Real men dont buy Women/Sex | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Real men dont buy Women/Sex

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by TIMING, Jul 5, 2011.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  I am just watching hii documentary ya Demi Moore kuhusu rescue ya wanawake wanaolazimishwa kuwa prostitutes in Nepal na India

  It is a very strong and useful statement....I am just trying to define nini maana ya kununua ngono/au penzi
  Kuhonga? kulipa changu? kuvizia barmaid na kumlipa pesa for sex? where does this end?.........

  Aisee........:smow:
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  isnt buying separedt completely from feelings? when u have feelings for the barmaid, isnt it just like any other affair (if u ar married) or relationship if u ar single?
  real women dont buy sex either,lol!
   
 3. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  wamepewa bure na wanagawa bure ila kinahitaji matunzo sana, na tunachotoa si kuhonga wala kununua tunachangia gharama za utunzaji ndo maana walioolewa wanatunzwa na waumezao je wale ambao bado nani awagharamikie? Ka sio wale wanaotumia?
   
 4. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ndo maana wanatembea uchi, they are there for business na thithi ndo wateja wao, biashara ni kuuziana na kununuliana. why not? kama mtu anauza na sisi wenye fedha zetu tunapurchase as usual bwana. Pesa ni purchasing power hata mke wa mtu waweza nunua.
   
 5. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Kununua ngono!
  Ni mwanamume ambaye anjua hafai kipendwa (not real man) ndie anayenunua ngono!
   
 6. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Very nice and interesting...mjomba kuna tofauti kubwa kati ya sex na love! of course naweza nunua sex just for the matter of satisfaction but love is different, kuna mambo mengi kama kujuana zaidi kimahusiano,kujaliana,kupendana,kuheshimiana,kuaminiana etc.
   
 7. RR

  RR JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Really?
  Mwanaume akighramia huduma anakua hajanunua sio?
  Maana ya kununua inaleta tabu.....
   
 8. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  IN fact only men who don't believe in their potential to seduce using conventional steps have to buy sex. And only women who don't believe in their potential to attract using conventional steps will sell sex.
  Kinacho wafanya wanawake kua victims and men culprit ni the fact that kuna "financial" aspect pale. the one who buys is the one commiting the offence (is it an offence in TZ?)
   
 9. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Mwanaume ndo aliyeleta biashara ngono duniani,so kama yupo wa kulaumiwa ni sisi wanaume sio wanawake!
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Ur right mate! I better Masturbate rather than coercing some one by whatever means to get satisfaction through sexy.
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  dont shoot the messenger mkuu

  kale kamama kalikua kanaongea CNN huku kameoa kijana like 20 years younger

  natafakari bado ila majibu sina, ndio maana kinaiweka humu kwa wajuvi
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kweli aisee, anayesababisha minada ya ngombe si ngombe bali mnunuzi

  daym right; so how do we do this?
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  I'm gonna be the Devil's advocate and say.........what's the difference of buying sex when you want sex and buying water when you are thirsty?
   
 14. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Yes, this is the way the cookie crumbles!
   
 15. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Huwezi kutatua tatizo bila ya kujua kiini cha tatizo.

  Ikiwa hakuna tofauti kati ya biashara hizo mbili, sioni kwa nini mwanamme aruhusike kufanya biashara moja na kuacha nyengine.

  Ikiwa kuna tofauti, basi ndio tuzijadili ili tuweze kuachana na biashara hiyo.
   
 16. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Its the oldest profession known.
   
 17. RR

  RR JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160

  Orite mkuu...
  Kila nikitafakari extent ya ununuzi napata shida kidogo....
   
 18. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #18
  Jul 5, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  This is nice!! Should we play Russian Roulette?? Kidding! Its too dangerous game of chance my friend hahahahah

  On a serious note..I like the philosophy behind this assertion.
   
 19. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #19
  Jul 5, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tafauti ni kwenye need yenyewe. Usipo kunywa maji unakufa ila usipo do haufi. Pili, swala la ngono ni kitu intimate na swala la dignity. HAkiuzwi. Ni sawa na kumlipa mtu awe anakwambia kila saa: we ni bora kuliko bianadam wote. Moraly sio sawa hata kama huyo mtu anakubali kufanya hivo sababu katika human culture duniani kote hutakiwi kumwambia binadam hivo unless unamaanisha na wala sio sababu ya pesa.
  Kukubali tendo la ndoa na mtu usie mpenda sio sawa moraly. Na mbaya zaidi kama unachukulia umasikini wake kumshawishi kwa hela ili afanye tendo la ndoa kwa kujipatia posho ni sawa na kumlazimisha (the pressure you exercise cannot be handled).
   
 20. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #20
  Jul 5, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ambao hawajaolewa wafanye kazi/ biashara za halali ili wajitunze wenyewe!..
   
Loading...