Hivi fikra zangu zikinituma kuwa alikuwa ni kahaba zitakuwa kimakosa?

Sajunne

Senior Member
Jul 19, 2011
104
58
Ni miezi kadhaa imepita toka niachane na huyo msichana, nilimpenda sana lakini yeye hakuonyesha ushirikiano juu ya pendo langu kwake, kwani alifanya chocho alichojisikia akijua kuwa sita kuja kumwacha. Hakupenda kuongea na mimi kwenye cm wakati wa usiku na mchana pia wakati mwingine, ila mpaka ajisikie yeye kuongea na mimi. Baada ya hayo yote na mengine mengi kunitendea yasiyo mazuri nilichukua hatua ya kuachana nae. Na nikawa siwasiliani nae tena, ila baada ya miezi kadhaa kupita tangu tuachane amekuwa akinipigia cm na kuniuliza maswali ya kejeli kuwa beach fulani iko wapi mean nina apointment na mtu sehem hiyo . Je jamaa, ndugu na marafiki nifanyeje ili nisiwasiliane nae tena! Kwani anazidi kunitonesha kidonda alicho nisababisha yeye mwenyewe? Bt hekima na mawazo ya busara yanahitajika katika kutoa ushauri.
 
Mimi nililazimika kubadili namba ya simu. sijui kama mbinu hiyo inaweza kukufaa pia.
 
Achana nae kama unaweza badili lkn kama bado still namba yako inatumika katika mambo mengi bac akipiga we kata mana ake dawa yamoto ni moto asikuzingue kiivyo unajua atakua ameshajua kwamba akikupigia cm uwa una umia so anafanya makusudi kama akipiga mpotezee!
 
usipokee simu yake,wala kujibu msg zake,mwisho atachoka mwenyewe.hata ukimuona njiani jifanye kama humjui kabisa.unaambiwa silence is golden
 
Yani kisukari huo ndo mpango mzima anaejifanya mjuaji au muongeaji wewe mshinde kwakukaa kimya na hiyo itakua ndo dawa yake haswaaaaa!!
 
thanks,pengine huwa hana miadi na mtu yoyote yule,anajaribu kukurusha roho tu,ujue ya kuwa bado anadai
 
dah kazi nyepesi sana hiyo,mpuuze halafu akikuuliza beach iko wapi muelekeze kama unapajua hata kama akitaka kujua sehemu ilipo gesti fulani eti kuwa anahitajika huko we muelekeze halafu uwe na moyo wa ujasiri nadhani itamuathiri yeye zaidi
 
Mapango mzima ni kumpotezea tu nothing na ukishaona hvy ujue kinamuuma sasa anatafuta njia yakufanya nawewe ati ujisikie vibaya cha muhimu nikujua tu kwamba hana lolote lamaana analo lidhani kulifanya anapoteza muda tu tu ndo zao hao!
 
Keshagundua anakupoteza kwa maringo yake ya kishamba, akikuuliza we mjibu mwelekeze bila hasira then usimuulize chochote
umwone nia yake
 
Ni miezi kadhaa imepita toka niachane na huyo msichana, nilimpenda sana lakini yeye hakuonyesha ushirikiano juu ya pendo langu kwake, kwani alifanya chocho alichojisikia akijua kuwa sita kuja kumwacha. Hakupenda kuongea na mimi kwenye cm wakati wa usiku na mchana pia wakati mwingine, ila mpaka ajisikie yeye kuongea na mimi. Baada ya hayo yote na mengine mengi kunitendea yasiyo mazuri nilichukua hatua ya kuachana nae. Na nikawa siwasiliani nae tena, ila baada ya miezi kadhaa kupita tangu tuachane amekuwa akinipigia cm na kuniuliza maswali ya kejeli kuwa beach fulani iko wapi mean nina apointment na mtu sehem hiyo . Je jamaa, ndugu na marafiki nifanyeje ili nisiwasiliane nae tena! Kwani anazidi kunitonesha kidonda alicho nisababisha yeye mwenyewe? Bt hekima na mawazo ya busara yanahitajika katika kutoa ushauri.
Kuna mbinu nilitumia sijui kama itakufaa,akikuuliza beach flani iko wapi mwambie una bahati hata mimi nilikuwa naenda karibu na huko leo ukitaka nikupitie na kwakuwa nia yake ni kukurusha roho atakubali.Sasa wewe mpitie demu mkali hata kama ni demu wa rafiki yako halafu mumpitie nakuhakikishia hatawafata wala kukusumbua tena mimi ex wangu aliishiwa nguvu kabisa.
 
Duh hakuna aliyekomment kwenye huu uzi out of feelingz. ww pokea simu mpe majibu kama unajua ila dont show concern. yaan atajua huusiki tena na wala huna interest nae tena.
 
huyo sio kahaba,anakurusha roho tu. siku nyingine muulize akukumbushe directions za hotel ama sehemu nzuri mliyowahi kwenda pamoja, au muulize gesti nzuri iliyopo karibu na mitaa anayoishi. ataanza kukukimbia mwenyewe. pole sana kaka
 
Mrudie tu huyo..yaelekea unampenda naye anakupenda ndiyo maana still anakupigia!
 
Ni miezi kadhaa imepita toka niachane na huyo msichana, nilimpenda sana lakini yeye hakuonyesha ushirikiano juu ya pendo langu kwake, kwani alifanya chocho alichojisikia akijua kuwa sita kuja kumwacha. Hakupenda kuongea na mimi kwenye cm wakati wa usiku na mchana pia wakati mwingine, ila mpaka ajisikie yeye kuongea na mimi. Baada ya hayo yote na mengine mengi kunitendea yasiyo mazuri nilichukua hatua ya kuachana nae. Na nikawa siwasiliani nae tena, ila baada ya miezi kadhaa kupita tangu tuachane amekuwa akinipigia cm na kuniuliza maswali ya kejeli kuwa beach fulani iko wapi mean nina apointment na mtu sehem hiyo . Je jamaa, ndugu na marafiki nifanyeje ili nisiwasiliane nae tena! Kwani anazidi kunitonesha kidonda alicho nisababisha yeye mwenyewe? Bt hekima na mawazo ya busara yanahitajika katika kutoa ushauri.
<br />
<br />
nunua simu ya samsung halafu i block namba yake
 
mfanyie ukauzu kama kawa,wala ucbadilishe namba coz atakuona zuzu na uwezo wa kupata hyo namba mpya anayo sabab mnao marafiki wanaowajua ninyi nyote.stand still man,Girl are remain girls2.wapo wengi wazuri tafuta utapata na utamsahau hyo jinamiz.ova
 
dah kazi nyepesi sana hiyo,mpuuze halafu akikuuliza beach iko wapi muelekeze kama unapajua hata kama akitaka kujua sehemu ilipo gesti fulani eti kuwa anahitajika huko we muelekeze halafu uwe na moyo wa ujasiri nadhani itamuathiri yeye zaidi

hata mimi nina mawazo haya, ukimuonesha kuwa na ujasiri kumuelekeza anapotaka kwenda kisha ukasimamia uamuzi wako wa kutokumhitaji itamfanya yeye ndiyo akuepuke na siyo wewe, au atajutia zaidi kukukosa though anaweza asioneshe wazi.. Ila kama una moyo mwepesi hii mbinu inaweza kuonekana ngumu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom