Help your family to stand on their own | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Help your family to stand on their own

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The great R, Jul 8, 2011.

 1. The great R

  The great R Senior Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika kukua kwangu nimeshuhudia migogoro mingi ndani na nje ya ndoa kuhusu mwanamke au mwanaume kuhudumia familia zao(baba,mama na ndugu zako ie kaka,dada na wadogo zako).

  Kitu kizuri nilichogundua ni kwamba,ili waache kudepend na kuwa kero kwenu nyie wawili,like wanakuja kukaa kwako,mwenzi wako anachukia basi ili mradi tafrani.

  Nikuestablish a thing laki business, mgahawa, saloon, na vinginevyo, ambapo itakua under wao ikawatimizia swala la msingi kimaisha FOOD na madogmadogo.

  Si kwamba ndio mwisho wakuwasaidia la, bali itapunguza purukushani na kuwapa muda wakujijenga.

  Sijui wengine mnalionaje hili.
   
 2. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni kweli mkuu, lakini pia ni viguu sana ku-implement suala hilo. Ni watu wachache sana wanaoweza kupewa kitu (kwa mfano mtaji, biashara, au hata kazi) na kuweza kukiendeleza na hatimaye kilete tija. Siku zote ndugu huwa wanaona wana haki ya kupewa chochote na wanayemtegemea. Hivyo hata ukiwapa pesa za mtaji, utashangaa baada ya wiki moja wanabisha hodi mlangoni, KAKA HALI MBAYA HUKU!
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,217
  Trophy Points: 280
  thubutuuu(samahani nimetumia neno) wengine ukiwaanzishia biashara watakula mtaji! Ukileta chakula nyumbani hawatapika wamsubiri mkeo au ww uje kuwapikia hata kama wameshinda siku nzima kuangalia tv! Kuna ndg wengine noma! Hawabebeki
   
 4. d

  doctore. Member

  #4
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uombe Mungu uwe na ndugu wenye akili kwani wengine ni mizigo mizito sana.utawasaidia na majungu watakupiga na miradi itakufa.
   
 5. The great R

  The great R Senior Member

  #5
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  iNAKUA AFDHALI HATA UKOGOMA.
  Sababu ya msingi utakua nayo kwamba uliwapa kitu wakaharibu so hawana budi kuaccept utakachoamua.
  sasa bora nini,kero kwa mkeo na familia yako mpya au lawama za ndugu jamani?
   
 6. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Nisha jaribu, it doesn't work.
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Wazo zuri sana...
  Ila kama una kakitu cha ziada
  Mfukoni ni bora uwapeleke shule..
  Kama ni mtu mzima hizi shule za ufundi,
  Computer etc ..
   
 8. The great R

  The great R Senior Member

  #8
  Jul 9, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umri ukishaenda hawataki hata technical.
   
 9. The great R

  The great R Senior Member

  #9
  Jul 9, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  On the other way around,you establish the business n u run it,the funds accumulated you use them for them instead yakuingilia familia yako na mkeo,hii je?????????????????
   
 10. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Tatizo kubwa sio hela..wala biashara..ni utamaduni wetu wa kiafrika....Extended families.. Ukiacha Baba na Mama wa pande zote mbili ambao ni wajibu wetu kuwasaidia kwani bila yao sisi ni bure ..utakuta mambo yanaenda zaidi ya hapo yaani ..hadi kwa mtoto wa shangazi kutoka kwa mjomba mdogo aliyezaliwa pacha na mama mkubwa...Kaka wa Baba mkubwa kwa nyumba ndogo ya babu..n.k.

  Sasa ndugu yangu utasaidia wangapi.. ..hapo hapo kumbuka huwezi badili utamaduni huu..yaani huwezi kuanza weka appointment za ndugu kuja kukutembelea..jamii itakutenga wewe na familia yako.. Kikubwa ni akili kichwani..Jaribu kushirikisha ndugu wengine kusaidia wazazi..halafu zaidi ya hapo mkubaliane na mke/mme kile .kidogo kifanyike kadiri ya utamaduni lakini mkumbuke kufanya kikubwa kwa ajili ya familia yenu..watoto na maisha yenu ya baadaye..Wema usizidi uwezo..
   
Loading...