Huu uume una nini tena? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu uume una nini tena?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, Sep 4, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  Jioni hii the CITIZEN TV ya Kenya inatuarifu juu ya mwanaumme kakatwa uume wake na watu wasiojulikana na hivyo kufanya nia zao hizi zisijulikane.......Hivi sasa mwathirika huyo yupo hospitali ya Thika akipambana kuokoa maisha yake........tusichojua hadi sasa ni nia ya hao watu waovu...kama ni ushirikina au kisasi kwa mwizi wa mke wa mtu au wake za watu...............au mengineyo nje ya hapo...................

  Huu uume mbona unaandamwa hivyo...................................kuna nini hapo?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 4, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Uume wa mwanaume ndo uanaume wake!
   
 3. Shemzigwa

  Shemzigwa JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2011
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umezidi kusumbua ndio tunautafutia hela huu
   
 4. WASIWASI

  WASIWASI Member

  #4
  Sep 4, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  mmmh!!! hiyo ni adhabu kali sana!!
   
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  Sep 4, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  KUna watu wakatili sana duniani hapa
   
 6. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hivi ukikatwa hata maisha tena yanakuwa kamahayana thamani kwako
   
 7. Shemzigwa

  Shemzigwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2011
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukikarwa Unakua kama boya tu Kama vile umekatwa kichwa.......Jeuri yote kwisheney
   
 8. pinochet

  pinochet JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Jamani huko Kenya vuvuzela ni dili sana,mara nyingi wanavizia vuvuzela za walevi waliokata network. Huwa zinatumika kwa mambo ya kishirikina,híi nilipata toka kwa rafiki yangu Mkenya.
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  nikishindwa kukuhudumia si itakuwa ni balaa...........................
   
 10. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Duh, ni kama gari imenyofolewa injin, sasa imebaki body tuuu. Je utaiita gari? nafikiri huyo jamaa tumtafutie jina lingine siyo mwanaume tena.
   
 11. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Mwanume ni Ume,kama huna Uume we siyo mwanaume
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo mnamaanisha mwanaume akikata center bolt ama network ikikata ana-cease kuwa mwanaume? mi nilidhani ndo atapendwa zaidi na mkewe manake hata ule wasiwasi wa kuibiwa unaisha!
   
 13. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ukikata mtaimbo wangu utakuwa umeniondolea starehe duniani hapa,uume ni sehemu kubwa ya mwanaume katika maisha
   
 14. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,184
  Likes Received: 564
  Trophy Points: 280
  Mhhh hapo sijui apewe jina gani maana ile kitu inayomfanya aitwe mwanaume imeondoka.
   
 15. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Acha utani arifu
   
 16. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Maskini weee! mwanamme wawatu Dubai pia kuna babu wakiarabu alikatwa uume wake na mfanya kazi wake wa ki Ethiopia lakini yeye alisafirishwa Bangkok amepona lakini sijui kama utakua bado unafanya kazi,na huyo Mkenya ndio wameondoka nao kabisa mtumeee!
   
 17. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  kwenye ushirikina malengo huwa ni kufanikisha nini?
   
 18. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  iko shida sana humu duniani..............................
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  namaanisha chalii angu!
  <br />
  <br />
   
 20. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  nampa pole sana
   
Loading...