hi jf members, jamani naombeni mnisaidie, mwenzenu nikisha kutana na binti kimwili huwa nakoswa raha kwa kujihisi kama nimetenda dhambi kubwa duniani, najiona kama nimeathirika hata kama nimetumia condom na yawezekana hata nikamchukia huyo binti. Je nn chanzo? nifanyeje?