Kama unauhakika wa kupata maziwa ya nini kufuga ng'ombe?

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,546
1,662
Aasalam aleikhum wana wa jamvi najua ni cku nyingi ha2jajumuika pa1 hapa.ok leo nimekuja na hili ni kweli kama una uhakika wa kupata maziwa hakuna haja ya kufuga ng'ombe?kwa maana kwamba kama una uhakika wa kupata mapenzi kwa namna yyte hakuna haja ya kuoa?
Naomba kuwakirisha

ata km una uhakika wa kujig jig daily kuoa lazima....

n i thk msemo huo unakuja kwa mtu ambaye aujampata msichana unayempenda au muda wako wa kuoa aujafika bt ile muda ukifika na ukampata demu unayempenda anayekupenda lazima tu utaoa ata km unado daily....

Ni kweli hamna haja ya kuoa hasa kama wewe ni shoga na unaliwa kiboga

Kokudo habari yako bana!! Buku

Utafuga tu ili uwe unapata kutwa mara tatu kama dozi ya panadol

haaah haaah mkuu ushoga unatoka wapi na amekwambia anakula mzigo daily!

kula mzigo sio kigezo kuna mashoga wa aina mbili shoga barid,hawa hawasimamish kabisa,na shoga moto,hawa wanasimamisha,hawa wanabokoa na kubokolewa na wanakuwa na watoto as usually,sasa kama ni choko moto hana haja ya kuoa.

ata km una uhakika wa kujig jig daily kuoa lazima....

n i thk msemo huo unakuja kwa mtu ambaye aujampata msichana unayempenda au muda wako wa kuoa aujafika bt ile muda ukifika na ukampata demu unayempenda anayekupenda lazima tu utaoa ata km unado daily....
Rose,hapo kwenye red,hako kaneno Lizzy akikaona atakutoa roho,huwa hataki kukaona!!!

ta km una uhakika wa kujig jig daily kuoa lazima....

n i thk msemo huo unakuja kwa mtu ambaye aujampata msichana unayempenda au muda wako wa kuoa aujafika bt ile muda ukifika na ukampata demu unayempenda anayekupenda lazima tu utaoa ata km unado daily....

tatizo ukishamweka ndani hata kujig-jig hataki tena...........visingizio kibao.mara tumbo linauma....................mara ninajisikia kuchoka..................mara sijisiki........naona kama ninashikwa kwa nguvu.....n.k.......

Inategemea kuna makabila ng'ombe ni ishara ya utajili kwenye family

mzinzi hutamkosa, na hao unaowachezea bila mpango unawatoa wapi?????
fuga uwe na muda na ratiba ya kukata majani (hapa namaanisha uoe ili udaiwe matumizi)
fuga ili ujue ng´ombe wako anahitaji matibabu
fuga il ujue ndama wanatakiwa wahudumiwe

na mengineyo kibaooooooooooo,,,,, acheni kupotosha jamii ipinde na kuvamia njia zisizofaa!

yah....kama una uhakika wa kupata meaty pork sausage.....haina haja ya kufuga ninihino......

ukifuga unapata maziwa,mbolea na pesa kwa kuuza baadhi ya maziwa pia ukioa unapata mapenzi,na hudma nyingine kama kufuliwa,kufarijiwa wakati wa matatizo,kupikiwa n.k

Ikiwa kila siku unawinda n'gombe pori utaishia kukamua maziwa yenye magonjwa yanayoitwa mastitis. Chunga sana.

Similar Discussions

Back
Top Bottom