hivi ni kweli baba huwakatia utepe wanae?

Pota

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
2,031
760
kuna siku moja nilikuwa nasikiliza kipindi cha ukimwi na jamii katika
radio tanzania enzi hizo, basi kuna raia mmoja akapiga simu na
kusema kuwa kwa huko ukerewe kijana akitaka kuoa lazima
baba yake amwonje yule binti ili amruhusu mwanae kumwoa,
otherwise baba hawezi kutoa mahali na kumpa go ahead kijana wake.
hii ina maanisha baba kama anavijana 6 wanataka kuoa mathalan
atatembea na wakwe zake watarajiwa wote sita then anawakabidhi
vijawa wake. watu walipiga simu na kupinga sana kwani kama
baba ana ngoma basi atakuwa ameinvest kwa watoto wake wote.
kwa wanaojua zaidi naomba tujuzane na kama kuna nchi au
mahali pengine wanapopractise hii move
 
Hii stori mbona inawasha masikioni? mambo mengine hata shetani mwenyewe huwa anashangaa sometimes,labda mbuzi ndio huwa wanakatiana utepe
 
Ikiwa utepe wa mwolewaji ulishakatwa kwingineje??

nway swala ni kwamba lazima baba amduu then amruhusu kijana wake,
hata kama kijana alishaanza kabla.... but kurasmishwa ni pale baba mtu
anapomduu binti huyu.... na sometimes baba anaweza kumpora kijana wake
kama binti anaperform vizri....
 
kuna siku moja nilikuwa nasikiliza kipindi cha ukimwi na jamii katika
radio tanzania enzi hizo, basi kuna raia mmoja akapiga simu na
kusema kuwa kwa huko ukerewe kijana akitaka kuoa lazima
baba yake amwonje yule binti ili amruhusu mwanae kumwoa,
otherwise baba hawezi kutoa mahali na kumpa go ahead kijana wake.
hii ina maanisha baba kama anavijana 6 wanataka kuoa mathalan
atatembea na wakwe zake watarajiwa wote sita then anawakabidhi
vijawa wake. watu walipiga simu na kupinga sana kwani kama
baba ana ngoma basi atakuwa ameinvest kwa watoto wake wote.
kwa wanaojua zaidi naomba tujuzane na kama kuna nchi au
mahali pengine wanapopractise hii move
Cha msingi atumie condom. Otherwise atakua anafanya makosa sana
 
aiseeee
tatizo sisi watanzania tunajiona normal sana but
ukiwasimulia watu kutoka nje hayo mambo
pamoja na lile la kuua albino ili kuwa tajiri....

watu wa nje wanajiuliza how come tuko so primitive namna hiyo??????????
 
Mkuu ukiimajini hujakutana nae after baba kula....ngoma juu ila tatizo sasa baba akinogewa si atarudi tena?
 
aiseeeetatizo sisi watanzania tunajiona normal sana butukiwasimulia watu kutoka nje hayo mambopamoja na lile la kuua albino ili kuwa tajiri....watu wa nje wanajiuliza how come tuko so primitive namna hiyo??????????
The Boss, uprimitive, ubarbaric na unini sijui unaudefine from which perspective? Kuna mila na tamaduni nyingi ambazo kwa wakati huo na kwa wanaozifuata zilimake some senses! An sure hazikuwa na ubaya kwao mpaka mazingira yalipochangia ubaya huo.
 
[h=2]hivi ni kweli baba huwakatia utepe wanae?[/h]
kuna siku moja nilikuwa nasikiliza kipindi cha ukimwi na jamii katika
radio tanzania enzi hizo, basi kuna raia mmoja akapiga simu na
kusema kuwa kwa huko ukerewe kijana akitaka kuoa lazima
baba yake amwonje yule binti ili amruhusu mwanae kumwoa,
otherwise baba hawezi kutoa mahali na kumpa go ahead kijana wake.
hii ina maanisha baba kama anavijana 6 wanataka kuoa mathalan
atatembea na wakwe zake watarajiwa wote sita then anawakabidhi
vijawa wake. watu walipiga simu na kupinga sana kwani kama
baba ana ngoma basi atakuwa ameinvest kwa watoto wake wote.
kwa wanaojua zaidi naomba tujuzane na kama kuna nchi au
mahali pengine wanapopractise hii move

The Boss, uprimitive, ubarbaric na unini sijui unaudefine from which perspective? Kuna mila na tamaduni nyingi ambazo kwa wakati huo na kwa wanaozifuata zilimake some senses! An sure hazikuwa na ubaya kwao mpaka mazingira yalipochangia ubaya huo.

Kweli kiswahili kipo njiani kupotea kama tutaendelea...................kuswahili-inglishi....................................check red marks
 
mhh sijawahi sikia hiii story .. and i hope hakuna utamudi wa aina hiii ...
 
Daah hii kali sana..je na vijana wa kiume wanaotaka kuoa wanakatwa utepe na mama wakwe zao au?..maaana hii imekaa kama kubadilishana jezi baada ya mechi ya mpira wa miguu..
 
Sielewi hii ni Ukerewe ya wapi? na huyo aliyepiga simu redio tanzania ni mkerewe ama la? hamna mila kama hiyo huku kwetu, tangu nizaliwe mpaka leo sijaona na wala sijaskia kitu kama hiki. Hata baba yake babu (Mzee Makene) hakuwa kutueleza habari kama hii katika simulizi zake. Hata babu zangu (baba wa mama na baba) hawakuwahi kusema namna hii ya utepe. Huyo ni baba yake tu ndio mshenzi na wala si mila ya wakerewe. Nawasilisha
 
Dahhhhh
Sasa anapima nini tu ...???
kama kuna kijana atakubali baba yake
Afanye hivyo basi hiyo familiar wana
Matatizo ya akili.

Na kama kuna msichana atakaye kubali hili
Naye atakiwa mwenda wazimu...
 
Mi niliwahi sikia wajaluo mama mkwe ana do na mume wa mtoto wake. Kuna shemeji yangu kaoa mjaluo dada ana umri mdogo kama mwanae (mkewe wa kwanza alifariki) sasa nikimwangalia mama wa mkewe naona ndio saizi yake na nikifikiria mila zao ndio zinaruhusu (kama kweli) basi naona yaweza kuwa burudani maana mama ni divorcee.
 
Unacheza na mila wewe AD. Mimi nashauri watu wafanye uchunguzi wa kina kabla ya kuoa au kuolewa. Kuna jamaa (namfahamu) alioa. Huwezi amini ndoa ilivunjikia honeymoon. Yani wife alimwacha mumewe hotel akarudi kwao mpaka kesho (its more than two years now) Mpaka leo hamna anayejua what happened kwani they were lovers before deciding to marry. Isije ikawa dada kapewa masharti na familia ambayo ameona hawezi kuyafuata. Yani imekuwa ni siri sirini na aibu kwa familia zote mbili. Hakuna anaye explain, na kijana ni bonge la handsome.

Dahhhhh
Sasa anapima nini tu ...???
kama kuna kijana atakubali baba yake
Afanye hivyo basi hiyo familiar wana
Matatizo ya akili.

Na kama kuna msichana atakaye kubali hili
Naye atakiwa mwenda wazimu...
 
Back
Top Bottom