hivi inawezekana kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi inawezekana kweli

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kingazi, Jul 9, 2011.

 1. kingazi

  kingazi Member

  #1
  Jul 9, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna ndugu yangu mmoja ameoa, wanaaminiana sana na mkewe hakuna hata siku waliogombana ila tatizo mkewe amejifungua mtoto mzungu pure hivi karibuni ndugu yangu yeye hakusema k2 japo alikuwa anumia, mkewe akamuomba ndugu yangu huyo wakapime dna kama anamashaka maana mke alimuona mumewe japo hasemi ila anaumia mno walivyo kwenda kupima vipimo vinaonyesha mtoto ni wa ndugu yangu sasa bado najiuliza hivi iawezekana vipi ikiwa sisi wenyewe ktk kizazi che2 hakukua na mzungu.
   
 2. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,521
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Hiyo DNA test imechakachuliwa
   
 3. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  watakuwa wamemzaa albino,haiwezekan wamzae mzungu,unless mama amekula njama na mpimaji
   
 4. E

  Edwiny Member

  #4
  Jul 9, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Iyoaiwezekani kuna mchezo unaendelea hapo,fanyauchunguzi zaidi.
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  INAWEZEKA sana tu..

  Si mara yangu ya kwanza kusikia
  Habari kama hizo .. kuna nadhani Mnageria
  Na Wanaishi UK imewatokea na DNA
  Imeonyesha ni mtoto wao..

  Baba na mama ni wa nigeria na mtoto
  Wao wa kwanza ni mweusi lakini mtoto wao wa tatu ni mweupe na blonde hair, blue eyes ..

  Ntakutafutia hii story ( Nimeipata nenda chini ya hii page utaona )

  ..
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Inawezekana mno
  but kwanza afanye kipimo cha dna
  kwenye hospitali tofauti
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hahahahahaha looohhUme nichekesha kwa kweli mmmhh
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  ndugu,
  1 muhimbili hawafanyi dna test kwa ajili ya kutambua mzazi halisi, kipimo hichi kinafanywa na mkemia mkuu wa serikali pekee na kuna utaratibu maalum wa kisheria
  2 ethical issues kuhusu wanyama na binadamu, hairuhusiwi kutoa majibu ya uongo kwa mteja/mhusika, otherwise inaruhusiwa kunyamazia matokeo ama kutafuta utaratibu sahihi wa kushughulikia matokeo!
  my take is: usisikilize habari za mitaani, tafuta utaratibu sahihi wa jinsi mambo yanavyokwenda!

   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  tatizo la wanasayansi wetu ni uvivu wa kufikiria kutokana na ugumu wa maisha! dr na manesi wanazalisha mmama huku mawazo yako kwenye foleni na dili la kuuza dawa na gloves! hii inawezekana ikawa genetic disorder kwa sababu kama wazazi wote ni waafrika, haiwezekani mtoto awe mzungu pure, angekuwa halfcaste (kama amechukua sehemu ya viasili vya mama). waambie wa-google bana, mi nawahi dili (kodi ya nyumba imeisha) ningekutaftia majibu,lol!
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  another thing, kama ilivyosemwa mwanzoni hapo, usikute ni zeru zeru. zingatia mtoto anaweza kurithi popote kati ya vizazi 20 vilivyopita! kwa upande wenu mnajua vizazi 4 tu (nyie, baba, babu, babu wa baba).
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Kinga'sti......
   
 12. NGOSWE.120

  NGOSWE.120 JF-Expert Member

  #12
  Jul 9, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  labda huyo mtoto ni albino bana, au yupoje kwa muonekano? fafanua tukupe ushauri
   
 13. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #13
  Jul 9, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Tuzungumze lolote lile isipokuwa suala la maadili katika asasi zetu. Uchakachuaji umejikita katika kila kona ya asasi zetu.
   
 14. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #14
  Jul 9, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,797
  Trophy Points: 280
  Nadharia za Darwin pamoja na mapungufu mengi iliyonazo inatonyesha ya kuwa mwingiliano wa uzazi kati ya weupe na wazungu huweza kuleta uzao mshtuko kama huo baada ya miaka nenda rudi kupita.....................marekani zipo familia nyingi za wazungu zimezaa bulaki pyuaa kabisa........na kinyume chake.....................kwa sababu kubwa wakati wa utumwa ulikuwepo mwingiliano mkubwa hasa ya waaumme wazung na wanawake watumwa weusi.........lol.................baadaye wazungu wawili bila ya kujijua ni matunda ya dhambi za mababu zao wanajikuta wakitotoa cheusi tupu halafu hushangaa kwa masikio yao........................................bila ya kujua.................it is part of natural selection kama Darwin alivyosebua..............................
   
 15. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #15
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ahaaa, kumbe wale wanigeria wa uk ni ndugu zako?! Hapo utata maana hata mtoto ambaye baba ni mzungu mama mwafrika hawi mzungu pure!
   
 16. The great R

  The great R Senior Member

  #16
  Jul 9, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  me naona nisichangie maan hatamwanangu wa miaka mi 4 anaweza kutoa jibu
   
 17. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #17
  Jul 9, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280


  jibu la mwanao ni kuwa mtoto kaja na mama
   
 18. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #18
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Nigerian Couple Stuns Genetic Experts, Give Birth To White Baby Girl

  [​IMG]
  This is quite interesting. A Nigerian couple living in London gave birth to a blue-eyed and blonde haired white

  [​IMG] [​IMG] [​IMG]
  Blue-eyed blonde Nmachi, whose name means "Beauty of God" in the Nigerian couple's homeland, has baffled genetics experts because neither Ben nor wife Angela have ANY mixed-race family history. Pale genes skipping generations before cropping up again could have explained the baby's appearance. Ben also stressed: "My wife is true to me. Even if she hadn't been, the baby still wouldn't look like that. "We both just sat there after the birth staring at her for ages – not saying anything." Doctors at Queen Mary's Hospital in Sidcup – where Angela, from nearby Woolwich, gave birth – have told the parents Nmachi is definitely no albino.
  Ben, who came to Britain with his wife five years ago and works for South Eastern Trains, said: "She doesn't look like an albino child anyway – not like the ones I've seen back in Nigeria or in books. She just looks like a healthy white baby." "But we don't know of any white ancestry. We wondered if it was a genetic twist. "But even then, what is with the long curly blonde hair?" Professor Bryan Sykes, head of Human Genetics at Oxford University and Britain's leading expert, yesterday called the birth "extraordinary". He said: "In mixed race humans, the lighter variant of skin tone may come out in a child – and this can sometimes be startlingly different to the skin of the parents.
  "This might be the case where there is a lot of genetic mixing, as in Afro-Caribbean populations. But in Nigeria there is little mixing." Prof Sykes said BOTH parents would have needed "some form of white ancestry" for a pale version of their genes to be passed on. But he added: "The hair is extremely unusual. Even many blonde children don't have blonde hair like this at birth." The expert said some unknown mutation was the most likely explanation. He admitted: "The rules of genetics are complex and we still don't understand what happens in many cases."
  "She's beautiful and I love her. Her colour doesn't matter. She's a miracle baby. "But still, what on earth happened here?" Her husband told how their son Chisom, four, was even more confused than them by his new sister. Ben said: "Our other daughter Dumebi is only two so she's too young to understand.
  "But our boy keeps coming to look at his sister and then sits down looking puzzled.
  "We're a black family. Suddenly he has a white sister." Ben continued: "Of course, we are baffled too and want to know what's happened. But we understand life is very strange.
  "All that matters is that she's healthy and that we love her. She's a proud British Nigerian."  THE stunned black dad of a newborn, WHITE, baby girl declared yesterday - "I'm sure she's my kid ... I just don't know why she's Blonde"
   
 19. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #19
  Jul 9, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mmh! mzungu ?,
  au zeruzeru?,
  wazazi wa kiafrica pure, kuzaa mtoto wa kizungu 100% ??? ,
  mmh! nina moyo mgumu wa kuamini kama wa Thomas.

  Ngoja niendelee kusoma maoni ya wengine,
  JF ina WASOMI WENGI KILA PANDE YA DUNIA wanaweza kutegua kitendawili hiki.
   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  abee boss... shkamoo!
   
Loading...