Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

kuna siku moja nilikuwa nasikiliza kipindi cha ukimwi na jamii katika radio tanzania enzi hizo, basi kuna raia mmoja akapiga simu na kusema kuwa kwa huko ukerewe kijana akitaka kuoa lazima baba...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Romantic Fiction Can Be Bad For Your Love Life Promotes unrealistic expectations Reading too much romantic fiction, such as the ever-popular Mills and Boon books, can be bad for women's sexual...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Jamani jaman, nimekuwa nikishuhudia wanandoa wengi wanafunga ndoa huku tayari mwanamke akiwa na mimba. Unakuta harusi fasta fasta inatangazwa na watu wanafunga ndoa, miezi mitano au sita unaambiwa...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Siku ya kukutana memba wa MMU,siku hii itakapofika wapo watakaoingia mitini hasa ile midume yenye ID za kike,itaogoga aibu pale itakapotakiwa kujitambulisha,lijamaa lina midevu litakaposema "mimi...
0 Reactions
121 Replies
7K Views
Bandugu, hapa mtaani kwetu kuna kabinti kanatia fora kwa kuchukua waume za watu pamoja na kutoa uroda dezo dezo. Ni kadogo sana, umri wake n miaka 16 tu bt matendo yake utadhani mtu mzima. Ni...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Online matchmaking imeanza kusambaa kwa sababu zifuatazo:- a) Kuokoa muda wa kumtafuta umtakaye....... b) kupanua wigo la kukutana na wapenzi watarajiwa......... c) gharama za zoezi hili...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
kuna ndugu yangu mmoja ameoa, wanaaminiana sana na mkewe hakuna hata siku waliogombana ila tatizo mkewe amejifungua mtoto mzungu pure hivi karibuni ndugu yangu yeye hakusema k2 japo alikuwa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Ndugu zangu wanaJF,kuna mtindo siku hz wa akina dada kupenda wanaume wenye vifua vipana regardless ana sura nzuri au mbaya,hv ni nini hasa kinachowavutia wanawake kwa wanaume wenye vifua vikubwa...
0 Reactions
88 Replies
19K Views
A RESEARCH which was conducted by the Moshi-based non –governmental entity – Network Against Female Genital Mutilation (NAFGEM) has revealed five additional areas of gender harassment and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nawasalimu wapenzi. Mimi ni mmoja kati ya maelfu ya members wa Jf, lakini pamoja na kuwa na majukwaa kibao mimi nahisi nimepagawa na hii forum ya MMU, Na huwa najiuliza mi niko mwenyewe au...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Bikira Mabinti wa kizulu huko Lamontville Afrika kusini wakisubiri kukaguliwa kama bado ni mabikira huku nyuso zikiwa zimepakwa udongo. (Picha kwa hisani ya Ellen Emendorp wa NYT) Kutokana na...
4 Reactions
6 Replies
3K Views
Mimi ni mkazi wa dom,kuna mheshiwa mmoja kwa kweli sisi jirani zake wa hapa area( ) tunampongeza kwani kila ajapo kwa vikao vya bunge huja na mke wake, jioni atokapo huwa anamshika mkono mkewe...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
The wheel of life is a valuable tool to help you evaluate what's working and what's not working in your life. ...ni kawaida kusikia mtu anakujia na excuse ya,."..sikuwa na muda!"...lakini je...
28 Reactions
240 Replies
18K Views
Katika kukua kwangu nimeshuhudia migogoro mingi ndani na nje ya ndoa kuhusu mwanamke au mwanaume kuhudumia familia zao(baba,mama na ndugu zako ie kaka,dada na wadogo zako). Kitu kizuri...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
...Big up kwa wanawake warembo wa JF wenye mwanya (kama mpo, ni warembo mjitambue.) W'wake wenye mwanya Mnapendeza sana. Halafu, wote niliobahatika kukutana nao (wenye mwanya-mdomoni) ni warembo...
7 Reactions
152 Replies
35K Views
Mwanamke inasemwa katika vitabu vitukufu si kiumbe cha kupigwa, kunyanyaswa, kusimangwa au kubughudhiwa. Mwanamke ni pambo la nyumba, nuru ya macho, asali ya roho, kato la kiu, upepeo wa jasho...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
hi jf members, jamani naombeni mnisaidie, mwenzenu nikisha kutana na binti kimwili huwa nakoswa raha kwa kujihisi kama nimetenda dhambi kubwa duniani, najiona kama nimeathirika hata kama nimetumia...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Wana MMU, Upendo, Amani na Furaha viwe nanyi. Nilisikia kibao hiki kwenye EA Radio Alhamisi asubuhi. Kuna huyu Dokta hajafuzu lakini bado anatoa huduma tena kwa kutumia sindano oversize. How...
0 Reactions
2 Replies
14K Views
Weekend Njema! Love is a temporary insanity, curable by marriage. =========================== All married couples should learn the art of battle as they should learn the art of making love...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yumkini hawa marafiki wawili ambao walisoma wote kuanzia chekechea hadi kidato cha nne na baadaye kutawanyika kila mmoja kiguu kwa njia kwa minajili ya kutafuta riziki ya maisha……………..bila ya hata...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom