Re:kumpa password..mupenzi

Biohazard

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Messages
2,024
Points
1,500

Biohazard

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2011
2,024 1,500
Hii nimeishuhudia kwa baadhi ya wapenzi hapa mjini tabia ya wapenzi kutaka kujua namba za siri za akaunti za wapenzi wao Naamaanisha ATM Cards, Email address na nyinginezo.

Je hii ni FAIR..?
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
83,915
Points
2,000

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
83,915 2,000
Kwa kweli hiyo haisaidii chochote kwa sababu mtu unaweza kuwa na email addresses kadhaa. Unaweza ukapewa passwords za yahoo na hotmail na usijue kumbe mwenzio ana account na gmail pia.

Au hata anaweza akawa na accounts kadhaa yahoo na akakupa access katika moja na wewe ukadhani mwenzio ni mkweli na hafichi kitu kumbe wapi. Kwa hiyo kwangu haya mambo ya kupeana access za email na passwords za JF na Myface hayamaanishi chochote.
 
Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
20,663
Points
2,000

Viol

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2009
20,663 2,000
haisaidii hata kidogo,kunguru hafugiki tu,ila pia inaongeza uaminifu na kuaminiana si unajua tena uongo sometimes unajenga mapenzi
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
83,915
Points
2,000

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
83,915 2,000
haisaidii hata kidogo,kunguru hafugiki tu,ila pia inaongeza uaminifu na kuaminiana si unajua tena uongo sometimes unajenga mapenzi
Sidhani kama inajenga uaminifu labda ingekuwa kila mmoja wetu ana email account moja tu. Lakini kwa vile mtu una uwezo wa kufungua email accounts nyingi sioni kabisa cha kumfanya mtu umwamini mwenzio kwa sababu tu kakupa access kwenye email yake.

Utajuaje kama ana email accounts zingine?
 
Biohazard

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Messages
2,024
Points
1,500

Biohazard

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2011
2,024 1,500
Kwa kweli hiyo haisaidii chochote kwa sababu mtu unaweza kuwa na email addresses kadhaa. Unaweza ukapewa passwords za yahoo na hotmail na usijue kumbe mwenzio ana account na gmail pia.

Au hata anaweza akawa na accounts kadhaa yahoo na akakupa access katika moja na wewe ukadhani mwenzio ni mkweli na hafichi kitu kumbe wapi. Kwa hiyo kwangu haya mambo ya kupeana access za email na passwords za JF na Myface hayamaanishi chochote.
Sawa sawa watu wanajenga nyumba kwa siri so account ni kitu kidogo sana. Halafu after all Accounts are meant for Privacy and not anything else.
 
AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,239
Points
1,500

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,239 1,500
Na mimi nimeliona saaana hilo... ila personally naona kua it is better watu mjuane kwanza... mapenzi ya kuanza kwa kasi in the sense kua eti mwa share kila kitu mpaka mambo ya passwords mara nyiingi saana huishia in a suffocation mode.... maana hapo hamna privacy sehemu yoyote... Password ya ATM, ina maana basi utatoa ya JF, Email, n.k... Password ni nzuri kugaiana msha juana vyema hasa the in and out ya huyo mpenzi wako...
 
Lizzy

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
22,383
Points
2,000

Lizzy

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
22,383 2,000
hivi ni kigezo kweli cha kukabidhiana hata maakuli ya kibenki..........................na kama unashirikiana na wengi basi wote waichambue akaunti yako lol......
Ndo hivyo...nashangaa watu wanataka kuthaminisha email...bank...social network accounts na simu zaidi ya wanavyothaminisha miili yao!!
 
Forum statistics

Threads 1,356,431
Members 518,903
Posts 33,132,224
Top