Mwenye Habari za OSHO Yoga/Meditation-Pune, India Tafadhali!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye Habari za OSHO Yoga/Meditation-Pune, India Tafadhali!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by VUVUZELA, Jul 30, 2011.

 1. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Natumaini wana JF wote muwazima. Mojawapo ya mambo yanayonivutia katika maisha ni kusafiri nchi, ama sehemu mbalimbali na kuiona dunia na kujifunza mengi. Vilevile napendelea sana mambo ya Yoga/Meditation. Kwa miaka kadhaa nimesikia habari za hili hekalu la OSHO kuleee kwenye mji wa Pune, India. Miaka miwili iliyopita nilidokezwa kidogo kuhusu haya mambo ya Yoga na meditation isiyokuwa na kifani ambayo haipatikani wala kutolewa sehemu nyingine yoyote duniani zaidi ya hapo kwenye hekalu kuu la OSHO, mjini Pune, India.
  Nimefuatilia kwenye internet lakini information iliyopo is so vague....... yaani ya juu juu tu.
  Nimejaribu kuulizia waliopata kufika huko kwenye mji wa Pune, India na kuhudhuria Yoga na Meditation ya OSHO lakini kila mtu hataki kunieleza ukweli ila wamenidokeza nikienda huko kuna uwezekano nikanogewa na kutorudi kwetu kwani maelfu ya watu wanaokwenda huko wengi wao hunogewa na hulowea huko na kusahau makwao. Wamekataa kabisa kutoa siri za huko ingawa wamekiri kuna mambo ya ajabu na mazuri sana lakini ni siri kubwa.
  Sasa jamani kabla sijaenda huko naomba mwenye kujua habari za OSHO, Pune, India tafadhali anijuze, kwani najua JF ni kisima cha knowledge na hekima. Nawasilisha
  Have a nice weekend!!
   
 2. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mark my words, please do not go!
   
 3. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Dont go there, your life will never be the same
   
 4. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Gaga pleaseeeeeeeeeeeeeeeee naomba uniambie unachokijua, manake kila mtu ananipa majibu ya mkato. what's going on up there?
   
 5. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  why not?
   
 6. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Please dont go, utashindwa ata kulala
   
 7. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Aisee usithubutu kabisa!
   
 8. B

  Belyo Member

  #8
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wana JF mpeni majibu aelewe kwa wale mnaofahamu
   
 9. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ahsante for being understanding.
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Huu ujinga sasa
  mnamwambia tu asiende bila sababu..
  Sasa hata mimi nataka kwenda ili nijue why mnasema asiende....
   
 11. LD

  LD JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ndio nini hiyo jamani, mnaojua semeni basi ili nasisia wengine tulozaliwa hapa tukasoma primary hapa shule ikageuka sekondary ya kata, tukaendelea, na tukajiunga na chuo cha kata ktk kata hii, kijiji hiki hiki na mkoa huu, tujue kidogo habari za huko dunia ingine.
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hii kitu hata mimi imeanza kunivutia..........kuna nini huko......mbona kila mtu anakataza usiende lakini hakuna anayetoa sababu kwa nini usiende.....inakuwaje?
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahaha! Tafadhali usiende hautarudi jamani!...lol
   
 14. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Tujuze basi hata dondoo kunani huko OSHO?
  Jamani kwa wale mliosoma India may be mnaweza kunijulisha kama mmewahi kufika Pune ama kama mnajua ama mmesikia lolote kuhusu OSHO. Msaada tafadhali
   
 15. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  sijawahi kufanya OSHO MEDITATION. Sina nnachokijua. @ vuvuzela.
   
 16. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  First time visitors pay 900 rupees for registration, HIV/Aids test, gate pass with digital photo and participation in the Welcome Morning. This does not include the actual daily entry sticker.

  There is now a new spa facility in Basho which offers swimming, Jacuzzi, sauna, tennis and so on. The charge is 150 rupees per day. (about 3.25 USD / 2.50 EUR).
  This is a place where you can simply relax and where you can also enjoy the company of visitors of all ages from over 100 countries. You can choose if you want to do something, or if you just want to rest, swim, meditate — or just to be.

  You can learn simple Osho Active Meditations, techniques specifically designed for the contemporary over-charged mind and stress-impacted body.

  You may like to nourish your body-mind-soul with a stunning selection of individual sessions, like bodywork and massage, and longer workshops and courses — all designed to help you become more aware of yourself.

  Or perhaps experiment by learning new life skills and acquiring tools to take home, that will help you remain relaxed even in the busiest of workaday environments.
  Source: osho.com
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mimi nashauri wewe nenda uje nataarifa kamili hapa
  kama safi,na sisi tutaenda
   
 18. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  maelezo yako Raj Patel ni mepesi sana ambayo sioni chembechembe za kufanya mtu asirudi nyumbani.....au kuna ya zaidi nyuma ya pazia?
   
 19. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  Sijawahi kufika ila nimesikia nyeti kidogo za huko kwa jamaa yangu mmoja mzungu alienda huko. Ali-plan akae 1 week lakini alirudi baada ya 6 months. Kuna mengi ya ajabu yanayoendelea hapo kwenye hekalu lao. Ndio maana kabla hujaenda ama hata ukifika tu hapo unafanyiwa HIV test. Alinieleza kuna watu toka Europe, US, China, Australia, UAE na kila kona ya dunia ambao wamelowea huko na hawataki kurudi. Ni ngono ya ajabu wakati wa deep meditation ndio inayoharibu watu akili hapo OSHO nasikia mizuka ikipanda tu basi ni patashika watu hupagawa na huendelea na ngono usiku mzima huku ukichagua/ukichaguliwa za kila aina hapo hekaluni.
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ehhhhhh?
  Si unaweza kuwa introduced na vitu vingine hapo?
  Homosexual sex?

  Siendi tena aisee
   
Loading...