Aramba....arambaa........
   
 4. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeuliza swali sawa alafu mm kwangu naona sawa,na ndio nmetetea hoja yangu,bt kuna wasichana wengine wanaona shy kusema dat y nikauliza ipo sawa nijue kama nipo righty or wrong?alafu inaonyesha ww unapewa ushauri na watoto wadogo.
   
 5. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ww vp?unatafuta bwana?or mchumba?
   
 6. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  xxxxxxxxxxxxxx
   
 7. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwa upande wangu sioni kama mbaya lakini inategemea na mwanamme mwenyewe unawapata wanaume wengine washamba,kuna sikunilimwambia B/F wangu alinitazama jicho lile la kelbu na hakutosheka alinishushua nilitahayari nikajuta nilimuambilia nini uso ulikua mdogo kama kokwa ya ubuyu,
  Na hata ukimuonyesha ishara ndio anajitia upofu haelewi wala afahamu anakua ghali sikuiyo sijui anajijua kama anayaweza.
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  si wanasubiri mpaka hisani ya watu wa MAREKANI ndo waseme
   
 9. s

  shosti JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  halafu tunashindwa kuelewa tu wadada,ukimwambia mpenzio inakuwa kama mzuka fulani hivi.....anapagawa hasaa!
   
 10. M

  MAMU ONE Member

  #10
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  " i know nothing" :a s 103:
   
 11. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mweeeeeeeeeeeeee

  jukwaaaaaaaaa la kuambiana ...kuambiana..kubanjuana
   
 12. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nasubiri siku moja nami niambiwe!
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  I guess you are Entymologist
   
 14. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #14
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mabagala...una uhakika hujawahi ambiwa?? Au we kuambiwa mpaka usikie kwa sauti??
  Someni alama za nyakati jamani. Mbona mnataka kulazimisha binadamu wote wafanane? Wengine hu'zungumza' kwa ishara zaidi kuliko maneno mwe!!
   
 15. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Ni sawa kabisa coz mwanamke na mwanaume wote ni haki yao sasa iweje we mdada uone aibu kwani unaiba au kaka yako huyo? Hii kitu ina siri yake aisee shosti keshasema moja wapo.!
   
 16. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Ukiona hivyo ujue hayuko tayari kukupa kwa siku hiyo, hapo ni kutayarisha mazingira tu, mpe karanga ale utakuja hamu zitamjia na atakushushua kwa mahaba!
   
 17. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Una bidii wewe, haya bana!
   
 18. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Wanawake wengi tuna njia yetu ya kumwonyesha mpenzi wako your in need,,..... sio lazima umtolee macho kumwambia leo naomba au nataka tufanye mapenzi, but unaweza anza kwa vitendo tu
   
 19. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Kukonyeza nayo ni ishara!
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Naubiria unionyeshe vitendo
   
Loading...