Ndugu zangu, wapwa, mabinamu, invizibo, mwalimu,wana MMU na wana JF kwa ujumla, mabibi na mabwana.
Kama mnavyojua ndugu zangu na watani zangu ndio hivyo wako katika siku za mwisho mwisho za mwezi...
Katika utafiti uliofanywa na akina Kruger na wenzake kwa wanyama jamii ya Sokwe, ilibainika kwamba kulikuwa na vifo vingi vya Sokwe madume wenye umri wa miaka 13. Hali hii ilitokana na sababu...
kisa kilianza zaidi ya miaka 10 iliyopita, wawili hawa walikuwa wapenzi wakazaa mtoto lakini kutokana na 'external forces' hawakuoana. maisha yakaendelea kila mmoja akashika njia yake na sasa kila...
nina mtoto mmoja, baba'ke naishi nae bt we are not married. Tatizo ana tabia ya uongo sana yaan ameni cheat mara kibao
hadi nimepoteza uaminifu kwake. my ex boyfriend anataka tufunge ndoa and i...
Kwanza nikuombeni radhi nyote ambao mlikuwa mmeandika michango yenu na ikazimika ghafla. Ni kutokana na matatizo ya kiutendaji. Forum hii inahitaji mod mwenye busara kubwa kuwahudumia wanachama...
Jaman wana jf nina tatizo moja kwamba kila msichana ninayeanzisha naye mahusiano ya kimapenz huwa hajatulia na mpaka sasa nina miaka 23 nahitaji mchumba wa kufumga naye ndoa je nifanyeje?
Je, umeshawahi kusikia mtu anashitakiwa kwa kuzini na mke wake wa ndoa? Ni swali la kuchekesha kidogo, lakini ukweli ni kwamba, jambo hilo, limeshawahi kutokea.Wapi na kwa nani? Ilikuwa kwenye...
wana jf,haka kamchezo sio kazuri
leo nimepewa kisa na mshikaji wangu hapa nilipopanga
mshikaji kamtokea demu hapa jirani kitambo kabla mie sijahamia na akafanikiwa kuwa na huyo demu ila baadaye...
Natamani tu-share na wewe mwanajamvi,
Una-deal aje na mtu mwenye "bad moods"?
Tupeane xperience!
As tunavyojua kuwa mtu akiwa kwenye "bad mood"
Ni anaweza kukukwaza, ni anaboa wakati mwingine...
hey ladies...
there is something that i fail to comprehend. most ladies claim to know that most guys just want sex but yet wen a guy is upfront abt wanting to have sex with u, you take offense to...
Licha ya kwamba watanzania wana matatizo mengi hasa ya kiuchumi na kisiasa bado tatizo la mapenzi, mahusiano na urafiki ni changamoto yao ya kila siku. Utashangaa nikikwambia kuwa MMU (Mapenzi...
..Habari ndio hiyo, Wanawake sasa wataweza kukojoa wakiwa wamesimama kama Wanaume baada ya Ugunduzi wa kifaa hiki.
Duh hizi haki sawa sasa zinapitilizasource: JD Blog
Wapendwa MMU,
Salaam kwenu wote in the name of love.
Wadau, kuna kijana mwenzetu mmoja amekumbwa na mkasa mzito saana. Miaka kama 2 imepita, akiwa kwenye daladala aliachiwa mtoto na mwanamke...
Mine are:
1. My daughter - she's my #1 fan, my pride and joy, my flesh and blood, my everything.
2. My parents - what can I say...If it wasn't for them I wouldn't be who I am today
3. Water -...
Me ni kijana wa miaka 27, naishi mikocheni A, Nipo Bachelor mwaka wa pili ..<br />
Nahitaji rafiki wa kike awe muelewa umri kuanzia miaka 20 na kuendelea, awe mchangamfu, ..<br />
Aliyetayari...
Asallam aleikum wanajf. Jamani kuna shemeji yng alimpa msichana mimba na kumkatisha masomo na kuamua kuish naye tn bila kuwajulisha wazazi na ndugu zk. Wazaz wa mume walipogundgua wakamshaur...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.