Salamu wanawake Mliomo humu JF!
Nina swali moja kwenu.
Je unapotongozwa na mwanaume mgeni kwako ni vitu gani unapenda kujua kuhusu yeye lakini unaogopa kumuuliza directly
(siku alipokutongoza)...
my name is Elton,a male aged 27 now working with a certan company here in town, i am looking for a very decent, respectiful, charming, a little bit tall with a good fig and who is a form...
Katika harakati za kujipanga na kujiandaandaa,mwanaume kukaa kwa dadako aliyeolewa, wengi hawapendi na jamii inamchukulia kama "he is not man enough"yuko tayari kuishi hata kwa rafiki kuliko kwa...
Ni wiki Kadhaa Tangu mpenzi wangu anipige Kibuti katika mazingira ya kutatanisha.
I just met another woman whoa I have been dating for the last two weeks now.
Nimekuwa nawasiliana nae mara...
"Mwanaume kila kitu unachomwambia yeye ni sawa tu,na hata ukimkosea haonyeshi kukerwa na kosa_aaah mwanaume gani wa hivyo bana,mwanaume ni lazima achukue nafasi yake bwana"....siyo maneno yangu,ni...
Jamani wa jamii, naombeni ushauri wa bure
Mke wangu kanicheat kwa wanaume mbalimbali, nilipomwuliza mara ya kwanza ilkataa na kutaka kuapa through bible, baadaye baada ya kumbana na kuleta...
Wandugu nimeobserve ki2 kimoja nadhani mtakubaliana na mimi. Lately heshima kwa wababa imeshuka sana tena hata kuliko kwa vijana wa 25-35 kutokana na tabia za kifataki zilizokithiri. Siku hizi...
Hivi imeshawai kutokea msichana mmoja akatembea au kuzaa na mtu na kaka ake. Au x-wife wa mtu akaja kuzaa na mdogo wa aliyekuwa mume wake?
AU
Imeshawai kutokea kaka mmoja akatembea au...
Jamani yamenikuta mwenzenu leo baada ya kumjibu rafiki wa boyfriend nimefanya kazi mpk kiuno kinauma!eti naulizwa nimemjibu hvyo ili anisaidieje??punguzeni wivu jama khaa!
Kuna thread iliwah kuletwa humu,bahat mbaya niliipoteza.kimsing inafanana na hii nataka kuwauliza..kuna rafiki yangu ana grfnd wake muda sasa wako nae.na ana mpango wa kumuoa kabisa kwa...
Ni kweli watoto wanalelewa pasipo baba yao huwa anti-social?
Soma hapa chini
Without dads, kids grow up to become anti-social
A new study has shown that fathers play a crucial in the...
Wana JF heshima kwenu wote, nimekuwa nikifuatalia visa na mada mbalimbali humu kwa muda na kuvutiwa sana. Hivi kibongo bongo haiwezekani kuwa na partner wa opposite sex ambae hakuna relationship...
kama ni msichana ukiwa una date na mwanaume mdogo unajifeel unconfortable kwenye iyo relationship hata kama anakupenda, jamii nayo midomo juu
ukidate na mwanaume wa rika lako mwanaume anaringa...
Asalaam, kuna mshkaji ana dem wake wameishi takribani miaka 3 na wamebahatika kupata mtoto. Kutokana na maelezo ya mshkaji ni kwamba dem ndio alipenda kuzaa wakati mchizi bado hajaamua, basi msela...
BOB MARLEY'S OWN WORDS ON LOVE... hope you learn something....
"Only once in your life, I truly believe, you find someone who can completely turn your world around. You tell them things that...
Nina girlfriend wangu ambaye nimekuwanaye kwa miaka mitatu sasa.na tumeishi muda wote kwa upendo.jana alikuja kunitembelea,wakati wa maongezi na stori za hapa na pale ndipo nikashka simu yake ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.