Hongera kwa kazi kwa ww unayesoma hii post kwa sasa. Kwa kweli mm binafsi nashangazwa na tabia ya mpz (mke mtarajiwa) wakati tuwapo tumelala ktandan mwenzangu huwa swala la kulala upande wa ukutani yeye amelifanya kuwa kama ni jambo linalomuhusu.
Inapotokea nikamtania kulala upande anaoupenda basi huwa anamaind, naamini hii ni tabia ya wanawake wengi.
Hivi ni uoga, mazoea au wasiwasi?
Inapotokea nikamtania kulala upande anaoupenda basi huwa anamaind, naamini hii ni tabia ya wanawake wengi.
Hivi ni uoga, mazoea au wasiwasi?