Hii nayo vip

NTINGINYA

JF-Expert Member
Oct 5, 2010
252
47
Wakuu uwe mpenzi kama huyu itakuwaje unainjoi kuwa ana papai nne au ndo inakuwa hata upukweni unamkacha
 
Wakuu hili tatizo linakusudiwa kama vairus anaetamba duniani huku kwetu halijashamiri sana huko marekani na ulaya tayari nitatizo kubwa. tujiangalie sana na vyakula tunavyo tumia hasa vinavyo onekana kupendwa na watu sasa hivi tayari vimeanza kuingia hapa kwetu nasisi tunavipokea ni bora ule kwa mama ntilie kuliko steras na sehem zingine kama hizo vyakula hivi vimejaswa kilaaina ya madawa. sina utalam zaid wakuchambua kuhusu kemikali gani zinatumiwa ispokuwa tujaribu kufkiri kwa kina inawezekanaje chakula kitayariswe kwa uwezo wakuwepo kwa muda wa miaka miwilli na zaid wenye ujuzi tafadhali tupeni elim
 
Back
Top Bottom