Siri ya kuishi maisha marefu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri ya kuishi maisha marefu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, Aug 31, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,506
  Trophy Points: 280
  Utafiti wangu nimebaini ya kuwa familia ndogo ambayo wazazi wanaweza kuihudumia bila kutembeza bakuli la kusaidiwa ndiyo siri iliyochanuka ya kuishi maisha marefu.............................wapenzi wa kuzalisha au kuzaa bila mpangilio wajue wanachangia sana katika kuteremsha haki ya kuishi muda mrefu zaidi ya huu uliopo kitaifa ingawaje serikali nayo inachangia kwa kutokuwa na mikakati ya kupunguza makali ya kuishi kwa wana jamii...........................

  Sababu nyinginezo za kuongeza kuishi ni pamoja na:-

  1) Usafi ndani ya jamii.

  2) Kuwepo kwa huduma ya afya kwa wote.

  3) Usawa ndani ya jamii na hivyo kupunguza dhuluma. Dhuluma inapunguza siku za kuishi kwa wanajamii wengi kwa kushindwa kumudu gharama za maisha ambazo kila kukicha zazidi kupanda....................................

  4) Lishe stahiki na hili lategemea sana ukubwa wa familia na uwezo wa kuihudumia............................

  kwa wajapani ambao kuishi miaka 86 sasa ni haki kwao badala ya kuona kuwa wamebahatika siri yao ni kama ilivyochambuliwa kwenye makala hii:-

  Japan's life expectancy 'down to equality and public health measures'


  Tupunguze kuzaana na tuone kuzaana ni mradi unaohitaji mipango madhubuti badala ya hivi sasa watu kujiamulia tu kutokana na haiba pekee ya yule wampendaye au wamtakaye kuwa mzazi mwenza...........bila ya kutathmini uwezo wa kuwahudumia vichanga watakaozaliwa .....................wewe unao watoto wangapi au unatarajia kuwa na wangapi............................nionavyo watoto wawili wanatosha bila ya kujali jinsia yao..........................................
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  watakwambia kila mtoto huja na riziki yake!

  But ukweli ni kwamba kila mtoto huja na gharama/bills zake!
  I wish angepatikana mtu akaja na estimates za maisha ya kati za kuraise mtoto tangu mimba mpaka say when s/he is 20 in $ ili tupate picha!
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,506
  Trophy Points: 280
  [h=1]Olive oil and sun leads to longer life[/h]  • James Meikle
  • The Guardian, Friday 8 April 2005 Article history
   A Mediterranean-style diet makes people live longer, especially if they live near the Mediterranean, a European study says today.
   A healthy 60-year-old man may gain an extra year on others of his age by sticking closely to a regime that includes plenty of vegetables, fruit and cereals and a moderate to high intake of fish and unsaturated fats, especially olive oil.
   Moderate quantities of alcohol, mostly wine, very few saturated fats and the occasional consumption of dairy products and meat are the other ingredients of a diet that has had numerous health claims made for it in recent years.
   Its virtues are confirmed in a study of nearly 75,000 people over 60 in nine countries, reported in the British Medical Journal. The effect is greatest in Greece and Spain and absent in Germany and the Netherlands.
   Perhaps surprisingly, the effect appears small in Italy too, but this is explained by the fact most of those studied there were from the north, where, the authors say, "the diet cannot be considered as Mediterranean".
   Most of the deaths in the study group were in the Swedish, Danish and British sections, but they had a higher average age.
   The researchers believe the results endorse the following of a modified Mediterranean diet. Their study is part of a European project looking mainly at cancer and nutrition, whose Greek leaders concluded that a diet resembling the Mediterranean one was "associated with a lower overall death rate".

   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,506
  Trophy Points: 280
  ukiangalia kukua kwa tatizo la watoto wa mitaani kunatoka na elimu finyu ya madhara ya kuzaana bila mpangilio.................................wazazi na viongozi wetu wengi wamekuwa wakihimiza ya kuwa tusaidie watoto wa mtaani lakini bila ya kutatua kiini cha tatizo ni familia zisizo na mpango.............sehemu kubwa ya familia kubwa utakuta umri wa kuishi nao ya wanafamilia hao huwa mdogo kutokana na kushindwa kuzimudu changamato zitokanazo na kuhudumia familia kubwa........................................................ikiwemo lishe, huduma za afya usafi n.k................gharama zake ni msongo ngoma........siyo utani kabisa................
   
 5. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  kwanza issue ya kuzaliana kwa sana ni ushamba, kuwatesa watoto wasio na hatia kwa kuwanyima haki zao za msingi na kuyafanya maisha yako yasiwe na Amani.
  Oa moja uzae wachache, maisha mazuri.
   
 6. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,997
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  Salama mkuu!! Ni kweli ulivyoelezea stress zinzchangia kwa kiasi kikubwa sana kupunguza siku za kuishi,tena kwa hapa kwetu sasa stress zimeongezeka kwa kiasi kikubwa sana, (1) KULA KWA BAHATI NASIBU (2)MIFUMUKO YA BEI (3) HUDUMA DUNI ZA KIJAMII (4)NA KUKOSEKANA KABISA HUDUMA MUHIMU,serikali inachangia kwa kiasi kikubwa kufupisha maisha yetu,hasa sisi wa hali ya chini ndio inatumaliza kabisa,tunaishi kwa neema za MUNGU tu.
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,506
  Trophy Points: 280
  sote tungekuwa na mawazo haya nchii hii ingelikwenda mbali sana...............
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,506
  Trophy Points: 280
  Mwenyezi Mungu ametupa uwezo wa kufikiri na ametupa akili za kutawala shida zote na changamoto zote..............sasa kama hatuwi na utamaduni wa kupangilia maisha kila siku tutazidi kumlilia Muumba naye hatatusikiliza kwa sababu ya kuwa tayari alikwisha tuwezesha kwenye haya maeneo...................ukiwa na familia ndogo utakuta hata kero za kidunia na changamoto zake waweza kuzimudu kwa unafuu zaidi.............
   
 9. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,997
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Yes ni kweli kabisa mkuu cha ajabu tumeshindwa kabisa kupangilia mfumo mzuri wa maisha,hatukutakiwa kuishi hivi tunavyoishi kwa jinsi nchi yetu ilivyo,tumebarikiwa kila kitu na MUUMBA wetu cha ajabu ndio tunaishi maisha ya ajabu kabisa.
   
 10. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mkuu ulicho andika ni kweli ila ubishi wa watanzania hasa wale wa vijijini hawawezi kukubaliana maana wanamini kuwa na watoto wengi ni fahari kwa hiyo hilo ndio linatuletea matatizo makubwa sana jaribu kuangalia watu uliomaliza nao darasa kama wanakaa vijijini na wewe ulieko mjini unaishi maisha agalau ya wastani mko tofauti sana una weza ukasema ni kaka/ dada yako mliyepishana umri zaidi ya miaka 15 kwa kifupi ni wazee wameshachoka kabisa na hii ni stress ya maisha na kuwa nafamilia zilizo wazidi uwezo
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,506
  Trophy Points: 280
  tusichoke kuelimishana ingawaje likija swala la kujamiiaana.....................lol
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,506
  Trophy Points: 280
  hata mijini watu bado wanazaliana bila mpangilio kwa madai kuendeleza jina la ukoo au ukoo wetu ni mdogo unapaswa kukuzwa kwa kasi ya ajabu bila ya kutathmini gharama yake kama inabebeka.....................
   
 13. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mkuu ila mbona wazee walizaa watoto wengi na tatizo la watoto wa mitaani halikuwepo kihivi. hatudhani kwamba na sisi wazazi tuko busy kuliko kawaida?
   
 14. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  unaposema kuzaa sana ni ushamba kwa upande wa pili mimi nakuona wewe ni mume ***** unaogopa majukumu. hivyo basi badala ya kugeneralize concept zungumza kwa upande wako ili nikuone wa maana. hali yangu na yako si sawa dogo!!
   
Loading...