Mwanya, Uzuri wa asili

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,844
images

...Big up kwa wanawake warembo wa JF wenye mwanya (kama mpo, ni warembo mjitambue.) W'wake wenye mwanya Mnapendeza sana. Halafu, wote niliobahatika kukutana nao (wenye mwanya-mdomoni) ni warembo tosha.

Nini mtazamo wako?
 
Hapo kwenye red. it is as if kuna wenye mwanya sehemu zingine!
 
ha ha ha mbu bana mzee wa kufyonza!!!! Mi kwa upande wangu mwanya huwa nauchukulia kama dental formula disorder! K hiyo nmi nikimuona dem ana mwanya naona kama mgonjwa wa meno.
 
Hiyo ni kwa mujibu wako, na si wote wanapenda mwanya. Haf urembo/uzuri ni subjective term na si objective.
 
....Pheeeww, watu wame data humu! kuna ulazima wa kudelete junk folders vichwani kabla ya kuingiza new files, LOL!
 
Mbu,
"Uzuri" wa mwanya umekuwepo miaka mingi.Wanawake wa kiafrika wenye mwanya huonekana kama warembo asilia sijui dhana hii ilitoka wapi!

Wazungu nao hivyo hivyo wana misemo yao - mwanya huita "dents du bonheur" ikimaanisha teeth of happiness!

Lazima kuna siri ndani yake!
Hebu tungoje tusikie wengine wanasemaje.
 
Hiyo ni kwa mujibu wako, na si wote wanapenda mwanya. Haf urembo/uzuri ni subjective term na si objective.

SubjectiveObjective.png

...Haya sasa, kila jambo mnataka kuli theorize. Hili jukwaa la Mahusiano Mapenzi na Urafiki bana, sio darasa la Psychology.
 
Mbu,
"Uzuri" wa mwanya umekuwepo miaka mingi.Wanawake wa kiafrika wenye mwanya huonekana kama warembo asilia sijui dhana hii ilitoka wapi!

Wazungu nao hivyo hivyo wana misemo yao - mwanya huita "dents du bonheur" ikimaanisha teeth of happiness!

Lazima kuna siri ndani yake!
Hebu tungoje tusikie wengine wanasemaje.

Thanks Tausi Mzalendo.
Angalau wewe tupo ukurasa mmoja.

"lucky teeth" kwa tafsiri ya kifaransa.
Binafsi nishaskia tafsiri nyingi Uswahilini mtu anapokuwa na Mwanya.
Inawezekana ni dhana tu, lakini wengine utaskia "Loh, Mumeo ana Mwanya? ...ana ulevi wake huyo!"
Kwa wanawake utaskia, "Mnh, mdada yule ana Mwanya bana, si mchezo!..."

All ij all, mimi navutiwa tu na mwanya unavyompendeza mwanadada usoni pake.
Najiskia raha sana kumwangalia tabasamu lake.
 
Thanks Tausi Mzalendo.
Angalau wewe tupo ukurasa mmoja.

"lucky teeth" kwa tafsiri ya kifaransa.
Binafsi nishaskia tafsiri nyingi Uswahilini mtu anapokuwa na Mwanya.
Inawezekana ni dhana tu, lakini wengine utaskia "Loh, Mumeo ana Mwanya? ...ana ulevi wake huyo!"
Kwa wanawake utaskia, "Mnh, mdada yule ana Mwanya bana, si mchezo!..."[/I]
Ufafanuzi zaidi hapo, plz! Kitu gani chengine anahusishwa mdada mwenye mwanya mbali ya uzuri?
 
images

...Big up kwa wanawake warembo wa JF wenye mwanya (kama mpo, ni warembo mjitambue.) W'wake wenye mwanya Mnapendeza sana. Halafu, wote niliobahatika kukutana nao (wenye mwanya-mdomoni) ni warembo tosha.

Nini mtazamo wako?
Duh mbona mamtoni wanachukulia kuwa na mwanya ni ukilema fulani hadi wanaweka ule waya kuziba pale,ila ahsante sana
 
Gaga una mwanya nini? Wow! ...wa mamtoni wana kasumba zao. si unaona hata Condoleeza Rice na Madonna hawajaziba urembo wao asilia
 
Ongezea Vanessa Paradis mkewe Jonny Depp na Binti yake Mick Jagger - mwanamitindo
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom