Nimelogewa MMU? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimelogewa MMU?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sharo hiphop, Jul 9, 2011.

 1. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nawasalimu wapenzi.


  Mimi ni mmoja kati ya maelfu ya members wa Jf, lakini pamoja na kuwa na majukwaa kibao mimi nahisi nimepagawa na hii forum ya MMU, Na huwa najiuliza mi niko mwenyewe au kuna wenzangu wengine?  Nikiingia tu jf, moja kwa moja MMU, kidogo 4tos na jokes, lakini 75% ya muda wangu mwingi niko humu! Nisaidieni nina tatizo, niko mwenyewe au nina wafuasi?


  mezaniiiiiiií!!!!!
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Uko peke yako, wenzio 2kiingia jf 2naanzia kwa siasa tunajipa mastress weee hlf 2narudi mmu stress free zone.
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  probably the best jukwaa in jf......!and so do i.
  tumetoka nalo mbali sana.amani kwako mbu,mj1 na asprin!

  special acknowledgements kwa finest,lizzy,afrodenzi,bigirita,king'ast,lilyi
  flower,kimey,roya,rose,askofu,kaiser,mwanakijiji,bubuatakakusema,nyamayao,fidel,nyaningabu,pretta,piijeei,bht,acid na mtm,sipo,et all!nadhan mwakumbuka how lovely was mmu
   
 4. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ukinipeleka kwenye siasi huwa natani nikalale hata kama ni mchana.
   
 5. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nina wasiwasi na baadhi ya members nyaningabu akiwa mojawao, bila kumsahau ashadii.
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  presha zako tu.....!sisi sote ni ndugu
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Huo wasiwasi unahusiana na nini?!
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yani sisi ndio hatupati amani?!Nwy Te amo....
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Wengi huku huwa tunajichanganya kwenye majukwaa yote. Lakini mwisho wa yote tunarudi hapa hapa nyumban
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  TeamoBila kukusahau wewe mfalme wa Amani...Sante mkuu ..
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  amani tele mkuu ad na lizzy.....!

  mmu was then!....we love them new members all the way though
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Jul 9, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  so additcive
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh
  nasema tena MMU ndio moyo wa JF..........
   
 14. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #14
  Jul 9, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sina wasiwasi nao, we sema mtu ka nyaningabu simuonagi kabs siku hzi, huo ndo wasiwasi wangu kaka.
   
 15. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #15
  Jul 9, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  MMU ndo Wapi jamani? Kunani huko? Kwaendekaje?
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  heshima yako mkuu....napenda kutambua uwepo wako mahali hapa saa hii.....ni kweli MMU tumetoka nayo mbali sana na kutufanya tuwe kama familia......ni jambo la kushangaza lakini ukweli ndio huo kwamba MMU ni zaidi ya keyboards......shukrani za pekee ziwaendee wapenzi wote wa MMU......kwa kutuwezesha wengine wetu kutengeneza marafiki wapya na zaidi kuwa ndugu wa karibu
   
 17. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #17
  Jul 9, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  the boss nakupata mkuu.
   
 18. Ballerina

  Ballerina JF-Expert Member

  #18
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mapenzi yanaRUN dunia..................au Alikiba muongo?
   
 19. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #19
  Jul 10, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  MMU ndo mahali ulipo sa hvi, kuna matamu humu.
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Jul 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  we pitipitia tu, ukiona mambo mazito soma huku umefumba macho na maskio umeziba.
   
Loading...