Kifua kipana/kikubwa kwa mwanaume kinawavutia nini akina dada? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kifua kipana/kikubwa kwa mwanaume kinawavutia nini akina dada?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Magnificent, Jul 3, 2011.

 1. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Ndugu zangu wanaJF,kuna mtindo siku hz wa akina dada kupenda wanaume wenye vifua vipana regardless ana sura nzuri au mbaya,hv ni nini hasa kinachowavutia wanawake kwa wanaume wenye vifua vikubwa? Ningepata comments nyngi zaidi kutoka kwa wahusika wenyewe ingependeza zaidi,nawasilisha bandugu!!
   
 2. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 792
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  ni pumzi tu kwenye mazoezi
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Mkuu una kifua kipana nini, subiri wahusika watakuja kukujengea confo
   
 4. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Binafsi sipendi..ngoja tusubiri wanaopenda watuambie
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  kwa nini ukiwa kanisani unaingia JF?
   
 6. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahaha,ndo nimetoka ya kwanza..fanya ile mambo basi plz
   
 7. Kipilipili

  Kipilipili JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 2,204
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  Ah!cku hz utandawazi huamulia watu aina ya wapenzi.mfano km matangazo ya magharibi yanaonesha wanaume mwenye misuli na vifua vpana au wanaume warefu,bas wanawake wa huku kwe2 wote nao watapenda wanaume wa aina hyo.hali iko hvyo hvyo kwa wanaume,km matangazo yataonesha wanawake wembamba na weupe basi wanaume wote watapenda wanawake wenye cfa hzo wakidhan kua mwanake mzuri lazma awe mweupe na mwembamba,kumbe c kweli!2natawaliwa ht kihisia na watu wa magharibi.u2mwa ulioje huu?hvyo kaka wanawapenda kwa 7bu wanapoangalia wa2 wa magharibi kwny luninga wanaona hivyo fifua ndo mana nao wanapenda.na c kupenda haswa ila ni KUTAMAN.mwanamke anaekupenda kwa 7bu ya umbile lako{body morphology}ni tapeli,jambazi,kibaka,fisadi,mchakachuaji na haramia wa wapenzi ,so watch out bro!usije ukalia mdomo juu km mbwa koko!
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ile mambo ndo nasoma ramani yake.....ni muda mrefu ujue....
   
 9. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  wacha niskilizie...hivi kericho ni kifua kipana eee???
   
 10. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Binafsi huvutiwa na mwanamme mwenye makalio yaliotokeza na si pasi wala si kifua kipana.
   
 11. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahaha...hii yako Faiza ni kali
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  he he he......Kericho ndio hicho hasa, halafu kirefu 6ft kiko kama Mr President (jf member)....teh teh teh
   
 13. H

  Hute JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,921
  Trophy Points: 280
  mimi n mmojawapo wa wenye vifua vipana, yaan haswa, na nilishapitia jimu kidogo na mazoezi mengi ya fitness. kutokana na mwili wangu, mazoezi yalichokoza nikajikuta nina kifua kama ubao. ni kuzuri actually huwa nashukuru Mungu. faida kubwa sana ninayoipata kwenye kifua changu kipana, nikilala na mke wangu lala hii ya kawaida sio unyumba, analala kabisa kwenye kifua changu, yaani kichwa chake anakiweka katikati ya kifua changu na anaweza akiamua akafanya kama mto, halafu mimi namkumbatia kama mtoto palepale kifuani na usingizi mnono unakuja hadi kesho. pili, wakati wa ku hug, ninafurahi kumweka katikati ya mwili wangu na kujisikia kama vile nimemwingiza kabisa kwenye moyo wangu pale kifuani....vilevile, mara zote pumzi yangu ni nzuri kinoma...naweza kwenda masafa yoyote hadi mwenzangu anafloat, akisema basi inatosha kwa leo, ndo namhurumia...ila kama yeye akitaka, tunaweza tukakesha kama kesho hatuendi kazini kama vile siku za jumamosi na ijumaa....NAONGEA UKWELI wala si ushabiki..

  kakifua kembambaaaa, nadhani wanawake huwa wanajisikia si vizuri sana, mfano wa hugging, mwanamke akawa na matiti makubwaaa, kifua kipana, akikuhug mwanaume mwembemba na mwenye kakifua kadogo, anakujaa ni kama amekufunika vile...wewe unakuwa ndani so yeye anaonekana..the one atakayekuwa hugged ni mwanaume na si mwanamke kwa hapo..vilevile, pumzi nahisi itakuwa ndogo...pigeni mazoezi jamanii...panueni vifua vyenu kwafaida yenu na ya wapenzi wenu. kwakawaida watu wengi wenye vifua vipana ni wana mazoezi, ambao mishipa yao ya damu imepanuka na damu inapenya vizuriiii na kwa wingi jambo linalofanya hata kule kunako kusimama ngangari zaidi na mambo yanaenda freshssss.
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mmmmmmmmmmmmmmhhhhh I can't buy ur saying!!!!! Kuna uhusiano gani kati ya kifua kipana na kwenda mda mrefu?? mmmmhhhh kunawatu nawajua wanavifua vipana lakini mademu zao wanatoka nje kutafuta sexula satsisfaction...ONlY Kegel Exercise ndo inakusaidi kurun maratho mbio ndefu
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mimi hata sijui napenda nini..
   
 16. K

  Kerosine Member

  #16
  Jul 3, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kifua kipana na kwenda mbio ndefu? Nope...haiconnect...mbio ndefu ni ishu nyingine kabisa...labda hayo mengine uloelezea...!!!
   
 17. Kijuche

  Kijuche JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Du kazi kubwa hii. Mi sipo napita tu hapa.
   
 18. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Hii nayo kali!!!!
   
 19. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hahahahahaaa wewe ni mwanamke wa kipekee, makalio ya mwanaume ya nini? mie napenda mwanaume pasi coz makalio anaweza asiwe na kitu cha kutosha, ila faiza yako nimeipenda hahahahahaaaaa
   
 20. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mie napenda mwembamba aisee, mnemne mwenye kifua nahisi tukiwa faragha inakuwa kama vita vile akuuu , napenda mwembamba wa kawaida
   
Loading...