Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani ninatafuta mchumba mwenye mtoto mdogo wa kike...kwa moyo wa dhati kabisa nipo tayari kuwa baba wa mtoto huyo....note: awe anajitosheleza kiuchumi...ambae yuko tayari na ana kigezo hicho...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Nina miaka 27 na ninatafuta jimama waku do nae na awe mpenzi wangu....nina mwonekano mzuri na ni fundi wa mapenzi....nimeamua hivyo kwa sababu wamama watu wazima wakipenda wana penda kweli na...
0 Reactions
44 Replies
8K Views
Kati ya mwanamke na mwanaume nani mvumilivu ktk relationship..yupi anakuwa anacheat zaid?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf,kuna rafiki yangu wa karibu sana amepata tatizo hili hapa na anaomba mumsaidie ushauri.naomba ambae hayuko serious asichangie kabisa. Rafiki yangu ana boyfriend ambae...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
hv wanaume mnajua kupenda?au mnajua tu kutamani? kwanini kungonoka kunakuwa kitu cha zaidi sana kwenye mapenzi na kwa nini mnapenda kuachana saana baada ya kungonoka na sio kabla?
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Today everyone bemoans the short life span of marriages in our society. Till death do us apart has now been shortened to just a few years or maybe even months. Sometimes, despite the hard work of...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Am in a very very bad situation! Niliyempenda anapendwa na wengi. Kwa moyo wangu wote nilimdondokea, nikampa kwa kadri ya uwezo wangu, leo penzi limenitoa chozi. Nilidhani twashabihiana kwa tabia...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Polen mliozaliwa hivi karibuni'wenzeni tulianzishaga pati za kutafuta wenza ingawa weng waliishia kupotozeana muda na leo wanakutana kwenye shere kila mtu na bwana wake anyway ni moja ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Imenishangaza sana hii. Kuna mama mmoja anamiliki mini-supermarket moja hapa A town alitupatia tenda ya kumwekea CCTV kwenye biashara yake. Watu wa installation walifanya kwenye angles...
0 Reactions
99 Replies
8K Views
habari zenu wakuu poleni na majukumu, natafuta Divorced aliye tayari ani pm
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Jamani kuna m2 ambae ni mtalaka na watoto 3 anatafuta mume. Vigezo:- mwanaume awe na miaka 35 hadi 40, mkristo, awe mjane au mtalaka, awe na uwezo wa ku2nza familia, msomi angalau digrii moja...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Dah! hili jambo huwa linanitatiza Sana sielewi mademu ambao ni ma student huwa wako au wanafanana kitabia. Hii habari nilikuwa naisikia tangu zamani. kuwa Ukitongoza Demu mwanafunzi first date...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Kuna wimbi la kuongezeka kwa waganga wa dawa za miti shamba wanaodai wanatibu nguvu za kiume, ikiwa ni pamoja na kuongeza urefu na unene wa maumbile ya kiume hadi kufikia inchi "6.5 kwa urefu na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
1. Je anaona fahari kukutambulisha kwa ndugu rafiki na jamaa zake kuwa wewe ni mtu wake? Au huwa anakaa kimya tu? Kama hutambulishwi jua wee ni kama door mat. 2. Je anaona fahari kuongozana na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni kweli kwa mtazamo wangu na utafiti wangu waafrika wengi wanapenda sana kufikiria masuala ya mapenzi zaidi kuliko masuala ya maendeleo zaidi,mfano watu wengi wakiwa na mawasiliano ya jinsia...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Natafuta girlfriend 18 and above ambae yupo tayari anitumie PM
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nisaidieni jamani kwani naweza kuwehuka. Ni wiki ya pili sasa tangu nianze field ktk shule moja huku Kilimanjaro. Cku 3 za mwanzo ckuona shida kwani ckupata usumbufu ila kuanzia jtatu nimeanza...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Jamani me mpya hapa ila nimeshangazwa na large number of coments ktk post tofauti tofauti wanawasema wamachame hasa wadada vibaya! Mume kapigwa vibao na mkewe...mmachame, mke hachangii matumizi ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Salamu wanawake Mliomo humu JF! Nina swali moja kwenu. Je unapotongozwa na mwanaume mgeni kwako ni vitu gani unapenda kujua kuhusu yeye lakini unaogopa kumuuliza directly (siku alipokutongoza)...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
  • Closed
my name is Elton,a male aged 27 now working with a certan company here in town, i am looking for a very decent, respectiful, charming, a little bit tall with a good fig and who is a form...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom