Mwanaume anapohisi kuwa ni dhaifu katika kafanya mapenzi, yaani jogoo wake hawiki huwa anajitengenezea njia za kujitetea, ili kuonyesha kwamba yeye siyo dhaifu. Bila shaka hata wewe unayesoma hapa...
Watu wengi wanapozungumzia kuvunjika kwa ndoa au uhusiano, sababu zinazojitokeza sana au kutajwa ni zile za ulevi, kutoka nje ya ndoa, kipato, uchafu, na mengine ya aina hiyo, lakini wanasahau...
Nina miaka 27, ni mwembamba kiasi, maji ya kunde, ni mkristo (RC), nimehitimu chuo. Natafuta mdada ambaye atakuwa mke wangu baadaye, umri 20-25. Mrejesho hapa hapa.
Salaam!..
Nilicheat na mdada mzuri na mwenye uelewa kwa vigezo vyangu anyway_na hii ilikua wiki iliyopita,...sasa juzi kanipigia cm nimpitie ofisini kwake(ana duka la vipodozi).tukaenda sehemu...
Wengi mnaweza kunishangaa labda hapa sio mahali pake au laa,
kiukweli toka nimeanza darasa la kwanza mpaka kuja kumaliza darasa la 14 sijawah kupata maana halisi au tafsiri sahihi ya MWIKO...
Wakubwa heshima mbele,
Hivi karibuni mchumba wangu alipata ujauzito bahati mbaya baada ya kutokea interuption kwenye normal cycle yake, na kwa kuwa hatujajiandaa kulea kwa sasa ikabidi twende...
unakuwa na mahusiano na m2, umemtembelea mara mbili anapoishi, den akikwambia amekumis still anataka uende kwake, ukimwambia twende sehemu nyingne hatak anataka kwake, sasa is he right ukikataa...
Jioni hii the CITIZEN TV ya Kenya inatuarifu juu ya mwanaumme kakatwa uume wake na watu wasiojulikana na hivyo kufanya nia zao hizi zisijulikane.......Hivi sasa mwathirika huyo yupo hospitali ya...
hili swali nilikutana nalo nikafikiri ni rahisi tu kulijibu, lakini nikakuta si rahisi kama nilivyofikiri, MEANING OF LOVE,(usi-translate) kwanza nilifikiri ni hisia alafu nikaona kama ni kutoa...
Salaam wana Jf.
Hivi ni vyema mpenz wako akajua ratiba yako ya kutwa nzma. Mf. Wakat wa kula unampgia simu, unatoka ofisini unampgia, kama ni mama ukianza kupika, ukimaliza, kwenda sokoni.
Pia...
Kuna malalamiko mengi ya wanawake dhidi a wanaume. Wanawake wamekuwa wakiwalaumu wanaume kuwa, ‘wana tamaa,' ‘hawaridhiki' ‘hawatulii na kauli nyingine nyingi tu za kuonesha...
naombeni ushauri kwa hili suala.
huko facebook nasikia kuna groups za watu tofauti tofauti, na maanisha group within a group.
ni vikundi vya akina mama na akina baba vijana kwa vijana...
Mimi ni bonge la handsome na ki ukweli nakubalika kirahisi sana kwa wanawake ingawa si mtu wa kujali sana masuala ya mapenzi kwa vile ninajua madhala ya kuendekeza sana. Hata hivyo nina tatizo...
Hivi neno UPENDO linamaanisha nini hasa? Maana yake ni nini hasa ukizingatia kuwa imesemwa/inasemwa/itasemwa kwamba upendo ndio uhitaji mkubwa zaidi wa Wanadamu. Tangu wanapozaliwa hadi kufa, watu...
hbr wandugu jana wakata nipo na shemeji yenu tuna vuta raha hapa tembo clab mara cm yake ikabeep nikaichukuwa kucheki ni namba ambayo naikumbuka sana mara sms NJOO CHUKUWA kisha sm ikaita...
Natumani mu wazima wana jf. Naomba mnisaidie wanajf wenzangu kwa hili. mchumba wangu ameamua kunikimbia kisa sina hela. nimechanganyikiwa nisaidieni sijui la kufanya.
Hii nimeishuhudia kwa baadhi ya wapenzi hapa mjini tabia ya wapenzi kutaka kujua namba za siri za akaunti za wapenzi wao Naamaanisha ATM Cards, Email address na nyinginezo.
Je hii ni FAIR..?