Kumbe mahusiano siyo uhondo ila ni karaha tupu?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
169,604
Points
2,000

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
169,604 2,000
kwenye blog hii ya wakenya nimekuta kwenye mahusiano lawama na malalamiko ni kibao yaani hakuna anayesema ameridhika labda ndiyo maana kuna blogger mmoja huko Kenya aliwashauri wakike wao kuja TZ akidai kuna midume murua lakini wavivu hawapendi kufanya kazi...............hebu pitisha macho ujionee mwenyewe..........inasikitisha............................wengine kupora wake za rafiki zao.......................wengine wachumba wanataka nafasi wapishwe baada ya kutumbua na wapenzi wao kwa muda mfupi............................it is a crazy World we are living in....................

Cupid's arrow
 
Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
16,389
Points
2,000

Rweye

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
16,389 2,000
mahusiano yana variations za difinisheni kutoka mtu na mtu mwingine....

kwa hiyo wakati wewe unayaona hivi mimi nayaona tofauti kabisaaaa!ukiwaangalia wenzio walikwama wapi utaumia kwa sababu utakuwa unaishi vivuli vyao na utaogopa kwa sababu eti na wao walishindwa

Kingine msiyafanye mapenzi kuwa complex kwa sababu ukiyacomplicate yatakuwa magumu mpaka utashangaa mwenyewe na kamwe hautaweza lakini ukiwa simple utaona kila k2 ni as usual....you are what u think because you are full of fake dreams and illusions
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
169,604
Points
2,000

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
169,604 2,000
mahusiano yana variations za difinisheni kutoka mtu na mtu mwingine....

kwa hiyo wakati wewe unayaona hivi mimi nayaona tofauti kabisaaaa!ukiwaangalia wenzio walikwama wapi utaumia kwa sababu utakuwa unaishi vivuli vyao na utaogopa kwa sababu eti na wao walishindwa

Kingine msiyafanye mapenzi kuwa complex kwa sababu ukiyacomplicate yatakuwa magumu mpaka utashangaa mwenyewe na kamwe hautaweza lakini ukiwa simple utaona kila k2 ni as usual....you are what u think because you are full of fake dreams and illusions
tunajifunza kutokana na makosa ya wengine...........badala ya learning the hardway............kwa kujaribu mwenyewe na kukosea............
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
169,604
Points
2,000

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
169,604 2,000
nimependa majibu anayoyatoa muulizwaji
majibu yamejaa hekima na busara tatizo letu ni kuwa hatupendi ukweli ..............tunapenda kudanganywa......................halafu ikila kwetu tunakuja juu tumetapeliwa...............lol
 
King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,696
Points
2,000

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,696 2,000
ruta, u ar my favourite! most of the time we hide our heads on the sand wishing our problems away! kuna mtu aliniambia 'there is nothing to learn from my past,what happened happened!'. bt the way i see, it will happen over and over again.if it can happen to anyone,it can happen to u too! thanks for sharing ur insights(sijali sana kuhusu blogs manake nikitoka tu hapa mlangoni kwangu i have more than enough scenarios to learn from, and am trying kwa kweli!)
hebu uwe na eid pili njema!
 
Forum statistics

Threads 1,367,279
Members 521,708
Posts 33,394,027
Top