Inakuaje unapokimbiwa kisa huna hela?!!

EMMAN

Member
Sep 4, 2011
11
0
Hellow wanajamii wenzangu yamenikuta ya kunikuta. kanikimbia wangu kisa nimefulia. pliz help and tell me what to do.
 
Amekusaidia huyo, mapenzi bila mishiko huwezi kuyamudu dunia ya leo, kwahiyo amekupa muda mzuri wa kujipanga kimaisha.kuna watu wanakuwa wazembe kwa ajili ya mapenzi.
So be youself, tengeneza maisha yako kwanza kwa takwimu za haraka haraka zinaonesha kila mwanaume mmoja anagawanywa kwa wanawake 5, huoni kama wanawake wapo wengi. Imeandikwa katika Biblia amelaaniwa mtu yeyote amtegemeaye binadamu kwenye maisha yake.
 
cha kufanya ni kuhakikisha unajikwamua kutoka kwenye hali uliyonayo. baada ya hapo ataelewa kua siku hazigandi, na maisha yanaendelea. huyo hakufai,bora kakuonesha mapemaa kuwa yuko kibiashara zaidi. pole sana,lakini akunyimae kunde...
 
poleeee,achana nae aende wewe sasa tafuta pesa kwa juhudi zote mtoto wa kiume acha uvivu..then ukizipata punguza kuhonga na matumizi yasiyo na kichwa wala miguu zingatia uwekezaji lol ili upate faida...kuwekeza kwingine hasa hizo ulizokua unahonga hazinaga faida zaidi ya hasara kama ivo kukimbia baada ya kufulia...pull ya socks maaaaan
 
Mapenzi yasiku hizi bila hela hayaendi! Bora sisi tuliooa zamani na wake zetu wanajiheshimu!
 
.........Pole sana, kuna jamaa yangu naye kakimbiwa na mke wa ndoa. Tena walikuwa na watoto watatu, mke kachukua watoto kapeleka kijijini kwa wakwe na kumkimbia mume. Mume akaamua kupeleka swala kanisani lakini mke hasikii la mtu na kashasema hamtaki tena. Sababu jamaa kafulia kutoka kwenye mboga saba hadi mboga moja.........kutoka kukaa kwenye jumba la fahari hadi kwenye kibanda.

Maelezo ya hapo juu nilitaka kukuonyesha labda wewe una nafuu, umekimbiwa na GF na si mke na labda hata hujazaa naye. Hivyo umemjua mapema na waweza kumuepuka kabla hamkufika mbali.
 
Kwanini hukumvimbisha fasta kabla hajakimbia.take care next time....
Wewe kijana usije kuthubutu kuzaa na mwanamke nje ya ndoa, mimi nimefanya kosa hilo nayaona madhala yake wazi wazi na yataendelea kunitafuna kwa muda mrefu tu ujao, msidanganyane kabisa kama kuzaa na mtu ndio solution ya kuishi wote, na huu ni ushauri nautoa kwa pande zote mbili, kike/ kiume.
 
ulikua umpi dudu ya kweli!! maana kama unaiparua visawasa ata bila msosi atakua na wasiwasi we ndo utamuacha!!! piga pumbu bana!!!!
 
Ukikimbiwa sababu huna pesa then unatafuta pesa kwa nguvu zako zote
 
.........Pole sana, kuna jamaa yangu naye kakimbiwa na mke wa ndoa. Tena walikuwa na watoto watatu, mke kachukua watoto kapeleka kijijini kwa wakwe na kumkimbia mume. Mume akaamua kupeleka swala kanisani lakini mke hasikii la mtu na kashasema hamtaki tena. Sababu jamaa kafulia kutoka kwenye mboga saba hadi mboga moja.........kutoka kukaa kwenye jumba la fahari hadi kwenye kibanda.

Maelezo ya hapo juu nilitaka kukuonyesha labda wewe una nafuu, umekimbiwa na GF na si mke na labda hata hujazaa naye. Hivyo umemjua mapema na waweza kumuepuka kabla hamkufika mbali.

sasa unanisaidiaje coz siwezi kukaa bila mke. pliz do whatever u can.
 
cha kufanya ni kuhakikisha unajikwamua kutoka kwenye hali uliyonayo. baada ya hapo ataelewa kua siku hazigandi, na maisha yanaendelea. huyo hakufai,bora kakuonesha mapemaa kuwa yuko kibiashara zaidi. pole sana,lakini akunyimae kunde...
<br />
<br />

Umemaliza yote, no comment
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom