Hii ndio staili ya maharusi wa sasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndio staili ya maharusi wa sasa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by fikirini, Jul 7, 2011.

 1. fikirini

  fikirini Senior Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani jaman, nimekuwa nikishuhudia wanandoa wengi wanafunga ndoa huku tayari mwanamke akiwa na mimba. Unakuta harusi fasta fasta inatangazwa na watu wanafunga ndoa, miezi mitano au sita unaambiwa fulani tayari ana mtoto, sasa wanapowahi kufunga ndoa lengo eti ni kwamba mtoto asizaliwe nje ya ndoa? jamani maana ya ndoa ni nini?
  Imebidi nifanye utafiti mdogo na haya yamekuwa ni majibu ya baadhi ya watu:

  1. Eti wanaume huwa wanataka kutest kwanza kama mke mtarajiwa anaweza kuzaa, na pia hata yeye kama anaweza kumzalisha mwanamke(a.k.a test before use) kwa hiyo asipopata mimba??..................................
  2.Eti wanawake sio waaminifu, kwa hiyo ni kheri umpe mimba ili ujihakikishie kuwa sasa yeye ndo mke wako.

  Sasa jamani tusaidiane ni kweli kuna maantiki ya kufanya majaribio? na je hiyo ndio dawa? NAWASILISHA
   
 2. facebook

  facebook Senior Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mimi naona ni kupitiwa tu, wengi huwa wanaanza kuchakachuana mapema. Kitu kikitik wanakimbilia ndoa. Nyingi huwa inatokea bahati mbaya!
   
 3. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  ajali kazini hiyo mjomba....
   
 4. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mmh, utafiti wako umeifanyia wapi? Ni tamaa za kingono tu, hakuna kurest wala nini. Hayo ulosema ni visingizio vya kuhalalisha tamaa na uzinzi wao.
   
 5. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  ni tamaa tu wala si sababu hizo mbili, kwani hata kama anamimba bado analika tu,
  nani kakudanganya kuwa mimba inazuia gem? u only change positioning.
  na swala la kutest uwezo wa kuzaa basi wangeenja hospital, kufanya live c kutest
  kwani hamna sample hapo.
   
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kutest lazimaaaa.
   
 7. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mkuu kwa maisha ya dunia ya sasa hiyo kitu inabidi.
   
 8. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  vipi na sisi waume watarajiwa ambao tayari tuna watoto pembeni?
   
 9. d

  dropingcoco Senior Member

  #9
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shake well before use
   
 10. The great R

  The great R Senior Member

  #10
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nijuavyo hakuna mwanamke anaeolewa akiwa bokra nowadays especially wanawake wa mjini.wakati wauchumba ni lazma mdonyoane hasa mkiwa mnampango wakuoana,ikitokea ndio mshapima HIV basi ni nyama kwa nyama kwakwenda front huku mkifarijiana kwamba endapo utapata mimba tutaona.
  Sababu ya kuoana mtu mjamzito ni kweli sbb ni hiyo mimba ili mtoto asizaliwe nje ya ndoa,hasa upande wa mwanamke huwa wanaforce ili isiwe aibu kwao.Kwakufanya hivi maana halisi ya ndoa inapoteaa kwani mnaweza kuoana wakati bado hamjafahamiana vyakutosha,licha ya mtoto kuzaliwa ndoa inaingia matatani na mwisho huvunjika.
  Ni vizuri kwa wale ambao hamjaoa,ukioa mtu unaempenda kwa dhati ili muishi kwa raha,upendo na amani.
   
 11. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #11
  Jul 7, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  More than 70% ya watu waliofunga ndoa kwa style hiyo waliuziwa mbuzi kwenye gunia. I mean wanalea watoto wasio wao. Na kwa kuwa inakuwa tayari ndoa imeshafungwa, wanandoa wanalazimika kuficha tu siri ya mambo ya humo ndani. Habari ndo hiyo.
   
 12. fikirini

  fikirini Senior Member

  #12
  Jul 7, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Fafanua zaidi mkuu,
   
 13. fikirini

  fikirini Senior Member

  #13
  Jul 7, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimeongelea mambo ya mimba wakati wa kufunga ndoa, kuwa na mtoto nje mmmhh, hilo ni suala lingine mkuu.. kwa mimi mkristo najua hufungi ndoa bali unabariki ndoa
   
 14. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Pamoja na kuhakikisha kuwa wote mnaweza kuzaa hii pia husaidia kujua kama mnaendana kimaumbile,sio ile baada ya ndoa mwanamke anadai huyu mwanamme simuwezi au mwanamme anadai kwa huyu dada naelea tu.
   
 15. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #15
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  kawaida ni kama sheria
   
 16. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #16
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  mmh....wanabariki ndoa? Sasa hapo wanakuwa wanabariki ndoa ipi wakati ndo wanaapa na kuvaa pete kwa mara ya kwanza?
   
 17. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #17
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama hiyo ni sababu. Mnaweza mkatest na bado tatizo likatokea mkiwa ndani ya ndoa, je hapo inakuwaje? Hiyo test yenu inakuwa na maana gani? Btw, mbona hiyo test ya kuonyesha uwezo wa kuzaa hata hospitalini inafanyika?
   
 18. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #18
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  mkuu research yako fake kama ya REDET sijui....Umejibu swali vizuri kabisa maana ya ndoa ni kuzaa watoto ndani ya ndoa basi kulingana na swali lako lkn ukitaka zaidi...muone Mchungaji Masaniro
   
 19. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #19
  Jul 8, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu nimesisitiza sababu yangu ya pili yaani siku ya ndoa mke kudai mchi hauwezi au mume kudai kinu kikubwa.
   
 20. s

  shosti JF-Expert Member

  #20
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  vijanaume vinachakachua watoto wa watu kuoa havitaki ss hamna jinsi kuwabambika nazo..tena wamwambia ikiwa na miezi saba kabisaaa!
   
Loading...